Tukutane chumbani kukichwa

Tukutane chumbani kukichwa

Hivi tatizo nini hasa linalosababisha kaka zetu kupungua nguvu? Katika hii sahani ugali umekosekana au kula ugali ndiyo tatizo kuu?

Kula ugali afrika imekua kama dili, ugali ni moja ya vyakula vibaya sana kula, calories kibao alafu ni carbohydrate tu ambayo itakuja kugeuka kua fat, ndiyo maana watanzania wengi wana vitambi. Afya ya ovyo. Sababu za kupungua nguvu sio hata nutrition, tatizo wengi wanaangalia porn, you might think its not a big deal ila ni bigger than u can imagine.
 
Unaweza kua na hoja mkuu maana miaka ya nyuma mbona watu walikua wanakula sana ugali na wala hapakua na tishio la kupungukiwa na nguvu za mwili wala kiume?
 
Mshana namba 2
FB_IMG_1564507029072.jpeg
 
Hivi tatizo nini hasa linalosababisha kaka zetu kupungua nguvu? Katika hii sahani ugali umekosekana au kula ugali ndiyo tatizo kuu?
Kuna wadogo zetu hata sielewi wanakwama wapi...sasa hapo si wanatafuta kuhara tu??!!Labda kama lengo ni kuboresha mbegu tu.
Ila show la kibabe linahusiana na muscles na saikolojia ya mtu tu.
Fanya tizi,kula vizuri,lala vizuri na zaidi sana tafuta hela...hakuna upungufu hata siku moja
 
Hapana hapo dawa ndio inakolea. Wanawake wanataka shughuli haswaaaa. Hasa hawa wa dsm.

Hapo bado ile ya congo sijui mabaharia wanaiitaje
Vumbi...ile inaweka ganzi tu kama chombo ishashika moto ili wazungu wakawie.
Enz za utoto mi nilikua napaka Vicks Kingo “kichwani” na “kwenye shina”.basi hapo utaombwa msamaha na mapumziko hata mara tano kabla wazungu hawajaja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom