Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

HIZI MADA ZA KUSHABIKIA UDINI UDINI SIO NJEMA... HASA KWA TAIFA LETU TANZANIA.....chokochoko...
 
Wote ni Wapinga Kristo; tofauti yao ni kuwa waislamu wanampinga waziwazi kuwa siyo Mungu; wakatoliki wanampinga kwa kumwabudu kinyume na Mafundisho yake (ibada za sanamu, wafu, kuruhusu dhambi Kanisani, nk.). Ila tunawaombea ili wachukue hatua ya KUOKOKA kwani kila mtu atavuna alichopanda.
Yesu sio Mungu bali ni Mtume tu wa Mungu na wala si mtoto Wa mungu.Sisi Waislamu hatumpigi Yesu (Nabii Issa Bin Maryam) Ktk Uislamu Mitume yote Tunawakubali hatupingi hata Mtume mmoja .
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Hata maandiko yanasema kwny u unabii hili ndio kanisa lenye umiliki wa Freemasons,lipo nyuma na halionekani ila limejificha kwny udini na ni kanisa litakalokuja kulazimisha kuabudu siku ya J2 siku ya Kwanza ya juma,kitabu Cha ufunuo na Daniel kimeweka waz
i
 
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.

Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
Papa yupi ?lini? wapi? acha kuropoka vitu usivo na uhakika navyo. Hakuna kanisa linalokemea waziwazi vitendo vya ushoga na utoaji mimba kama Katoliki. Na linapigana vita vikubwa sana duniani kwasababu ya misimamo yake. Acha kusema maneno ya vijiweni.
 
Ufafanuzi jana usiku nilikua naangalia TBC walikua wanaelezea kanisa fulani la RC Kibosho aise kuna michoro sijaielewa

Nimeona Mchoro una duara then ndani ya duara kuna Pembe tatu na Jicho kati kati....Aisee..

Ngadedema!!!!!
Roman Catholic ni devil worshipers
 
Kwani Biblia Takatifu ni Neno Pekee la Mwenyezi?!
Mbona Biblia Takatifu Inajishuhudia yenyewe!!

YN. 20:30 Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki.

YN. 21:25 Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.

Hapa ndipo kanisa Katoliki tunamshukuru Mungu sana.
Kanisa linaamini kwenye
1.Maandiko Matakatifu
2.Mapokeo Matakatifu
3.Mamlaka

Ninyi mmeng'ang'ania kipande kimoja kweli mtafika kweli naona kwa mbali mnaishia njiani

Kuhusu Vyeo mbona Yesu Mwenyewe Amekaimisha Mamlaka yake kwa Kanisa?!

MT. 16:18-19 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Yaani wewe jamaa hujui kitu chochote kuhusu Roman Catholic
 
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.

Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
Hata ujinyee, ukweli ndo huo.

Hayo matamshi alotoa papa tuwekee hapa,
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Na wakatoliki huwa wanapata sana mashambulizi ya kiimani toka kwa dini na imani zingine
 
Back
Top Bottom