MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Wenye Chuki nasi Wakatoliki utawajua.Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.
Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
Kwanini Wakristo msiokuwa Wakatoliki mna Chuki na Roho mbaya mno? Kwani hayo Madhehebu yenu hayakutokea huko Ukatolikini?Mtu kuwa muislamu hakumfanyi kuwa sahihi anaposifia ukristo. Ukishindwa kutumia kichwa cha juu tumia hata cha nichi kidogo
666 atatokea Vatican CityKanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Uko sahihi Mkuu, maoni yake yachukuliwe kama maoni ya mtu mwingine yeyote tu maana hakuna ajuaye kitu gani kinachomsukuma kusema hayo aliyoyasema.Mtu kuwa muislamu hakumfanyi kuwa sahihi anaposifia ukristo. Ukishindwa kutumia kichwa cha juu tumia hata cha nichi kidogo
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
1)Unajua maana ya chuki?Kwanini Wakristo msiokuwa Wakatoliki mna Chuki na Roho mbaya mno? Kwani hayo Madhehebu yenu hayakutokea huko Ukatolikini?
au kwakuwa kuna Utafiti ulifanywa na kusema Wakatoliki wengi ndiyo very Intelligent na ndiyo Intellectuals zaidi duniani?
Umeelezea kwa usahihi kile nilichokusudiaUko sahihi Mkuu, maoni yake yachukuliwe kama maoni ya mtu mwingine yeyote tu maana hakuna ajuaye kitu gani kinachomsukuma kusema hayo aliyoyasema.
Pia ni vema tukakumbuka hata Mapepo kwa hila/unafiki husifia kazi ya Mungu;
Matendo 16:16-19
" Siku moja, tulipokuwa tunakwenda mahali pa kusali, msichana mmoja aliyekuwa na pepo mwenye uwezo wa kuagua alikutana nasi. Msichana huyo alikuwa anawapatia matajiri wake fedha nyingi kwa uaguzi wake. Basi, huyo msichana alimfuata Paulo na sisi, akipiga kelele na kusema, “Hawa watu ni watumishi wa Mungu Mkuu. Wanawatangazieni njia ya wokovu.” Akawa anafanya hivyo kwa siku nyingi hata siku moja Paulo alikasirika, akamgeukia na kumwambia huyo pepo, “Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu!” Mara huyo pepo akamtoka. Matajiri wa yule msichana walipoona kwamba tumaini lao la kupata mali limekwisha, waliwakamata Paulo na Sila..."
Naongezea mkuuMtu kuwa muislamu hakumfanyi kuwa sahihi anaposifia ukristo. Ukishindwa kutumia kichwa cha juu tumia hata cha nichi kidogo
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.
Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
Sawa, ila MBINGUNI hautaenda kwa kuwa wewe ni mkatoliki.Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Mimi ni mkatoliki, hata hivyo uelewa wako ni mdogo sanaKanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Hujui kituKanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.