Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
 
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.

Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
 
Wenye Chuki nasi Wakatoliki utawajua.
 
Mtu kuwa muislamu hakumfanyi kuwa sahihi anaposifia ukristo. Ukishindwa kutumia kichwa cha juu tumia hata cha nichi kidogo
Kwanini Wakristo msiokuwa Wakatoliki mna Chuki na Roho mbaya mno? Kwani hayo Madhehebu yenu hayakutokea huko Ukatolikini?

Au kwakuwa kuna Utafiti ulifanywa na kusema Wakatoliki wengi ndiyo very Intelligent na ndiyo Intellectuals zaidi duniani?
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
666 atatokea Vatican City
 
Mtu kuwa muislamu hakumfanyi kuwa sahihi anaposifia ukristo. Ukishindwa kutumia kichwa cha juu tumia hata cha nichi kidogo
Uko sahihi Mkuu, maoni yake yachukuliwe kama maoni ya mtu mwingine yeyote tu maana hakuna ajuaye kitu gani kinachomsukuma kusema hayo aliyoyasema.

Pia ni vema tukakumbuka hata Mapepo kwa hila/unafiki husifia kazi ya Mungu;

Matendo 16:16-19
" Siku moja, tulipokuwa tunakwenda mahali pa kusali, msichana mmoja aliyekuwa na pepo mwenye uwezo wa kuagua alikutana nasi. Msichana huyo alikuwa anawapatia matajiri wake fedha nyingi kwa uaguzi wake. Basi, huyo msichana alimfuata Paulo na sisi, akipiga kelele na kusema, “Hawa watu ni watumishi wa Mungu Mkuu. Wanawatangazieni njia ya wokovu.” Akawa anafanya hivyo kwa siku nyingi hata siku moja Paulo alikasirika, akamgeukia na kumwambia huyo pepo, “Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu!” Mara huyo pepo akamtoka. Matajiri wa yule msichana walipoona kwamba tumaini lao la kupata mali limekwisha, waliwakamata Paulo na Sila..."
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Kama hujui basi jua kwamba Catholics sio christians
And catholics na Islam ni kitu kimoja. So lazima wasifiane.
And mwisho wa siku kwahiyo shehe alhad ndio benchmark yako kuhusu ukatoliki?
 
Kwanini Wakristo msiokuwa Wakatoliki mna Chuki na Roho mbaya mno? Kwani hayo Madhehebu yenu hayakutokea huko Ukatolikini?

au kwakuwa kuna Utafiti ulifanywa na kusema Wakatoliki wengi ndiyo very Intelligent na ndiyo Intellectuals zaidi duniani?
1)Unajua maana ya chuki?
2)Nani alikwambia kuwa mtu akipinga unachokiamini basi anachukia?
3)usisubiri kuambiwa na watu ndio ujione intelligent
4)kanisa katoliki limeingi mambo yafuatayo, (hapa chini) ambapo wale ambao hamuhoji mmeaminishwa kuwa ndio intelligent ila wanaohoji wanaonekaka wajinga.
-ibada za sanamu
-ndoa za jinsia moja
-taasisi ya utawa
Ninavyojua mimi, viashiria vya awali juu ya intelijensia ya mtu yeyote duniani ni uwezo wake wa kuhoji na maamuzi, sasa kama kanisani kwako umeletewa mafundisho yasiyoshabihiana na biblia, badala ya kuhoji umekalia tu kulialia eti watu wanawachukia (hasa wakristo wasio wakatoliki) hauoni kama umefungwa akili huku miguu inatembea? Amka mwana wa adam,
*Not everything you read on the internet is true, you've got to use you common sense
 
Uko sahihi Mkuu, maoni yake yachukuliwe kama maoni ya mtu mwingine yeyote tu maana hakuna ajuaye kitu gani kinachomsukuma kusema hayo aliyoyasema.

Pia ni vema tukakumbuka hata Mapepo kwa hila/unafiki husifia kazi ya Mungu;

Matendo 16:16-19
" Siku moja, tulipokuwa tunakwenda mahali pa kusali, msichana mmoja aliyekuwa na pepo mwenye uwezo wa kuagua alikutana nasi. Msichana huyo alikuwa anawapatia matajiri wake fedha nyingi kwa uaguzi wake. Basi, huyo msichana alimfuata Paulo na sisi, akipiga kelele na kusema, “Hawa watu ni watumishi wa Mungu Mkuu. Wanawatangazieni njia ya wokovu.” Akawa anafanya hivyo kwa siku nyingi hata siku moja Paulo alikasirika, akamgeukia na kumwambia huyo pepo, “Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu!” Mara huyo pepo akamtoka. Matajiri wa yule msichana walipoona kwamba tumaini lao la kupata mali limekwisha, waliwakamata Paulo na Sila..."
Umeelezea kwa usahihi kile nilichokusudia
 
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.

Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia

Matamshi ya Pope yapo Ki-Biblia! huwa Habahatishi!

Hivyo vyeo Vyoote vipo Ki-Biblia
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Sawa, ila MBINGUNI hautaenda kwa kuwa wewe ni mkatoliki.
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Mimi ni mkatoliki, hata hivyo uelewa wako ni mdogo sana
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Hujui kitu
Ushabiki wako ni wa kimandazi
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom