Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

watoza tozo ndio walimsurubu myahudi Jesus msalabani wakiongozwa na bosi wao Kaisari...Jesus alipinga sana haya mambo ya tozo tozo hizi na kufanya biashara kwenye mahekalu..
 
Kwani Biblia Takatifu ni Neno Pekee la Mwenyezi?!
Mbona Biblia Takatifu Inajishuhudia yenyewe!!

YN. 20:30 Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki.

YN. 21:25 Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.

Hapa ndipo kanisa Katoliki tunamshukuru Mungu sana.
Kanisa linaamini kwenye
1.Maandiko Matakatifu
2.Mapokeo Matakatifu
3.Mamlaka

Ninyi mmeng'ang'ania kipande kimoja kweli mtafika kweli naona kwa mbali mnaishia njiani

Kuhusu Vyeo mbona Yesu Mwenyewe Amekaimisha Mamlaka yake kwa Kanisa?!

MT. 16:18-19 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. HAPO UMEPOTOSHA MKUU.
Kati ya YESU na PETRO mwamba ni nani?
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Kinachonifanya niipende katoliki ni mfumo wao wa uongozi katika kuendesha mambo ya kanisa, haya makanisa ya kilokole ni Mali ya watu yaani mtu mmoja ndiye anaamua kila kitu tofauti na wakatoliki, wakatoliki kanisa siyo Mali ya mtu binafsi kuna utaratibu wa kupitisha maamuzi
 
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.

Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia

Hahah!!!

Hii ndio inayoitwa hoja hujibiwa kwa hoja?
 
Kwani Biblia Takatifu ni Neno Pekee la Mwenyezi?!
Mbona Biblia Takatifu Inajishuhudia yenyewe!!

YN. 20:30 Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, zisizoandikwa katika kitabu hiki.

YN. 21:25 Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.

Hapa ndipo kanisa Katoliki tunamshukuru Mungu sana.
Kanisa linaamini kwenye
1.Maandiko Matakatifu
2.Mapokeo Matakatifu
3.Mamlaka

Ninyi mmeng'ang'ania kipande kimoja kweli mtafika kweli naona kwa mbali mnaishia njiani

Kuhusu Vyeo mbona Yesu Mwenyewe Amekaimisha Mamlaka yake kwa Kanisa?!

MT. 16:18-19 MWAMBA NI PETRO AU NI YESU?.
1WAKORINTHO 10:4, "Wote wakanywa kinywaji kile cha roho; kwa maana waliunywea MWAMBA wa roho uliowafuata; na MWAMBA ule ni "KRISTO".

Tunaisoma BIBLE na kuielewa kweli au TUNAIBAKA!?!!
 
MATHAYO 16:18-19 Haisemi Petro ni mwamba.

Kati ya Petro na YESU nani MWAMBA?

1WAKORINTHO 10:4, "Wote wakanywa kinywaji kile cha roho; kwa maana waliunywea MWAMBA wa roho uliowafuata; na MWAMBA ule ulikuwa ni KRISTO".

Tunaisoma BIBLIA na kuielewa kweli au TUNAIBAKA!?!!

mgen
 
Bwana Yesu Kristo kamwe hakuanzisha dini/Kanisa na wala hakuacha dini/Kanisa lolote hapa Duniani; bali, alileta habari njema ya WOKOVU kwa watu wote. Uroma katoliki/ Upapa umeanzishwa miaka 500 baada ya Bwana Yesu Kristo pamoja na mitume wake wote kuwa walikwisha ondoka Duniani. Ni dhehebu lililoanzishwa na waitaliano kwa maslahi ya kisiasa na kiuchumi ya waitaliano, baadaye wajerumani (Lutherani), waingereza (Anglikani) wakaiga. Romani katoliki haina uhusiano wowote na Kanisa/Ukristo wa karne ya kwanza wala mitume wa Bwana Yesu Kristo. Wanajibambika tu.
Tatizo watu hawasomi wamekaririshwa tu ujinga.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.

Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia

epuka kuongea sana ukaonesha ujinga wako , dini ya ukristu inaonesha njia sahihi muumini na kufuata hiyo njia ni kazi ya muumini , na kama vitabu vya dini vinavyosema "usihukumu maana na wewe utahukumiwa" nasi hatumuhukumu mtu maana mtoa hukumu ni mungu so mtu akiambiwa kanisa linatambua ndoa ya ke na me halaf yeye akaenda kuoana me kwa me au ke kwa ke basi hatumpi hukumu maana mtoa hukumu si mwanadama , na hii hali ndo inawafanya mseme ukristu unaruhusu ushoga maana dini zenu za kishetani eti mwanadamu ana toa hukumu kama mungu vile eti unamchinja kiumbe ambacho hujakiumba ( mnajikuta miungu watu wakati nanyi mtahukumiwa) , mwanadamu anampigania mungu ( uchizi ulioje) na mnasapoti , sheria zenu kali imefikia muda wadada zenu wa kiarabu wanatoa tigo ovyo ili kuilinda Bikra ( dini zenu ndo mnauhalalisha ushoga)
 
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Chanzo: bavicha.tz

Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.

Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Gentamycin mwezi umeanza kuandama upopoma unachanua kichwani msimu wake huu
 
Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.

Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
Acha ujinga uaskofu upo kwenye biblia umetajwa

Kwa point yako hata ugaidi unaungwa mkono na waislamu wote duniani
 
MATHAYO 16:18-19 Haisemi Petro ni mwamba.

Kati ya Petro na YESU nani MWAMBA?

1WAKORINTHO 10:4, "Wote wakanywa kinywaji kile cha roho; kwa maana waliunywea MWAMBA wa roho uliowafuata; na MWAMBA ule ulikuwa ni KRISTO".

Tunaisoma BIBLIA na kuielewa kweli au TUNAIBAKA!?!!

mgen
Halafu tabia yako ya kuweka # Hujui walioweka utaratibu huo ni Wakatoliki
Weka mafungu
Upo kubishia bishia tu!
Kifupi Yesu Alikuwa Anaongea na nani?!
 
Halafu tabia yako ya kuweka # Hujui walioweka utaratibu huo ni Wakatoliki
Weka mafungu
Upo kubishia bishia tu!
Kifupi Yesu Alikuwa Anaongea na nani?!
1WAKORINTHO 10:4
Ujue kutofautisha "Petro" ambayo ni "PETRA" yaani "JIWE DOGO" Kwa kiyunani. Siyo "MWAMBA" huo. Bali "MWAMBA" ni "KRISTO YESU" mwenyewe. [1WAKORINTHO 10:4]
 
Kuipigia magoti sanamu ya huyo mnaemuita bikira Maria sio kuabudu sanamu huko??
Hakuna mahali wakatoliki wanaipigia magoti sanamu ya bikira Maria mkuu. Check vizuri source za hiyo habari sio vyema kukashfu ilhali hata hujui unakashfu nini.
 
Back
Top Bottom