Tukisema Haji Manara ni Simba SC 'lia lia' mnatukatalia, haya 'mbishieni' na huyu mwenye Yanga SC yake DC wa Ikungi Jerry Muro kwa huu 'Ukweli' wake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,877
"Ninachojua tu ni kwamba Rafiki yangu Haji Manara ni Mwanachama Hai wa Simba SC na anaipenda Klabu ya Simba kuliko Kitu kingine chochote isipokuwa ujio wake huku Kwetu Yanga SC ni kutokana tu Hasira pamoja na kutafuta Ridhiki ila nina uhakika Siku isiyo na Jina Hasira zake zikiisha au Yanga SC Pesa zikiisha atarejea Simba SC ambako anakupenda zaidi" amesema Mkuu wa Wilaya ya Ikungi na mwana Yanga SC 'Kindakindaki' na aliyewahi pia kuwa Msemaji wa Yanga SC Jerry Cornelius Muro.

Nami GENTAMYCINE natamani sana tu Siku moja Wachezaji 'Wazawa' wa Simba SC akina Mkude, Boko, Manula, Kapombe na Kocha Msaidizi wa Simba SC Matola watoke hadharani waseme jinsi gani Msemaji wa sasa wa Yanga SC Haji Manara ambavyo huwa anawapigia Simu 'Kuwashutumu' hasa pale Simba SC inapofungwa kama Manara 'alivyokasirika' mno tu ile Siku Simba SC ilipofungwa na Mbeya City Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.

Endeleeni kuamini ni mwana Yanga SC!!!
 
Nadhani ni suala la maslahi yake binafsi tu, ni kama vile wachezaji wanavyotoka simba kuja yanga ama kinyume chake.

Kama anafanya kazi kwa weledi hiyo ishu ya kua simba wala haina shida kama haiathiri majukumu yake. Huwezi mlazimisha mtu ashabikie timu gani kisa umemuajiri yeye na moyo wake ndie wanajua.

Akihujumu timu sidhani kama yanga itamwacha salama.
 
Nadhani ni suala la maslahi yake binafsi tu, ni kama vile wachezaji wanavyotoka simba kuja yanga ama kinyume chake...
Ahujumu mara ngapi Mkuu? Kwani hivi sasa Sisi wana Simba SC 'Kindakindaki' na Watu wa Mpira na 'Umafia' wake hizi Siri za Waganga wa Yanga SC waliko, Mayele kuvaa Hirizi Mguu wake wa Kulia na ndiyo mbeba Hirizi Kuu ya Ushindi kwa Yanga SC na zile za Kununua Wachezaji wa Timu Pinzani ili Waharibu na Wacheze chini ya Kiwango ( Wajipigishe Shoti ) kama walivyofanya Mabeki Abdi Banda ( Mtibwa Sugar FC ) na Juma Nyosso ( Geita Gold FC ) anatupa ( anazitoa ) nani Kwetu kama siyo Yeye tena akiwa ameshalewa Pombe zake na Mirungi yake pale Slipway Masaki jirani kabisa na Kwake alikopangiwa na GSM?
 
Inajipaga stress za bure we jamaa
 
Hahahahaaaa Simba mtaweweseka sana msimu huu mtasema na kuropoka msivyotakiwa kuvisema mwisho wa siku mtahaibika. Shida ni kwamba mafanikio ya klabu ya Simba mpaka walipofikia wanategemea Uchawi,kununua marefa na timu pinzani ili kufanikisha malengo yao vinginevyo hamna kitu.

Mtaweweseka sana mpaka mtakoma mwisho wa tambo zenu umefika kila unapopita wenzio wanapita.Wakati Simba wanategemea Shetani wenzao Yanga wanamtegemea Mungu.

Mungu hajawahi shindwa vita na Shetani huko mlikokuwa mnakutegemea acheni mgeukieni Mungu vinginevyo mtazidi kudharilika na kupoteza muelekeo.
 
Ahujumu mara ngapi Mkuu? Kwani hivi sasa Sisi wana Simba SC 'Kindakindaki' na Watu wa Mpira na 'Umafia' wake hizi Siri za Waganga wa Yanga SC waliko, Mayele kuvaa Hirizi Mguu wake wa Kulia na ndiyo mbeba Hirizi Kuu ya Ushindi kwa Yanga SC na zile za Kununua Wachezaji wa Timu Pinzani ili Waharibu na Wacheze chini ya Kiwango ( Wajipigishe Shoti ) kama walivyofanya Mabeki Abdi Banda ( Mtibwa Sugar FC ) na Juma Nyosso ( Geita Gold FC ) anatupa ( anazitoa ) nani Kwetu kama siyo Yeye tena akiwa ameshalewa Pombe zake na Mirungi yake pale Slipway Masaki jirani kabisa na Kwake alikopangiwa na GSM?
Wajinga hawajui hii
 
Back
Top Bottom