Hii Hospitali Kubwa duniani inayotaka kuingia Mkataba na Yanga SC hawakuipata Kauli hii ya Ukweli ya Haji Manara?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
"Yanga SC wenye Akili timamu ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Mzee Kikwete na Baba yangu Mzee Manara na waliobaki wote hawana Akili kabisa" alisema Haji Manara Mwanachama wa Yanga SC, aliyekuwa Msemaji wa Yanga SC na Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC.

Kwa wanaotaka kumsikia Haji Manara akisema haya nendeni katika YouTube mkamsikie pale alipokuwa akihojiwa na East Africa Tv na EFM Radio..

GENTAMYCINE namalizia kwa Kuuliza kwanini hii Hospitali Kubwa duniani inataka kuingia Mkataba na Watu wasio na Akili ambao ni Yanga SC?

ANGALIZO

Hupendi utani achana na huu Uzi Ok?
 
Rage yeye alisema wale wengine wooote ni mbumbumbu.
 
Luc Eymael alisema utopolo wote ni nyani
FB_IMG_1707213280656~3.jpg
 
"Yanga SC wenye Akili timamu ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Mzee Kikwete na Baba yangu Mzee Manara na waliobaki wote hawana Akili kabisa" alisema Haji Manara Mwanachama wa Yanga SC, aliyekuwa Msemaji wa Yanga SC na Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC.

Kwa wanaotaka kumsikia Haji Manara akisema haya nendeni katika YouTube mkamsikie pale alipokuwa akihojiwa na East Africa Tv na EFM Radio..

GENTAMYCINE namalizia kwa Kuuliza kwanini hii Hospitali Kubwa duniani inataka kuingia Mkataba na Watu wasio na Akili ambao ni Yanga SC?

ANGALIZO

Hupendi utani achana na huu Uzi Ok?
hiyo kauli haiwahusu hao wenye hiyo hospitali kubwa,kwani wao hawafanyii kazi vibwanga vya kwenye mitandao,wanafanyia kazi facts kuhusu ubora wa timu
 
"Yanga SC wenye Akili timamu ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Mzee Kikwete na Baba yangu Mzee Manara na waliobaki wote hawana Akili kabisa" alisema Haji Manara Mwanachama wa Yanga SC, aliyekuwa Msemaji wa Yanga SC na Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC.

Kwa wanaotaka kumsikia Haji Manara akisema haya nendeni katika YouTube mkamsikie pale alipokuwa akihojiwa na East Africa Tv na EFM Radio..

GENTAMYCINE namalizia kwa Kuuliza kwanini hii Hospitali Kubwa duniani inataka kuingia Mkataba na Watu wasio na Akili ambao ni Yanga SC?

ANGALIZO

Hupendi utani achana na huu Uzi Ok?
aga khan nao ni utopolo tuu
 
Iache timu la wana timu la wananchi baki na wivu lako😁
 
Hizi hospital , banks etc ni bora zingefanya sponsorship kwa vilabu kuliko kuwa na package kwa wanachama..naona kama impact yake ni ndogo maana mashabiki na wanachama wengi kuafford hata bima ndogo ndogo ni mtihani
hapana hii assumption yako ni mbovu
 
Back
Top Bottom