Je, kwa Manara Kuhamia Yanga SC huku aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara nae kuhisiwa kwenda huko, si Uthibitisho kuwa Simba SC ina 'Virusi' wengi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,031
Ukiachia mbali kwa Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa ni mwana Yanga SC kwani hata miaka ya nyuma alishakuwa Mwenyekiti wa Pan African FC GENTAMYCINE nimehakikishiwa tena na Ndugu Mmoja na Majirani kuwa hata Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC lia lia.

Kwa Kitendo cha Haji Manara kwenda Yanga SC, aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuhusishwa kutaka kuhamia Yanga SC, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu na Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally nathubutu Kukiri wazi hapa JamiiForums kuwa Simba SC ni Mabingwa wa Umafia ila Yanga SC ni Mabingwa wa Ujasusi na wanaujua na kutujulia mno wana Simba SC.

Taratibu sasa naanza Kuamini Kauli ya Haji Manara (aliyekuwa Msemaji wa Simba SC) aliposema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa miaka Kumi ( 10 ) mfululizo.

Pia GENTAMYCINE sasa nimeelewa ni kwanini Uongozi wa Simba SC tokea Mwezi February mwaka huu (2023) ilipanga Kumfuta Kazi Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally baada ya Kiongozi Mmoja (namhifadhi) kusema ni Kirusi (akimaanisha ni mwana Yanga SC) ila Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji akakataa asiondolewe akiamini ni mwana Simba SC wakati tayari 75% ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC wanajua kuwa ni Kirusi na Kitatugharimu Simba SC hata kama tunajipanga na Kujidhatiti kwa Usajili mkubwa na mzuri.
 
Simba wamesajili vizuri ila yanga atakuwa bingwa maana kati au mwanzo wa ligi lazima patatokea mgogoro utakaoshusha morali wachezaji Kisha utatatuliwa kama msimu uliopita hapo yanga ataweka gape ya point 9 Kisha Simba ataanza kufukuza
Akishtuka Yanga bingwa
 
Na Saidoo atafunga goli 6 mechi Moja ya mwisho au pili kutoka mwisho watamlaumu Mangungu nae atawaambia msimu ujao Maxwell ni wao habari Kwisha pre season inaanza wanachukua Fei kutoka Azam mashabiki watakwambia msimu ujao Simba itatisha
Dah.. Ni aibu
 
Wewe mkerewe una tabia za kimama sana! Inaonekana umelelewa ujombani! Kushinda umesimama kwenye vijiwe vya kahawa unasikiliza porojo ndio unazibeba unaleta kwenye hapa jukwaani! Hujawahi kuleta habari yeyote ya maana hapa zaidi ya porojo za wauza gahawa.

Alfajiri tu saa kumi na moja umeshafika karume sokoni kwenye vijiwe vya gahawa kusikiliza porojo, una bahati tu ulipata mke wa kikerewe unaemtesa uko kitunda, unamuibia vipesa vyake anavyolima mbogamboga ili upate hela ya kuwahi karume kupiga porojo asubuhi mpaka jioni.
 
Ukiachia mbali kwa Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa ni mwana Yanga SC kwani hata miaka ya nyuma alishakuwa Mwenyekiti wa Pan African FC GENTAMYCINE nimehakikishiwa tena na Ndugu Mmoja na Majirani kuwa hata Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC lia lia.

Kwa Kitendo cha Haji Manara kwenda Yanga SC, aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez kuhusishwa kutaka kuhamia Yanga SC, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu na Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally nathubutu Kukiri wazi hapa JamiiForums kuwa Simba SC ni Mabingwa wa Umafia ila Yanga SC ni Mabingwa wa Ujasusi na wanaujua na kutujulia mno wana Simba SC.

Taratibu sasa naanza Kuamini Kauli ya Haji Manara ( aliyekuwa Msemaji wa Simba SC ) aliposema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Yanga SC itakuwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa miaka Kumi ( 10 ) mfululizo.

Pia GENTAMYCINE sasa nimeelewa ni kwanini Uongozi wa Simba SC tokea Mwezi February mwaka huu ( 2023 ) ilipanga Kumfuta Kazi Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally baada ya Kiongozi Mmoja ( namhifadhi ) kusema ni Kirusi ( akimaanisha ni mwana Yanga SC ) ila Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji akakataa asiondolewe akiamini ni mwana Simba SC wakati tayari 75% ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC wanajua kuwa ni Kirusi na Kitatugharimu Simba SC hata kama tunajipanga na Kujidhatiti kwa Usajili mkubwa na mzuri.
poleni...
 
Umeupiga mwingi kama huyu jamaa
IMG-20230720-WA0021.jpg

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
ukweli akienda yanga basi virusi ni vingi

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mkerewe una tabia za kimama sana! Inaonekana umelelewa ujombani! Kushinda umesimama kwenye vijiwe vya kahawa unasikiliza porojo ndio unazibeba unaleta kwenye hapa jukwaani! Hujawahi kuleta habari yeyote ya maana hapa zaidi ya porojo za wauza gahawa.

Alfajiri tu saa kumi na moja umeshafika karume sokoni kwenye vijiwe vya gahawa kusikiliza porojo, una bahati tu ulipata mke wa kikerewe unaemtesa uko kitunda, unamuibia vipesa vyake anavyolima mbogamboga ili upate hela ya kuwahi karume kupiga porojo asubuhi mpaka jioni.
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
Bongo mambo yao skendo tu......ndio maana huwa nawakubali sana mashabiki wa sokasoka kindakindaki wasiojihusisha na soka la bongo
 
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
Sisi tunaomiliki vyombo vya moto tunapokuwa barabarani uwa tuko makini tusiwagonge wendawazimu kama wewe mnao vuka barabara bila ufahamu kwa sababu ya wazimu wenu wa kurukwa na akili!!
Utajiona umeheshimwa kwa kukupisha kumbe ni kukuonea huruma tu kwasababu ya wazimu wako pole sana.
 
p

popoma kama popoma mwandishii mpuuuzi ,trush.
 
acha ku andika pumba we mwamba JF nzima ,tumekuchoka na upuuzi wako

Back
Top Bottom