GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,595
- 108,963
Hivi ni kwanini lakini Viongozi wa Yanga SC hupenda Kuwadanganya Mashabiki wa Yanga SC na kuwaona ni kama vile hawana Akili na siyo Watu wanaopenda Kufuatilia mambo / masuala mtambuka ndani na nje ya Tanzania?
Kwa mshangao na masikitiko makubwa kabisa leo Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na hata baadae Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwa pamoja na nyakati tofauti wamesema kuwa Tanzania nzima hadi Afrika Mashariki ni Yanga SC tu pekee ndiyo Klabu iliyoweza kuingia Mkataba mnono na Hospitali Kubwa ya Agha Khan ambao ni wa mwaka mmoja.
Na kama kawaida Mijitu ( Mishabiki ). ya Yanga SC iliyo miepesi kukubali Uwongo na Kudanganywa imekubali na kujiona kuwa Wao ndiyo Waanzilishi wa Mafanikio ya Mikataba na Biashara hapa Tanzania wakati ukweli ni kwamba Vilabu vya Simba SC na Azam FC vimeizidi Yanga SC kwa mbali mno.
Haya Rais wa Yanga, Msemaji na Mashabiki wote wa Yanga SC GENTAMYCINE nimeamua Kuwaumbueni kwa Uwongo wenu kwa kuwawekea Ushahidi hapa chini wa Klabu ipi kati ya Yanga SC na Azam FC ndiyo ilikuwa / imekuwa ya Kwanza kuingia Mkataba mnono na Hospitali Kubwa na ya Kimataifa ambayo miongo Minne iliyopita ilifanikisha kusaidia Kunileta duniani kwa Msaada mkubwa wa Manesi Wawili wa Kizungu Sister Agatha na Sister Brenda huku Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akiwa wa Kwanza kuja Kuniona na Kunibeba akitokea Ikulu Magogoni na kunipa Jina langu halisia la mwana Mapinduzi mkubwa wa Afrika ninalodumu nalo hadi sasa / leo na Nitazikwa nalo pia pale nikiitwa Mbinguni kwa Mungu Baba.
Tarehe 1 Februari, 2023
KLABU ya Azam FC imeingia mkataba wa miaka miwili na hospitali ya Aga Khan kwa ajili ya matibabu ya wachezaji na wafanyakazi wake wote.
Taarifa ya Azam FC imesema kwamba mkataba huo wa miaka miwili umesainiwa leo katika hospitali hiyo iliyopo eneo la Sea View Upanga Dar Es Salaam.
Mtendaji mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Nurdin Mohamed Amin 'Popat' na mwenzake Sisawo Konteh wa Aga Khan ndiyo waliosaini mkataba huo kwa niaba ya taasisi zao
( Chanzo ni Mtandao wa Michezo wa Bin Zubeiry na pia Taarifa hii ipo katika Mitandao mingine mbalimbali na hata katika Mtandao wao Hospitali ya Agha Khan )
Haya Mapovu ruksa enyi Mazuzu Ok?