Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
So beautiful, huyu jamaa anataka watu wavae magunia meusi kama uarabuni? Tumbaffff
Apo chacha!
So beautiful, huyu jamaa anataka watu wavae magunia meusi kama uarabuni? Tumbaffff
Mwanamke kuvaa nguo fupi na mwaume kuwa shoga lipi baya zaidi?Habari zenu ndugu zangu,
Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.
Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?
Naomba ungana na mimi katika hili
Mkuu ulitaka kuandika wanaoafiki au wanafiki?Wanaofiki waseme ndioooooooo
Kusema ukweli Mwenyezi mungu mwenyewe anatuamrisha tuvae mavazi yenye stara mbele ya jamii kwa maana mwanamke kuvaa nguo fupi na kuonyesha mapaja ni kujirahisisha tu hakuna namna nyingine.machangudoa ndo wanaovaa nguo fupi ili kuvutia wateja sasa kama mwanamke yeyote akivaa hivyo ana tofauti gani na makahaba wanaojiuza?uhuru gani wa mavazi wa kipuuzi namna hii?
Hapa ulitaka kumaanisha nini mkuu?shuka au chukia?Waache wavae tu. Ukipenda chuka, ukichukizwa acha.
Ukitazama kwa jicho la tatu utaweza kuona kuwa kuwa kuna mahusiano ya karibu sana kati ya yule mwovu na mwanamke.......haileti mantiki kuona mtu mwenye akili timamu anapigania haki ya kutembea uchi na kutaka....Haishangazi hata kusikia yule mwovu alianza kumshawishi mwanamke kwa sababu aliangalia mtu anayefanana naye........Ndio maana tukiangalia video za watoa mapepo utakuta waathirika wengi ni wanawake........
Waarabu na wazungu walitukuta tukitembea uchi sasa hayo maadili unayoyasema wewe umeyapatia wapi? anza na wamasai kwanza au wanawake wa kihindi wanaojifunika baadhi ya sehemu na kuacha baadhi ya sehemu
Kusema ukweli Mwenyezi mungu mwenyewe anatuamrisha tuvae mavazi yenye stara mbele ya jamii kwa maana mwanamke kuvaa nguo fupi na kuonyesha mapaja ni kujirahisisha tu hakuna namna nyingine.machangudoa ndo wanaovaa nguo fupi ili kuvutia wateja sasa kama mwanamke yeyote akivaa hivyo ana tofauti gani na makahaba wanaojiuza?uhuru gani wa mavazi wa kipuuzi namna hii?
Na tutazidi tu kuvaa tutakavyo hamna wa kutupangia na miili yetu#Mybodymychoice
unajua ndugu hili jambo linaniuma sana siku 1 nilikua na bwana 1 wakapita mabinti fulani wamevaa vibaya kwa kweli, yule bwana akaniambia ukimwona mwanamke amevaa vibaya usipate shida kumtambua ujue ni wa kikristo,
na hili jambo watu wanaweza pinga lakini lina ukweli ndani yake,japo sio wote, kwani kuna wengine wanaheshima zao,
hata upande wa wanawake wa kiislam wapo pia wanao vaa vibaya,
tatizo ni mporomoko wa maadili katika nchi yetu,tofauti na zamani,utandawazi umekua mwiba kwa taifa,
tv station zimechangia kwa kiasi kikubwa kuondoa maadili katika jamii kwa ushirika na wasanii wa tasnia ya bongo movie na bongo flava,
tatizo kubwa kwa taifa ni kuiga mabaya na kuacha kuiga mazuri,matokeo yake tunatengeneza taifa la wahuni na wavaa vimini,
nilazima kama taifa turudi kwenye misingi ya tamaduni zetu ambazo ni heshma,
hembu kama taifa turudi kwenye mstari tuache mambo ya kuiga iga,
Kusema ukweli Mwenyezi mungu mwenyewe anatuamrisha tuvae mavazi yenye stara mbele ya jamii kwa maana mwanamke kuvaa nguo fupi na kuonyesha mapaja ni kujirahisisha tu hakuna namna nyingine.machangudoa ndo wanaovaa nguo fupi ili kuvutia wateja sasa kama mwanamke yeyote akivaa hivyo ana tofauti gani na makahaba wanaojiuza?uhuru gani wa mavazi wa kipuuzi namna hii?
Hayo maagizo unayoyasema yaliletwa na dini ambazo zilitukuta tupo na tunaishi tukiwa na mila, desturi na tamaduni zetu hivyo ukiongelea habari ya Mungu anasemaje unaongelea imani ya mtu binafsi, ukiongelea desturi basi turudi tu kuvaa magome na ngozi tofauti na hapo mavazi ni utashi wa mtu, kila mtu aendelee kufanya yanayoupendeza moyo wake
Kwani we ulivozaliwa ulikuta watu wanavaa magome ya miti.....Kuvaa kwa stara ni busara na ndo tamaduni za kistaarabu...kukaa uchi ni ujinga na wala sio asili ya binadam yyte...kwa maana wote tumezaliwa na ustaarabu tumeukuta kilichifanya watu wavae miti ni technolojia ndogo ya utengezwaji wa nguo Ila baada ya maendeleo ya viwanda vya nguo watu waliistiri mili yao...hakuna asili ya kuishi uchi Ila kuna historia ya MTU kuzaliwa uchi kisha stara ya kuvaa inafuata nano kasema asili yake ni kuvaa mlegezo...au kuvvaa kimini mipaja hadi mikalio inaonekana...hakuna asili ya kukaa uchi kwa binadam yyte yule.....labda awe in mnyama
SHABANIMAVOCHA
mimi naomba niliweke jambo hili wazi kwanza kabisa nitangaze kwamba mimi ni (Mkristo)
naomba sasa nijikite kwenye mada:
katika tafiti zangu nimegundua wanawake wa kikrito walio wengi ndio wanao vaa bila kuzingatia maadili tofauti na wanawake wa kiislam,
napenda kuwapongeza sana wanawake wengi wa kiislam kwa kuvaa nguo za heshma na kijisitiri miili yao wanapendeza sana sana,na inaleta uthamani wa mwanamke,
ushauri wangu kwa wanawake wa kikristo walio wengi wasiopenda kuvaa nguo za heshma na kujisitiri,
kwanza kabisa ni kujitambua kwamba kuvaa nguo zisizo na heshma ni kujidhalilisha mbele za mwanaume, kwani cc wanaume walio wengi watakapo kuoa utafuta mwanamke anayependa kujisitiri mwili na mwenye heshma,
bali hawa wanao vaa vichupi walio wengi hawaolewi bali utamaniwa kwa zinaatu na sio kuoa kama mke, kwaiyo ni vyema wakabadilika na hata kuiga kwa wanawake wa kiislam kuvaa kwa heshma, tusipende kuiga sana tabia mbaya za wageni hembu turudi kwenye ualisia wetu wa kitanzania,
Fumba macho, pofusha macho au hamia uarabuni .....
...