SOGHOO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,268
- 568
Kama hupendi kuona wanawake wenye nguo fupi, basi ukiwaona tizama pembeni usiwaangalie tuachie sisi tunaopenda kuwaangalia. Mbona mkeo kuna wakati hana nguo kabisa ukiwa nae nyumbani lakini hulalamiki.
Nchi huru wanawake wake nao waache wawe huru. wewe unavyovaa kata K mbona huulizwi, unavyopiga mziki mnene kwenye bar yako mbona huulizwi, unapopita barabarani umelewa unaimba kilugha mbona hatukuulizi.