WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,018
Zama hizi za Uhuru ulipitiliza
Kwani we ulivozaliwa ulikuta watu wanavaa magome ya miti.....Kuvaa kwa stara ni busara na ndo tamaduni za kistaarabu...kukaa uchi ni ujinga na wala sio asili ya binadam yyte...kwa maana wote tumezaliwa na ustaarabu tumeukuta kilichifanya watu wavae miti ni technolojia ndogo ya utengezwaji wa nguo Ila baada ya maendeleo ya viwanda vya nguo watu waliistiri mili yao...hakuna asili ya kuishi uchi Ila kuna historia ya MTU kuzaliwa uchi kisha stara ya kuvaa inafuata nano kasema asili yake ni kuvaa mlegezo...au kuvvaa kimini mipaja hadi mikalio inaonekana...hakuna asili ya kukaa uchi kwa binadam yyte yule.....labda awe in mnyama
Wewe miji yetu hii haina maua na bustani angalau hao ndio wanafanya mji unavutia..usilete itikadi zako hapo.za sitimbi
Swali la msingi kabisaNaomba unijuze kwanza hayo maadili ya kwetu ni yapi..? Tuanzie hapo kwanza..
Swali la msingiNi lini nchi hii imekuwa ya kihafidhina? Na hayo maadili unayopigania ni yapi hasa?
Mambo ya ajabu sanaWaarabu na wazungu walitukuta tukitembea uchi sasa hayo maadili unayoyasema wewe umeyapatia wapi? anza na wamasai kwanza au wanawake wa kihindi wanaojifunika baadhi ya sehemu na kuacha baadhi ya sehemu
Hakikadunia ingekuwa sehemu salama sana kama kila mtu angemind mambo yake
Sio kweliWengi wanaovaa hivyo huwa hawajiamini kuwa ni wazuri hivyo wanaona bora waachie sehemu ya mwili wao kwa kuvaa nguo fupi au zinazobana ili tu fulani aone kitu fulani kwenye mwili wake..
Akili zao huwa ni ndogo sana na ndo maana mapepo huwafata wao kila mara yaani kwenye watu 1000 wenye mapepo wawili tu ndio wanaume
Mbona kwa wazungu ambapo watu wanatembea karibia uchi kabisa kiwango cha Ukimwi ndio kipo chini??Huwa najiuliza inakuaje serikali inakemea ngono zembe nakutumia pesa nyingi kuhamasi Sha ogopa ukimwi unauwa
lakini haohao wanaruhusu wanawake kuhamasisha ngono kupitia vinguo vifupi na vima vazi vya uchi uchi Sana ?
Inakuaje hii?
Kwahiyo wewe Yoda unashauri mama zetu wakezetu na watoto zetu wa kike watembee uchi makanisani,misikitini,na barabarani?Mbona kwa wazungu ambapo watu wanatembea karibia uchi kabisa kiwango cha Ukimwi ndio kipo chini??
Mimi inananihusi nini wakitembea uchi??Kwahiyo wewe Yoda unashauri mama zetu wakezetu na watoto zetu wa kike watembee uchi makanisani,misikitini,na barabarani?
Umesema kambale wengi ziwa nyasa?Mimi inananihusi nini wakitembea uchi??