Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

SHABANIMAVOCHA

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
320
65
WABONGO.jpg

Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili
 
Waarabu na wazungu walitukuta tukitembea uchi sasa hayo maadili unayoyasema wewe umeyapatia wapi? anza na wamasai kwanza au wanawake wa kihindi wanaojifunika baadhi ya sehemu na kuacha baadhi ya sehemu
 
Na nyie mbona hamvai bukta Kama za shule ya msingi Kama zaman wakat ndo utamaduni wetu badala yake mnavaa suruali tena modal na wengine minyonyo MTU anaishi anavyotaka siyo wewe unavyotaka wewe istoshe asilimia kubwa ya nguo tunazovaa tumeiga hivyo MTU anachagua fashion Gan avae ukisema turudi asili yetu tutaanza kuvaa ngoz na kaniki
 
SHABANIMAVOCHA

Usituletee imani za dini wengine wanaongozwa na fikra zao as long as they do not offend somebody's rights na si za "mtu" aliye huko juu- sijui juu ni wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kusema ukweli Mwenyezi mungu mwenyewe anatuamrisha tuvae mavazi yenye stara mbele ya jamii kwa maana mwanamke kuvaa nguo fupi na kuonyesha mapaja ni kujirahisisha tu hakuna namna nyingine.machangudoa ndo wanaovaa nguo fupi ili kuvutia wateja sasa kama mwanamke yeyote akivaa hivyo ana tofauti gani na makahaba wanaojiuza?uhuru gani wa mavazi wa kipuuzi namna hii?
 
Back
Top Bottom