Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

Wengi wanaovaa hivyo huwa hawajiamini kuwa ni wazuri hivyo wanaona bora waachie sehemu ya mwili wao kwa kuvaa nguo fupi au zinazobana ili tu fulani aone kitu fulani kwenye mwili wake..
Akili zao huwa ni ndogo sana na ndo maana mapepo huwafata wao kila mara yaani kwenye watu 1000 wenye mapepo wawili tu ndio wanaume

Hili wala halina ushahidi.......
 
Huwezi kufanikiwa mkuu. Mwanamke ameumbwa kwa ubavu uliopinda.Ukitaka kuunyoosha utauvunja.
 
Kuwa wanaume wanapenda kuoa waliojigubika siyo kweli. Kila mtu na mapenzi yake.

Unazungumzia nguo fupi au kuvaa vichupi?

Uhalisia wa KItanzania ulikuwaje? wa lini? Watanzania kwa miaka mingi sana walikuwa wanatembea uchi.

tatizo la walio wengi ni ubishi usio na sababu, mimi nimeoa miaka 30 iliyopita ninao uzoefu mkubwa sana,

sasa turudi kwenye ualisia wenyewe chunguza ndoa nyingi za sasa hazidumu kwa sababu wanaume walio wengi uoa kwa kutamani na sio kupenda,

nitafafanua vizuri nini kutamani na nini kupenda;

kutamani kunatokana na macho kuona kitu chenye kusisimua au kuchochea kitu flani na kunako zaa tendo kutokea,baada ya tendo hiyo hali utoweka,

upendo utoka moyoni na upendo udumu tofauti na kutamani kunakotokana na macho,

ndio maana na sema haya mavazi uzaa zinaa na sio upendo na hili uwaathiri sana mabinti kwa kuchezewa na wanaume,

hakuna mwanaume mwenye akili timamu, atakubali mkewe avae nusu uchi,

vazi la heshma kwa mwanamke ni utukufu kwa mumewe, hata mbele za MUNGU ni thawabu,
 
Hebu acheni fujo....hao kina dada wa vimini ndio rahisi kuwapata kwenda kuwakamua papuchi sasa tena nini??? Heeee
 
Yaani atoto wengi wanakurupuka na kuja na notion kwamba ati maadili ya Mtanzania.. Tuna maadili gani sisi collectively yanayoitwa maadili ya kitanzania..? Baadhi ya makabila yanakeketa wanawake, nayo ni maadili ya Watanzania..? Baadhi ya makabila yanawaoza watoto wadogo mradi wakishavunja ungo na kuchezwa, ndio maadili ya kitanzania hayo..?

Tuacheni huu unafiki wa ati tuna maadili ya kitanzania..
Nisaidie kumuongezea hicho anachokiita maadili ya Mtanzania kuna wengine wanaume hawatahiri..kama naye alikosea akatahiriwa aende hospitalini akarudishe ule mfuniko mrefu wa sirini ,kama ni mwanamke basi akakatwe kale kaharag...ili anachokiita MAADILI kitimie nyambaf.kwako miss chagga,masai dada,Arushaone et al
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili

Tuwaache wadada na akina mama wavae watakavyo,ukitafuta mchumba tafuta anaye fanana na msimamo wako. Temeumbwa kwa tabia tofauti!
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili

NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOoooooooooooooooooooooooo
 
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili

acha udhaifu kijana. wana uhuru. mi mwenyewe natamani sana ningewanyoa midevu wanaume wote wenye kufuga fuga midevu hovyo hovyo, ila nawakaushia kwasababu ni uhuru wao.
 
Nisaidie kumuongezea hicho anachokiita maadili ya Mtanzania kuna wengine wanaume hawatahiri..kama naye alikosea akatahiriwa aende hospitalini akarudishe ule mfuniko mrefu wa sirini ,kama ni mwanamke basi akakatwe kale kaharag...ili anachokiita MAADILI kitimie nyambaf.kwako miss chagga,masai dada,Arushaone et al
mimi huo uroto ndo sitakagi kusikia kabisaa navaa kulingana na mahali nilipo na simaindi uvaaji wa yoyote yule ndo maana ndo kwanza nanenepa ukimindi sNa mambo ya watu unakuwa umekondeeana na mavidonda ya tumbo
 
Na hasa ukimind ya wajingawajinga.mfano aliyeishiwa ela ya kwenda kilabuni kupata serengeti za baridi utackia akilaumu ooh unaona yule hataki kufuata maadili ya mtanzania kuacha pombe,ukitumia gari yako kwenda job,oooh anachezea pesa badala angepanda basi...hapo si karibu tu!Yaani ilimradi iwe shida tu amiliki remote ya maisha yako.mie nasema wanitokee viumbe hawa wazito.
 
Inategemea ni fupi kiasi gani. Mm navaa fupi na ya heshima kwa sababu hata mungu hakukosea usafiri wangu so mtuacheeeee!
Wengine wanavaa fupi hadi wanajishtukia na kuanza kuivutavuta wanapotembea barabarani.
 
badala ya kuwakemea, ni bora kukubaliana na hali na kujaribu kubadilisha mawazo yetu na kuona ni kitu cha kawaida ili hata akipita na kinguo kifupi usisimamishe ovyo ovyo, western countries wanatembea na vinguo vifupi ila cha ajabu ni hizi nchi zetu tunajifanya tuna maadili ila ndo tunaongoza kwa kesi za ubakaji..
 
Na hasa ukimind ya wajingawajinga.mfano aliyeishiwa ela ya kwenda kilabuni kupata serengeti za baridi utackia akilaumu ooh unaona yule hataki kufuata maadili ya mtanzania kuacha pombe,ukitumia gari yako kwenda job,oooh anachezea pesa badala angepanda basi...hapo si karibu tu!Yaani ilimradi iwe shida tu amiliki remote ya maisha yako.mie nasema wanitokee viumbe hawa wazito.
ukiweza kumind mambo yako haya maisha utayaona marahisi sana

usimfatilie yoyote yule haya maisha yanakuwa easy sana kwako
 
badala ya kuwakemea, ni bora kukubaliana na hali na kujaribu kubadilisha mawazo yetu na kuona ni kitu cha kawaida ili hata akipita na kinguo kifupi usisimamishe ovyo ovyo, western countries wanatembea na vinguo vifupi ila cha ajabu ni hizi nchi zetu tunajifanya tuna maadili ila ndo tunaongoza kwa kesi za ubakaji..
mauaji na kutesa watoto wa kazi like hell
 
badala ya kuwakemea, ni bora kukubaliana na hali na kujaribu kubadilisha mawazo yetu na kuona ni kitu cha kawaida ili hata akipita na kinguo kifupi usisimamishe ovyo ovyo, western countries wanatembea na vinguo vifupi ila cha ajabu ni hizi nchi zetu tunajifanya tuna maadili ila ndo tunaongoza kwa kesi za ubakaji..
Maneno kuntu haya wabongo ni kuwaza ngono kila SAA akiona mtu amevaa nguo fupi au ya kubana. Wakubali kubadilisha mawazo na kuona kawaida. Watanzania kwa kupangia wengine lifestyle hawajambo na kufatitlia ujinga tu. Sasa mtu anamuona Dada kavaa kimini anasimamisha kiboro chake ka sikujiendekeza nini?
Na wanaovaa kiheshma na kujisitiri ndo wanao ongoza kwa tabia mbovu.
 
Kushabikia wanawake wanavaa nguo ambazo hazina staha sio tabia njema hata kidogo ni ulimbukeni tu na kuiga tamaduna wasizo zielewa huu ni upuuzi tu
 
Maneno kuntu haya wabongo ni kuwaza ngono kila SAA akiona mtu amevaa nguo fupi au ya kubana. Wakubali kubadilisha mawazo na kuona kawaida. Watanzania kwa kupangia wengine lifestyle hawajambo na kufatitlia ujinga tu. Sasa mtu anamuona Dada kavaa kimini anasimamisha kiboro chake ka sikujiendekeza nini?
Na wanaovaa kiheshma na kujisitiri ndo wanao ongoza kwa tabia mbovu.

Hicho kiboro hakisimami chenyewe, hayo maungo unayoyaacha wazi ndio yanayoisimamisha..

Tembeeni uchi basi tujue moja...unakuta mtoto wa kike unavaa nguo fupi..halafu kila mda unahangaika kuishusha kwa mikono..ulilazimishwa?..ukikaa unaweka pochi juu ya mapaja.

Kujitesa kote huko kunatokana na kufuata mkumbo..wanawake mna bore..ndio maana kule Afrika kusini wenzenu wanabakwa sana daily...na wengi wa wabakaji wanasema hizo nguo fupi ndio zinazowapelekea kutenda hayo..

Hapa hoja sio tabia..tabia na nguo ni vitu viwili tofauti..
 
Back
Top Bottom