Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

Acha kuwafuatafuata wanawake na mavazi yao. Kama hutaki kuwaona waliovaa nguo fupi basi ukiwaona angalia pembeni au fumba macho yako. Watu wengine banaaa mnapenda kufuatilia mambo madogo madogo yasiyowahusu hata chembe.
 
Picha tafwadhali!!! Picha inabeba neno elfu moko!!!
 
vp kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja tena hujawaoa na unajua kuwa unawachezea ni maadili au sio maadili?
 
We kila mtu afuate yake kwa utashi wake, we wakitembea uchi unapungukiwa nini? Au unatamani,
 
Kama kuiga ni vibaya basi tuache kabisa kuvaa nguo au turudi kwenye ule utamaduni wetu kuvaa makirikiri yatokanayo na ngozi za wanyama au magome ya miti.Pia hata magari tusipande kama ilivyokuwa utamaduni wetu.
 
Back
Top Bottom