Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

View attachment 268021

Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili

Wewe hujui unachosema, kama anataka maadili hubiri habari njema sio kukemea watu haisaidii, mchepuko sio dili ipo kila tv channel na watu hawaachi michepuko ndo uanze kuhangaika na vimini, hujui moyo Wa mwanadamu naona
 
Acha wavae ili upate ujasiri wa kuyashinda, maana huwez kusema umeshinda vishawishi wkt hujakutana navyo, vaeni mtakavyo watakao naswa sawa, watakao kwepa sawa, ila acha ngano ikue pamoja na magugu, yuamkini hao wavaao nguo fupi wataurithi ufalme wa mbinguni ila mm
SIELEWI
 
Wamekukosea nini?
Huoni joto ya Dari salama?
Ishi maisha upendavyo-ya mwingine yanakuhusu nini?. Hujui biashara matangazo?
Nini maana ya huru kwani wako uchi?
 
Mtoa mada dunia ya sasa ina shetani wa hatari. Vitabu vyote vya dini vinasema vaeni nguo za kuwastili. Lakini wanawake wanaona ni ishu kutembeza vipaja nje. Wakati sisi tunawaona ovyo tu
 
badala ya kuwakemea, ni bora kukubaliana na hali na kujaribu kubadilisha mawazo yetu na kuona ni kitu cha kawaida ili hata akipita na kinguo kifupi usisimamishe ovyo ovyo, western countries wanatembea na vinguo vifupi ila cha ajabu ni hizi nchi zetu tunajifanya tuna maadili ila ndo tunaongoza kwa kesi za ubakaji..
Mi nashauri pia tukemee wanaotembelea magari kama Land cruiser lexus,Range... Vogue, BMW X 6 kwani yanakiuka maadili yetu na kinyume cha umasikini wetu tulio wengi,pia itasaidia kuficha matabaka ya kipato tulonayo, ili tuendelee kupanda punda.Tatizo letu huwa tunapeleka mawazo kwenye uchi hapo ndo tatizo linapoanzia
 
Mimi huwa nashindwa kielewa. Ukiwaambia watu turuhusu ndoa za jinsia moja, watu watakwambia ni ushetani. Ukisema kuvaa nusu uchi haifai, utaambiwa mind your own business. Double standard
 
11695771_1447288535575947_5096561129623188364_n.jpg
 
tuwe tunaangalia na wanawake wa kuwakemea sasa hapa kunamwaamke kwer
 
Wanaosema sio wameshinda
Wakivaa nguo ndefu tutafanyaje shopping???
Wazee wetu zamani kabla mzungu hajaja, tulikuwa tunatembea uchi. Na demu akisha kuvutia unabeba moja kwa moja mbio nyumbani. Asubuhi unakwenda kutoa taharifa kwao kuwa umebeba tayari.
Huko mpaka hapo? Siku hizi wanafunika matako hamna kubeba tena mpaka ubembeleze avue uangalie kama hiko sawa au ni masiponge ndo unafanya maamuzi:glasses-nerdy:
 
View attachment 268021

Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili

Itabidi Tuanze Na FAIZA Wa Muheshimiwa SUGU. Tukiweza Kumbadilisha Faiza Kwa Wengine Itakua Kazi Ndogo.
 
Mimi huwa nashindwa kielewa. Ukiwaambia watu turuhusu ndoa za jinsia moja, watu watakwambia ni ushetani. Ukisema kuvaa nusu uchi haifai, utaambiwa mind your own business. Double standard

Hahahahaaa....ni shidaaa
 
View attachment 268021

Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili

Unaongelea maadili gani?Bibi na babu zetu wa enzi hizo walikuwa hawana nguo zaidi ya vipande vya kuwaficha sehemu zao za siri, cheki picha za 1800s. Hata hivyo nakuunga mkono wadada wa siku hizi wamezidisha kuvaa nguo fupi hata sehemu ambazo hazifaa.
 
Huu niupuuzi,hizo sharia peleka nsikitini kwenu usitake dunia irudi nyuma miaka ya 1904
 
View attachment 268021

Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili
Sidhani kama ni sahihi kupoteza muda kwa kuangalia mtu amevaa nii kwa miaka hii ya utandawazi, ni vizuri kuzoea haya mambo kwani hayanabudi kuwepo, mila na dini ni muhimu kuzifuata ila mwenye kuvunja mila aulizwe na wanamila wenzake maana kila jamii ina mila zake tofauti kabisa na za wengine, vivyohivyo mwenye kuvunja taratibu za dini yake aulizwe na waumini wenzake kwani kila mtu anauhuru wa kufuata dini anayoitaka, hivyo kama mtu anakiuka utaratibu wa mafundisho ya dini yake aulizwe na wanadini wenzake, si busara kuingilia uhuru wa mtu wa uvaaji au jambo lolote kwa kisingizio cha dini au mila kinachoangaliwa je tukio lililofanyika linavunja sheria na kukiuka haki za binadamu? je kuna utaratibu uliowekwa kisheria wa urefu wa nguo? nguo inayoitwa fupi imevaliwa wapi? kwamfano serikali imeshatoa waraka kwa wafanyakazi wa serikali kuhusu aina ya nguo zinazoruhusiwa kuvaliwa kazini lakini haukukataza kuvaa nguo hizohizo wakati kuna sherehe zinazofanyika nje za Ofisi za serikali, ninachotaka kusema hapa ni kuwa huwezi kutoa maamuzi ya jumla kuwa nguo fulani haitakiwi kuvaliwa popote kwani kabla ya kutoa matamko hayo lazima kujiridhisha kuwa uhuru na haki za binadamu haukiukwi?
 
Wamekukosea nini?
Huoni joto ya Dari salama?
Ishi maisha upendavyo-ya mwingine yanakuhusu nini?. Hujui biashara matangazo?
Nini maana ya huru kwani wako uchi?

joto kwa wanawake tu❗ kwa wanaume Ni baridi❔❔❔❔ mwanamke anayekaa nusu uchi Ni wazi wanajiuza na Wako katika matangazo, wanataka kutongozwa. Mwanamke uliye na heshma huwezi vaa kama hao hapo juu, utahusitiri mwili Wako vema. That's why mnaonjwa na kuachwa
 
Hivi sasa si wanawake tu hata baadhi ya wanaume wanavaa vibaya nao wakemewe. Utakuta mwanaume kavaa kata k bonde la ufaa liko wazi hapo tusemeje au kasuka nywere?
 
Back
Top Bottom