Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

Hii inatakiwa ianze mwanzoni kabisa. Mtoto ukimlea vizuri na kumueleza utu wake. Hawezi kuja kujiaminika mipaja nje. Wengi wanaojianika ni watu wasiojiamini ndo maana wanaanika miili yao ili wapewe sifa au kutamaniwa
 
Ndo mana me naomba tushilikiane kulikemea jambo hli
 
Ndo mana me naomba tushilikiane kulikemea jambo hli

Kwa sasa ni ngumu maana wavaa hivyo wengi wao hawajiamini. Wanavaa hivyo ili wawaoneshe wanaume kuwa wao nao wamo.....
Huwa nawaambia tu hivi hamuoni wake za maraisi, wabunge hawavai minguo ya hovyo kama yenu...
Tatizo wameiga sana ulaya hata vitu visivyopaswa igwa
 
kwel upo xahihi wanaiga vbaya lakin me naamin kama tutakuwa na msimamo m1 bac wanaweza-kubadilika
 
Lol haya labda watasikia. Ila tujitahidi kuelemishana toka nyumbani ili familia ziwe bora. Na pia utandawazi unachangia.
 
SHABANIMAVOCHA

mimi naomba niliweke jambo hili wazi kwanza kabisa nitangaze kwamba mimi ni (Mkristo)

naomba sasa nijikite kwenye mada:
katika tafiti zangu nimegundua wanawake wa kikrito walio wengi ndio wanao vaa bila kuzingatia maadili tofauti na wanawake wa kiislam,

napenda kuwapongeza sana wanawake wengi wa kiislam kwa kuvaa nguo za heshma na kijisitiri miili yao wanapendeza sana sana,na inaleta uthamani wa mwanamke,

ushauri wangu kwa wanawake wa kikristo walio wengi wasiopenda kuvaa nguo za heshma na kujisitiri,

kwanza kabisa ni kujitambua kwamba kuvaa nguo zisizo na heshma ni kujidhalilisha mbele za mwanaume, kwani cc wanaume walio wengi watakapo kuoa utafuta mwanamke anayependa kujisitiri mwili na mwenye heshma,

bali hawa wanao vaa vichupi walio wengi hawaolewi bali utamaniwa kwa zinaatu na sio kuoa kama mke, kwaiyo ni vyema wakabadilika na hata kuiga kwa wanawake wa kiislam kuvaa kwa heshma, tusipende kuiga sana tabia mbaya za wageni hembu turudi kwenye ualisia wetu wa kitanzania,
 
Last edited by a moderator:
Kusema ukweli Mwenyezi mungu mwenyewe anatuamrisha tuvae mavazi yenye stara mbele ya jamii kwa maana mwanamke kuvaa nguo fupi na kuonyesha mapaja ni kujirahisisha tu hakuna namna nyingine.machangudoa ndo wanaovaa nguo fupi ili kuvutia wateja sasa kama mwanamke yeyote akivaa hivyo ana tofauti gani na makahaba wanaojiuza?uhuru gani wa mavazi wa kipuuzi namna hii?

Kwel ndug me huwa naumia xana nikiona mwanamke amevaa nguo za aina hyo tena wengne wakubwa kwang lakin unakuonesha had nguo yake ya ndan heshima iko wap af mtu hyohyo ukiomuonesha dalili ya kumtongozakkidogo tu anakwambia hauna adab.naomba tuungane kukemea hli jambo
 
mimi naomba niliweke jambo hili wazi kwanza kabisa nitangaze kwamba mimi ni (Mkristo)

naomba sasa nijikite kwenye mada:
katika tafiti zangu nimegundua wanawake wa kikrito walio wengi ndio wanao vaa bila kuzingatia maadili tofauti na wanawake wa kiislam,

napenda kuwapongeza sana wanawake wengi wa kiislam kwa kuvaa nguo za heshma na kijisitiri miili yao wanapendeza sana sana,na inaleta uthamani wa mwanamke,

ushauri wangu kwa wanawake wa kikristo walio wengi wasiopenda kuvaa nguo za heshma na kujisitiri,

kwanza kabisa ni kujitambua kwamba kuvaa nguo zisizo na heshma ni kujidhalilisha mbele za mwanaume, kwani cc wanaume walio wengi watakapo kuoa utafuta mwanamke anayependa kujisitiri mwili na mwenye heshma,

bali hawa wanao vaa vichupi walio wengi hawaolewi bali utamaniwa kwa zinaatu na sio kuoa kama mke, kwaiyo ni vyema wakabadilika na hata kuiga kwa wanawake wa kiislam kuvaa kwa heshma, tusipende kuiga sana tabia mbaya za wageni hembu turudi kwenye ualisia wetu wa kitanzania,

Sawa ndug umeeleweka vzur lakin ili kuliweka hli jambo vzur ni vyema tuctaje wanawake wa iman gan ndo wanavaa vbaya xana wte tuwafanye xawa af tuungane kwa moyo m1 kukemea jambo hli
 
Lakin kwa namna 1 au nyengne nimegunda na cc wanaume ndo tuna sababisha kwan wanaovaa hvyo wengne wapo ktk ndoa.

Yaan mwanaume mwenye msimamo wako kaibisa unamuona mkeo anavaa nguo fupnna ww una sema et umependeza hli nalo tatzo ndo maana nimeomba tuungane kupinga kwan kila mtu ataanzia kwake na watabadilika kumbuken vtabu vnasema cc ndo viongoz wao
 
Mimi nimeanza na mpenzi wangu na havai hizo nguo hao wengine wasionihusu nitajitakia matusi ya bure. Mungu atawaokoa

Kwel lakin utakuwa umefanya kitu kizur hata kwa kizaz kijacho na usiogope matuc so hakuna tuc kubwa yte yaleyale tu
 
Sawa ndug umeeleweka vzur lakin ili kuliweka hli jambo vzur ni vyema tuctaje wanawake wa iman gan ndo wanavaa vbaya xana wte tuwafanye xawa af tuungane kwa moyo m1 kukemea jambo hli

unajua ndugu hili jambo linaniuma sana siku 1 nilikua na bwana 1 wakapita mabinti fulani wamevaa vibaya kwa kweli, yule bwana akaniambia ukimwona mwanamke amevaa vibaya usipate shida kumtambua ujue ni wa kikristo,

na hili jambo watu wanaweza pinga lakini lina ukweli ndani yake,japo sio wote, kwani kuna wengine wanaheshima zao,

hata upande wa wanawake wa kiislam wapo pia wanao vaa vibaya,

tatizo ni mporomoko wa maadili katika nchi yetu,tofauti na zamani,utandawazi umekua mwiba kwa taifa,

tv station zimechangia kwa kiasi kikubwa kuondoa maadili katika jamii kwa ushirika na wasanii wa tasnia ya bongo movie na bongo flava,

tatizo kubwa kwa taifa ni kuiga mabaya na kuacha kuiga mazuri,matokeo yake tunatengeneza taifa la wahuni na wavaa vimini,

nilazima kama taifa turudi kwenye misingi ya tamaduni zetu ambazo ni heshma,

hembu kama taifa turudi kwenye mstari tuache mambo ya kuiga iga,
 
Ni kweli ila kabla hujaleta huu uzi ungefikiria haya yafuatayo

1 nchi haina dini
2 wanachi wake wapo huru
4 Kuna uhuru wa kuabudu
5 uhuru wa kuvaa
6 uhuru wa kula

Sasa sijui kama Kuna atakaeweza kuingilia uhuru wa mwenzie maana hata wao wakisema wanachukizwa Na walevi hatuwezi kukemea vilevi kuuzwa
 
Back
Top Bottom