Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

waacheni wanaopenda kuvaa vimini hayo ni yao wenyewe, kila mtu ana maamuzi yake na kumbadilisha ni vigumu sana
 
Hahahahaaa....ni shidaaa
Khantwe upo wewe..? unamiciwa sana pande hizi lol.. Nataka siku unipigie umini halafu tumtafute mleta mada huyu aone ulivyopendeza.. Atakuja kuufuta uzi wake nakuambia..
 
Last edited by a moderator:
Hata midume inayovaa vibaya nayo ichukuliwe hatua siyo wanwake tu. Jitu linavaa kata k bonde la ufaa lote liko wazi na mingine inasuka yaani inachefua balaa.
 
Wewe kama unaona inakukera !! wavalishe wanao gubigubi bila kujali yupo maeneo ya joto au ya baridi. Kama wewe ni mwanamke !! oneza jivazi jingine , valia lisuruali nsani socks ndefu hata kama kuna jua kali au joto kali. Lakini huna mamlaka ya kumpangia mtu ambaye hujamzaa , au ana umri wa kisheria wa kutoa maamuzi yake binafsi namna ya kuvaa. Hayo unayoyaita ni maadili tupe SI unit yake kwenye nchi kama Tanzania , yenye hali ya hewa tofauti tofauti ambayo inacompel uvaaji wa mavazi ya aina fulani, yenye imani tofauti ambayo kila mmmoja anavaa kulingana na imani yake, yenye watu wa mila tofautitofauti ambayo kila mtu anachagua kuvaa kulingana na mila zake. Tuache kuwaaminisha watu unachokiamini wewe. Kipo sahihi kwako na familia yako komaa nao na si wengine
 
Kama kuna imani/dini inayoruhusu wanawake kuvaa mavazi kama ya hao wanawake walioko pichani lazima imani/dini hiyo itakua ni ya kishetani.
Naamini dini kubwa mbili hapa Tanzania zote zimekataza.
 
View attachment 268021

Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili

nafikiri umeipenda hiyo picha kivingine coz umeikuta mtandaoni na sio kwamba uko kukemea mavazi mafupi.
anza na hawa wa barabarani ili uwasaidie.
 
Duuu nimeamini kweli humu kuna watu wenye busara na wengine humu ni machangudoa na wazandiki hivi inakuaje utetee uchafu huu wa kuvaa vibaya hata km ni uhuru basi uhuru wako usiwabughudhi wengine mana tukisema uhuru wa kufanya vile mtu aonavyo basi hata kunya napo uhuru lakini ikitokea mmoja kanya hadharani si busara HEBU ZITUNZENI HIZO NYETI ZENU NA MUACHE KULINGANISHA VISIVYOLINGANA
 
Citizen Digital Published on 20 May 2015. The 21-year old singer, who uses the stage name "Panadol wa Basajja" — literally, "medicine for men" — has already spent five weeks in jail after her arrest for a music video that gives a lingering and generous focus on wet and soapy buttocks. Now she faces up to 10 years in jail, if found guilty in the first full trial under the law — which took effect in February 2014 — that critics such as Human Rights Watch argue so loosely defines pornography it has encouraged public attacks on women wearing skimpy clothing. Critics say it is part of a growing anti-liberal movement including tough laws against homosexuals in Uganda, where religious-driven conservatism appears to be on the rise and where US evangelical preachers rather than pop stars like Kansiime often receive rock star welcomes. "I was aware that there are some sections of society that are conservative," said the singer, smoothing her rainbow coloured hair extensions that always cover one eye.
 
Ungezaliwa kwa Mswati ungeshangaa watu wanavyohangaika kuficha maziwa wakati we unaona kitu cha kawaida kuyaacha wazi.

Ungezaliwa Saudi Arabia umgeshangaa kuona wanawake wanaacha mikono wazi au nywele au miguu wazi.

ungezaliwa Amazon huko ungeshangaa kuona watu wanahangaika kujifunika sijui na shati na suruali wakati we umepiga zako g-string kutunza dyudyu yako basi.

ungezaliwa marekani usingekaa kukodolea macho mwanamke mwenye kibukta. ni kawaida.

maadili yanabadilika na muda na mahali. ungezaliwa enzi waafrika tuko uchi usingeleta huu upuuzi.

je kuna kitu kama "absolute maadili'? yani itafika siku dunia nzima tukubaliane kwamba mavazi yenye maadili ya kweli ni haya na hayatabadilika kamwe?? I dont think so.
 
SHABANIMAVOCHA

kwanza kabisa ni kujitambua kwamba kuvaa nguo zisizo na heshma ni kujidhalilisha mbele za mwanaume, kwani cc wanaume walio wengi watakapo kuoa utafuta mwanamke anayependa kujisitiri mwili na mwenye heshma,

kujistiri ndo nini?

kuna wanaume wanaona mwanamke kuvaa suruali anajidhalilisha mwili wake.

just dont generalise. sema wanaume wengine. au waswahili.

sio kila mtu anatoka na mswahili au kaolewa na mswahili. na sio waswahili wote wako close minded without exposure.

#the end.
 
Last edited by a moderator:
Kwel ndug me huwa naumia xana nikiona mwanamke amevaa nguo za aina hyo tena wengne wakubwa kwang lakin unakuonesha had nguo yake ya ndan heshima iko wap af mtu hyohyo ukiomuonesha dalili ya kumtongozakkidogo tu anakwambia hauna adab.naomba tuungane kukemea hli jambo

sasa si hajavutiwa na wewe.

ndo kisa cha kuanzisha thread? muhaha
 
Labda wajue tu kwamba kuvaa kwao kunatutesa tu na ikitokea namtongoza asimind.lkn huwezi ingilia uhuru wa mtu

jamani mwanamke akikukataa sio kaMind, HAKUTAKI. kuna wengine mna sura zinawatia hasira kwanini mmewafwata. hahaa
 
View attachment 268021

Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili

Maadili ninini? Bibi yake baba yako aliyekua anafunika uchi na kamba chache transparent za katani huku nyonyo likiwa wazi kabisa, hakuwa na maadili? Tizama ngoma yeyote ya kiasili Tz Leo halafu angalia mavazi yao, utasema hawana maadili? What is lawful here might be unlawful in Saudi Arabia. Usichanganye dini na uasilia. Africa asili yake hatuna nguo, tulivaa magome ya miti, watizame wasandawe nawamang`ati. Asili itabaki kuwa asili ndio maana wazanzibari wakicheza ngoma yao ya asili wanavaa nakucheza km waarabu wakati makabila ya Zanzibar yanajulikana nangoma zake. Ndio maana Wamarekani weusi wanafanya tendo la Jumping the bloom wanapokuwa wanafunga ndoa kuwakumbusha kwamba they are Africans!
 
View attachment 268021

Habari zenu ndugu zangu,

Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu wazima lakini nguo wazovaa sio za maadili kabisa.

Hii sio vizuri kabisa najua wapo watu watasema kama mimi mshamba lakini sio kweli kwanini tunaiga vitu ambavyo havina maadili hata kidogo?

Naomba ungana na mimi katika hili
Biashara matangazo mjomba
 
Back
Top Bottom