Tujulishane tabia za wachaga

Tujulishane tabia za wachaga

no offense,but tunayaona kwenje jamii yetu,baba angu mdogo ashanusurika kwa mwanamke wa kimachame..

No offense ila unaonekana ni yule mwanamke ambaye anatamani kuolewa na ndugu zake, kaka, mjomba, ba mdogo n.k, hamtaki waoe watu wengine, akija mnyakyusa mtasema uso mpana, mrangi/msukuma/muiraq ni malaya, wazaramo malaya wanapenda sana ngoma na ngono, wakinga/watu wa tanga wachawi too much bullsh*t to take with generalization
 
Mambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa kumuoa lakini Pia kufanya shughuri zake za kibiashara(TPC),lakini kama unavyojua jamii zetu zina makabila mbalimbali yenye mila na desturi tofauti,cha msingi anacho omba kujuzwa ni mila na desturi zao(Hususani wanawake/wasichana),ili afanye maamuzi yatakayo kuwa sahihi kabla na baada ya kuenda huko! Ushauri wenu tafadhari,lugha za kejeli,ushabiki&matusi zikae chemba,ili nijue cha kumwambia brother kutokana na mawazo yenu.

Mkuu kama kaka yako anaenda kufanya kazi TPC hawezi kukutana na mwanamke wa kichagga wala usiwe na wasi wasi hela za miwa ziko salama
 
Mambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa kumuoa lakini Pia kufanya shughuri zake za kibiashara(TPC),lakini kama unavyojua jamii zetu zina makabila mbalimbali yenye mila na desturi tofauti,cha msingi anacho omba kujuzwa ni mila na desturi zao(Hususani wanawake/wasichana),ili afanye maamuzi yatakayo kuwa sahihi kabla na baada ya kuenda huko! Ushauri wenu tafadhari,lugha za kejeli,ushabiki&matusi zikae chemba,ili nijue cha kumwambia brother kutokana na mawazo yenu.

Huyo jamaa yako Ana-inferiority complex , hivyo simshauri aoe Mchagga . yeye aende akakate miwa TPC na kurudi kwao kuchukua mke. wa kabila lao. Anaonekana anaelimu finyu sana ndio maana anahusudisha ukabila. Pia inaonyesha hajatembea.Akaoe kijijini kwao ili asije akapata mwanamke akamsumbua akaamini ni kwakuwa ni mchagga
 
Naona sasa wachaga TUNU YA TAIFA maana its obvious tupo mioyoni mwenu na inaonyesha mnatukubali sana ndo maana kila siku lazima muuabudu uchaga kwa kutusema tu hata kwa mambo yasiyokuwa na mashiko. Come on guys! There are many issues to do, why discussing us every time? Actually you made us more valuable brand!!!:der:

kweli kabisa mkuu
 
wooooooooooooooo ma ndede,kwahiyo sitapata mume ndao kwasababu ni mchagga? poor me,yeuwiiiiiiiiiiii watu mna fikra hasi kuhusu kabila letu duh! kwastali hii tuatawowana wenyewekwa enye kwaababu tunajua.
 
Mbona mnalisakama sana kabila letu? Mnataka nini? Tutaanza utaratibu wa kusajili makabila mengine mjiunge kuwa wachaga wa kujiandikisha. Kila siku wachaga wachaga, madem wa kichaga madem wa kichaga! Tatizo nini? Gere au?
 
wanatuchafua bana

Na nyie dada zetu mnatoka wapi na hawa chasaka? Wanawadhalilisha. Tufike mahali tuwe kama wahindi, wahindi wana linda sanaila na desturi za kwao. Kila mara utasikia madem wa kichaga wanatoa "O" nakereka sana. Kama imeshindikana akikuomba ndogo mwambie nay awe tayari umtie dole gumba kwenye O yake.
 
Mbona mnalisakama sana kabila letu? Mnataka nini? Tutaanza utaratibu wa kusajili makabila mengine mjiunge kuwa wachaga wa kujiandikisha. Kila siku wachaga wachaga, madem wa kichaga madem wa kichaga! Tatizo nini? Gere au?

hadi wanakera wamefikia pabaya hzi chuki za Watanzania zimefka pabaya unakuta jitu zma linaongea pumba halijui chochote ila ameskia tu
 
hadi wanakera wamefikia pabaya hzi chuki za Watanzania zimefka pabaya unakuta jitu zma linaongea pumba halijui chochote ila ameskia tu

Tutumie jukwa hili jili kwa yeyote aliye na sera za udhalilishaji dada zetu tupambane nae. Washenz tu watabia. Hichi kitu cha kutoa O" mbona kila mtu anakishadadia? Watieni madole wanaume walio na element ya kuwadhalilisha! Watatia akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom