farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 701
Wote walikufanya nn mkuu, ongeza nyama mkuuWanawake wa KICHAGA ni wakukaa nao mbali na kuwaogopa kama ukoma! Hawafai hata kulumagia, Siwapendi hao shwain
Wote walikufanya nn mkuu, ongeza nyama mkuuWanawake wa KICHAGA ni wakukaa nao mbali na kuwaogopa kama ukoma! Hawafai hata kulumagia, Siwapendi hao shwain
Mke mwema anatoka kwa bwana, swala si kabila, la muhimu unampenda nani?wachaga kila mara,humu jf kuna post kibao zinazozungumzia hilo kabila,jaribu kufuatilia
muhimu aaangalie moyo wake utakapodondokea,kila mtu ana tabia tofauti na ana malezi tofauti...ila ushauri wangu kwako msiwaze kuendekeza ukabila,sote tu ndg moja...
Umesahau kujitambua, vilevile hawadanganyiki hovyo hovyo ndio maana vijana wengi wanawachukia hasa wale wanaotafta wachumba/wapenziWachaga hatuna shida % kubwa ni watu wakarim,wachesh,chapakazi,watafutaji n.k. Ukituelewa na kutuheshim utatupenda bure.
Ooh yes... Ye akaribie tu hatajutaUmesahau kujitambua, vilevile hawadanganyiki hovyo hovyo ndio maana vijana wengi wanawachukia hasa wale wanaotafta wachumba/wapenzi
mwanaume unaogopaje mwanaamke kisa kabila lake....


natafuta binti mrembo wa kichaga tena wa kimachane nina wapenda huyu mngoni nliyenaye sijui ananipa mapenzi gani ayemjua mwanamke wa kichaga naomba anipm
Nipe takwim wanaume wangap wameuliwa na wake zao wa kichagaWanawake wa kimachame wanasifika kwa roho mbaya na kuua waume zao,
wanaume wa kichaga ukimzingua anakupiga na bastola(anakuufoosaro)
Asante mkuuTpc kwenyewe pamekaa kushoto kuna mchanganyiko wa makabila kibao, wamasai ndio wengi

wapo hadi Wasafa na wafipa
Sasa ukitaka kuwataja si inabidi tununue counter bookNipe takwim wanaume wangap wameuliwa na wake zao wa kichaga
Sifa zote najua unazo lakn je ,hiyo ya kudanganyika unayo ? Me akishaiona au walau kuona dalili zake lazima avutike tu hata pasipo kukaribishwa,make nyie masaa yote ni uja ujanjaujanja tu!!!Ooh yes... Ye akaribie tu hatajuta
Hahaha.. sheikh,Sasa ukitaka kuwataja si inabidi tununue counter book