Tujulishane tabia za wachaga

Tujulishane tabia za wachaga

kwanza kabisa hwadanganyiki,sio maharage ya mbea kwaiyo asidhanie ataenda kuwapata kirahisi.
pili MUNGU ndio nafasi ya kwanza kwao,hekima, adabu heshima na bidii ya kazi ndio kanuni zao kila uchao.
 
Naona sasa wachaga TUNU YA TAIFA maana its obvious tupo mioyoni mwenu na inaonyesha mnatukubali sana ndo maana kila siku lazima muuabudu uchaga kwa kutusema tu hata kwa mambo yasiyokuwa na mashiko. Come on guys! There are many issues to do, why discussing us every time? Actually you made us more valuable brand!!!:der:
 
Mambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa kumuoa lakini Pia kufanya shughuri zake za kibiashara(TPC),lakini kama unavyojua jamii zetu zina makabila mbalimbali yenye mila na desturi tofauti,cha msingi anacho omba kujuzwa ni mila na desturi zao(Hususani wanawake/wasichana),ili afanye maamuzi yatakayo kuwa sahihi kabla na baada ya kuenda huko! Ushauri wenu tafadhari,lugha za kejeli,ushabiki&matusi zikae chemba,ili nijue cha kumwambia brother kutokana na mawazo yenu.
Ungeanza kuwajulisha watu tabia zako kama Msengerema kabla ya kuuliza makabila ya wengine!
 
kibo kya ndesi, makimaro,maswai,matarimu,nka masawe, mankya kwi mukai mwaghanye ndesa vandu wandi wakasa wakewatawanya?
 
tuwaseme at mimi jingine lichagga limenizingua juzi tu, babe kama nini uzani binti farao mnakera acheni ubabe ati mtabaki kuoana wenyewe mwishowe mtaonana ndugu! tulia....
 
wachagaaa wachagaaa wachagaaa wachagaaa heeee!!! kila siku wachaga. wee andaa mipesa ful stop!
 
Naona sasa wachaga TUNU YA TAIFA maana its obvious tupo mioyoni mwenu na inaonyesha mnatukubali sana ndo maana kila siku lazima muuabudu uchaga kwa kutusema tu hata kwa mambo yasiyokuwa na mashiko. Come on guys! There are many issues to do, why discussing us every time? Actually you made us more valuable brand!!!:der:

not only valuable but also beautiful!!!! and appart from that people should stop stereotype.
 
valuable, beautiful, intelligent, educated, wachakalikaji, the richest tribe ever seen etc!

Umesahau kuongezea!

Wauza vioski vya mbao mjini na mafundi viatu walioko kila kona.
 
Kumbe Wachaga Wanapendwa Sana Eehh,Kila Siku Mnawajadili,can't find something else to talk about.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom