Tujulishane tabia za wachaga

Tujulishane tabia za wachaga

Tatizo ni kuwa manawahukumu watu kwa tamaduni ambazo zilishapita zama hizo...na sio uchagani tu, ila kila kabila walikuwa na tamaduni zao...zipo zilizokuwa nzuri na zipo zinazokera hata kusikia.

Kwa mfano, tumeshasikia kuwa kwa wamasai, ukiweka tu mkuki mlangoni...unakula mzigo kwa raha zako na mwenye mke akija anasubiri nje..ukitoka anakupa na pole....tulishasikia wamakonde wanakula watu...tulishasikia wahehe wanakula mbwa...tulishaambiwa ukioa mwanamke wa kimeru basi na ununue sanduku zima la soxi zinazofika magotini (stockings) zenye rangi mchanganyiko (haswa mchanganyiko wa njano na nyekundu) la sivyo atakuwa hatoki kwenda kanisani au kwenye sherehe....na hizo era zishapita (mcheki mtoto wa kimeru Nancy Sumary)

Tukafika mahali mtu anaweza kuoa/kuishi na mwenzake, na wakamaliza mwaka, na siku anashtukizwa...hivi mkeo/mmeo ni kabila gani...anabaki anatoa macho hata hajui.

Sana sana tunazitumia kama utani...kutaniana.
 
Wachaga hatuna shida % kubwa ni watu wakarim,wachesh,chapakazi,watafutaji n.k. Ukituelewa na kutuheshim utatupenda bure.
 
Huyo kaka yako akimpenda mchaga awe kibosho, machame, rombo marangu ataoa tuu.
Anaweza akoa wa Kabila jingine na mambo yakazidi hayo ya keadikika dhidi ya wachaga haswa wa machame.
zama Hizi ukabila wapi na wapi? Mtu yeyote aweza kuwa na roho Mbaya na ukatili Kama zilivyo tabia nyingine.... Acheni kuwanyanyapaa wenzenu.
 
Tunajuaaendeleo ... hupewi hela ambayo ujafanyia kazi mkuuu.... kama biashara afanye kweli la sivyo atarudi kwao wapi huko...... muhimu chezea mimi usichezee pesa yangu chaliii utaonja ardhi.

Hahahaha, we mmachame?
 
Wanawake wa kimachame wanasifika kwa roho mbaya na kuua waume zao,
wanaume wa kichaga ukimzingua anakupiga na bastola(anakuufoosaro)

Roho mbaya na kuchomana visu ilikuwa zamani.saiv ustarabuuuu tuuu na mahaba teleeee
 
Shughuli za kibiashara wapi wewe wakati anaenda kuwa manamba mvuna miwa huko...
 
mimi sisemi kitu kuhusu kabila langu,huyo kaka ako akifika atajionea mwenyewe hapa kuna jehu moja nalisubiri liropoke tu maana kuanzia asubuhi kaamka na wachaga!!..

likikuchoma kanitangazee!...
 
no offense,but tunayaona kwenje jamii yetu,baba angu mdogo ashanusurika kwa mwanamke wa kimachame..
Mi babangu mdogo tulishamzika kitambo na mama mdogo ndo anamiliki mali,lkn nadhani siyo wote wako hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom