Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,906
Hata wa kichaga?Ishi na mwanamke kwa akili![]()
![]()
Hata wa kichaga?Ishi na mwanamke kwa akili![]()
![]()
Wanawake wa kichagga hawapendi mtu kutoka rohoni wanapenda pesa zaidi, hata kaka zao wanajua hilo.Mke mwema anatoka kwa bwana, swala si kabila, la muhimu unampenda nani?
Teh teh teh...wachagga wapi hawadanganyiki mkuu? Hawahawa tulio nao mitaani?Umesahau kujitambua, vilevile hawadanganyiki hovyo hovyo ndio maana vijana wengi wanawachukia hasa wale wanaotafta wachumba/wapenzi
Jitahidi kutanguliza hekima mbele, sio ujinga!Mambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa kumuoa lakini Pia kufanya shughuri zake za kibiashara(TPC),lakini kama unavyojua jamii zetu zina makabila mbalimbali yenye mila na desturi tofauti,cha msingi anacho omba kujuzwa ni mila na desturi zao(Hususani wanawake/wasichana),ili afanye maamuzi yatakayo kuwa sahihi kabla na baada ya kuenda huko! Ushauri wenu tafadhari,lugha za kejeli,ushabiki&matusi zikae chemba,ili nijue cha kumwambia brother kutokana na mawazo yenu.
Tunawaliwaza tu, hii ni kama watu wanavosema wachagga upenda hela, hivi ni kweli kuna mtu asiyependa hela ??Teh teh teh...wachagga wapi hawadanganyiki mkuu? Hawahawa tulio nao mitaani?
Kudanganyika hapana bana.... Sio kirahisi namna hiyoSifa zote najua unazo lakn je ,hiyo ya kudanganyika unayo ? Me akishaiona au walau kuona dalili zake lazima avutike tu hata pasipo kukaribishwa,make nyie masaa yote ni uja ujanjaujanja tu!!!
Uchagani kama hauna hela hata msiba ukitokea kwenu na upo mbali na nyumbani haumbiwi ujue wanasema kuwa ww ni sawa na mtt tu sasa utakachofanya ni nn.Tunawaliwaza tu, hii ni kama watu wanavosema wachagga upenda hela, hivi ni kweli kuna mtu asiyependa hela ??
Hivyo ni vitu vidogovidogo ambavyo karibu kila kabila vipo hata kama sio hivo ila ukielezwa utashangaa, kwa kizazi cha leo sijui kama hayo mambo yapo niweke labda...........Uchagani kama hauna hela hata msiba ukitokea kwenu na upo mbali na nyumbani haumbiwi ujue wanasema kuwa ww ni sawa na mtt tu sasa utakachofanya ni nn.
Mdogo wako akija nyumbani unaambiwa ww mkubwa ukamate kuku achinjwe si mkubwa kaja.
Pia marehemu hazikwi mpaka huyu bwana mdogo mwenye hela ndo aje. Tena wazazi wanasema kuwa mkubwa hajaja naww ndo mkubwa.
pia ujue hayo makabila Kilimanjaro sio makabila yenye asili ya kitanzania ila yana asili ya kikenya.
Mana wakenya wana ukabila ndo tabia za wakenya na wanashindanaga kikabila kama wachaga wanavyojionaga ni much know sana. Na ni bora sana na ndo mana wamemind eti why hakuna waziri mchaga kwani ni lazima pia hawajui kuwa Makabila mangapi tupo Tanzania na je kwani kika kabila limetoa waziri ila wao wamejiona kuwa ni lazima watoe kiongozi wa juu.
Wao wanadhani bado ndo wasomi kama zamani ilivyokuwa mana wamishionari kufikia kwao na kuwapa dini na kuanza kuwapa elimu mana hali ya hewa ya kwao ni sawa na ya ulaya ndo wakapiga makazi ya kudumu huko.
Hiyo sababu ikawafanya kujiona kuwa wao ndo wana akili kuliko watanzania wengine.
Hawa jamaa wana ukabila ni balaa na mchaga hanunui kitu dukani kwako kama mchaga wao yupo jirani yako.
Achana na VYASAKA hawa bana ni hatarii aisee.
Nyerere aliomba Mlima na Kenyata akapewa Bandari ndo hawa jamaa wakawezz kuwa upande huu wa Tanzania.
Yaani watanzania wote tuna utu na upendo wa kidhati toka moyoni ila mchaga hana utu yaani wapo Quite different na sisi.
Huo ndo uzoefu wangu na niliyojifunza kwao .
Umeandika vitu ambavyo kwa ujumla, haviwezi kamwe kukupa furaha uliotaraji.furaha haipatikani kupitia kumuumiza mwingine.Uchagani kama hauna hela hata msiba ukitokea kwenu na upo mbali na nyumbani haumbiwi ujue wanasema kuwa ww ni sawa na mtt tu sasa utakachofanya ni nn.
Mdogo wako akija nyumbani unaambiwa ww mkubwa ukamate kuku achinjwe si mkubwa kaja.
Pia marehemu hazikwi mpaka huyu bwana mdogo mwenye hela ndo aje. Tena wazazi wanasema kuwa mkubwa hajaja naww ndo mkubwa.
pia ujue hayo makabila Kilimanjaro sio makabila yenye asili ya kitanzania ila yana asili ya kikenya.
Mana wakenya wana ukabila ndo tabia za wakenya na wanashindanaga kikabila kama wachaga wanavyojionaga ni much know sana. Na ni bora sana na ndo mana wamemind eti why hakuna waziri mchaga kwani ni lazima pia hawajui kuwa Makabila mangapi tupo Tanzania na je kwani kika kabila limetoa waziri ila wao wamejiona kuwa ni lazima watoe kiongozi wa juu.
Wao wanadhani bado ndo wasomi kama zamani ilivyokuwa mana wamishionari kufikia kwao na kuwapa dini na kuanza kuwapa elimu mana hali ya hewa ya kwao ni sawa na ya ulaya ndo wakapiga makazi ya kudumu huko.
Hiyo sababu ikawafanya kujiona kuwa wao ndo wana akili kuliko watanzania wengine.
Hawa jamaa wana ukabila ni balaa na mchaga hanunui kitu dukani kwako kama mchaga wao yupo jirani yako.
Achana na VYASAKA hawa bana ni hatarii aisee.
Nyerere aliomba Mlima na Kenyata akapewa Bandari ndo hawa jamaa wakawezz kuwa upande huu wa Tanzania.
Yaani watanzania wote tuna utu na upendo wa kidhati toka moyoni ila mchaga hana utu yaani wapo Quite different na sisi.
Huo ndo uzoefu wangu na niliyojifunza kwao .
Wewe ni mmoja kati ya wachaga elfu moja.Mbona mimi, ni Mchaga na mpenzi wangu akiwa na tatizo tena la kifeza mimi ndo wakwanza kumsaidia, tafazali msituchafulie kabila