Tujiulize: Kwanini ghafla vifo vimekuwa vingi?

Tujiulize: Kwanini ghafla vifo vimekuwa vingi?

Ujue Kim tunamuona kwa jicho lingine lakini kutokana na misimamo yake hakuna kesi yeyote ya korona uko korea kaskazini


Sent using Jamii Forums mobile app
Acha story uuijui North Korea,Kule hakuna Uhuru wa habari ni sawa na Rwanda amezifungia akili zao kwenye box uruhusiwi kusema kinyume na mtawala
 
Hiyo neema ya Mungu kuipata ni mpaka apatikane msisiemu
mmoja mwenye haki

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahii
IMG-20200427-WA0060.jpg


Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye Corona, tunatumia taarifa rasmi pekee. Kwa mujibu wa taarifa rasmi za vifo vya Corona kwa Tanzania is only 10!.

Wengine wote waliofariki bila kipimwa, wamekufa kwa matatizo mengine, na hata kama ni Corona, bila kupimwa na kuthibitishwa kuwa ni Corona, inakuwa ni wamekufa kwa maradhi mengine!.
P
Sa s unyamaze!!

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Pascal wa kipindi maarufu KITIMOTO umekuwa kitibaridi..

umekuwa level za ki layman kama mimi nisiyejua exposure

ninayejiuliza why raia wanalalamika kuna wahanga huko kondo mara amana hospital na wengine wanalalamikia mlonganzila na sasa dodoma.!?

*basi uje hata na i'd fake;nakumbuka miaka ile namna ulivyowahenyesha kwa maswali wagombea ile 1995 -2000

sasa umekuwa mdebwedo;na tunazama wote ukumbuke!

pascal je? ni kweli huoni kama wale watu 2 waliokuwa wanatembea kwenda EMAU.? au akina petro
Pascal amekuwa "mdebwedo". Hivi hii baa ya Mdebwedo ya "akina Pascal" pale Kijitonyama bado ipo?
 
Una takwimu za vifo vya kila siku, wiki, mwezi kabla ya janga la corona na sasa wakati wa corona ili tulinganishe?

Nilishatoa wazo tafuta takwimu za mwezi wa nne mwaka jana kwa hospitali zote za Dar halafu tulinganishe na za mwezi huu.

Mimi kuna Dr ambaye ni boss anatembea na kuongea na waziri ni classmate. Yeye ndiyo alianza kuniambia sikuamini mpaka weekend hii iliyopita ndiyo nimeona majanga mwenyewe.

Ukweli utajulikana soon hata wakibanabana
 
Nilishatoa wazo tafuta takwimu za mwezi wa nne mwaka jana kwa hospitali zote za Dar halafu tulinganishe na za mwezi huu. Mimi kuna Dr ambaye ni boss anatembea na kuongea na waziri ni classmate. Yeye ndiyo alianza kuniambia sikuamini mpaka weekend hii iliyopita ndiyo nimeona majanga mwenyewe. Ukweli utajulikana soon hata wakibanabana
Habari ulete wewe takwimu tutafute sisi?

Zimo kweli kichwani?
 
Kuchelewa kwa kutangazwa ni siasa pale kondo wanazika mpaka usiku siku hizi. Dereva wangu anayekaa pale kaniandikia magari na watu waliojifunika wanazika kila siku siku hizi usiku. Rafiki yangu anazikwa kesho pale kondo na serikali na mke wake sijui kama ataruhusiwa kajifungia ndani!. Namba inawezekana ni kubwa na inataka mzee airuhusu kutangazwa. Wazee wanaokufa na corona sijui kama watatangazwa kuna wazee wawili wamekufa siku chache nawafahamu ingawa walikuwa na matatizo mengine wamekutwa na corona na serikali ndiyo wamechukuwa mwili. Wanaobisha yatawafika tu kama hatutabadilika. Halafu hata rafiki yangu alirudishwa nyumbani ingawa alikuwa mgojwa mwenye kuzidiwa maana hakuna dawa. Kitu kimoja nashauri kwa wagojwa tafuta tank yako ya oxygen maana hazipo za kutosha na mwishoni ndicho kinachouwa wagojwa wa nyumbani ikienda kwenye mapafu na kuleta limonia kama huna oxygen inaondoka haraka sana rafiki yangu masaa manne wamezunguka kutafuta oxygen tank hakuna au zinatumika.

Serikali nashauri waruhusu maswali na majibu mfano vifaa kama oxygen tanks na ventilators vinapatikana wapi na viko vya kutosha.... itapunguza watu kufa
 
*D E A T H A N N O U N C E M E N T*

*Haji Abbas Mohamedhussein*
(Benson )has passed away In Arusha

*Marhum was the Father of Raza and Naushad Grandfather of Nedeem and Safraz

*BURIAL*
DATE: *28/04/2020
DAY: *TUESDAY*
VENUE: Arusha

*COVID-19 RESTRICTIONS APPLY*

*1. Only Close Family Members (Ladies & Gents) to attend (5 - 6 from each side)*

*2. Everyone is requested to maintain the restrictions in place*

Mzee Benson wenye maduka pale Arusha kafariki kwa Corona na sio siri wamekuwa wawazi. Baba yao alikuwa mtu mzima RIP
 
*D E A T H A N N O U N C E M E N T*

*Haji Abbas Mohamedhussein*
(Benson )has passed away In Arusha

*Marhum was the Father of Raza and Naushad Grandfather of Nedeem and Safraz

*BURIAL*
DATE: *28/04/2020
DAY: *TUESDAY*
VENUE: Arusha

*COVID-19 RESTRICTIONS APPLY*

*1. Only Close Family Members (Ladies & Gents) to attend (5 - 6 from each side)*

*2. Everyone is requested to maintain the restrictions in place*

Mzee Benson wenye maduka pale Arusha kafariki kwa Corona na sio siri wamekuwa wawazi. Baba yao alikuwa mtu mzima RIP
Duh...!. RIP Benson!.
P
 
Back
Top Bottom