Tujiulize: Kwanini ghafla vifo vimekuwa vingi?

Mchina nae vifo vya mwanzo alificha ficha baada kuona kazidiwa na vifo akaamua bora tu atangaze hili watu wajue hali ikoje
We ni muongo, mchina katangaza baada ya vifo kuisha na kudhiti ugonjwa, tena ni baada ya research ya chuo flani huko kutoa hesabu upya.
 
Watu wanasubiria wapigiwe mbiu ingieni kwenye lockdown sasa, hahaaaa..

Ikitangazwa usikute unayesubiria ulishapukutika..

Jiwekeni lockdown wenyewe na familia zenu, muwe salama acheni ujinga...

Nchi imeachiwa free ili mkiwa lockdown muweze angalau kutoka mmoja kwa familia kwa tahadhari kujitafutia chochote,,

Endeleeni kujiachia tu, cha moto mtakiona💀💀💀💀
 
Jamani kwanini serikali yetu inaficha Mambo Kama China Communist part ya shimpiing? Watu wanakufa hawatangazwi, wagonjwa wengi, hapa Dodoma Hospitali ya Benjanimi Kuna wagonjwa zaidi ya 15, na general Kuna wagonjwa zaidi ya 10, mpaka wataalamu wamesema msimlete Bibi yenu Tena huku Hali mbaya, Basi angalau watangaze tujue
 
Mwezi huu tumeanza kusikia vifo vingi bila kuambiwa vimetoka wapi. Wiki hii moja tu kuna wazee baba wa rafiki na Mama wa rafiki wamefariki kwa mazingira kama ya Corona ya homa, kushidwa kupumua na kukohoa. Wato walikuwa na magojwa mwngine na miaka zaidi ya 68.

Uchunguzi uliofanywa kwenye state ya new york kwa kuchunguza watu 3000 ambao hawaumwi wamekuta 14% kwa jimbo zima na 20% kwa mji mkuu wa New york wameumwa na kupona bila kujua hivyo kuna mengi ambayo hatujui kuhusu huu ugojwa.

Ushauri wangu kwanza wafiche wazee wako kama wapo na waelimishe, pili serikali ipime watu zaidi kama inawezekana na tatu ni lazima wahauri watu wasiwnde sehemu ambazo si za lazima.

Yaani huu ugojwa unachochoe magojwa watu walionao wazidiwe hivyo wenye pumu utaambiwa ni pumu, wenye kisukari hivyo hivyo hatutajiua idadi lakini tukiona misiba gafla inakuwa mingi tujiulize kwanini sana
Well Said
 
Mkuu Kamundu, nakuomba please, tusitishane!. Tangu kuibuka kwa ugonjwa wa Corona, so far kwa Tanzania, kumetokea vifo 10 tuu ndio vya Corona, sasa hii habari ya vifo vingi, inatokea wapi?.

Kila lenye mwanzo lina mwisho, uhai upo umeumbwa na kifo pia kipo kimeumbwa, ile siku unazaliwa tayari kifo chako umeisha andikiwa, hivyo hata hao 10 waliokufa waliandikiwa, wakati huo huo vifo vingine vya magonjwa mengine vinaendelea daily na sio Corona!.

Kwa mujibu wa utoaji wa taarifa za Corona, taarifa zote rasmi zitatolewa na serikali pekee, hivyo hata akitokea mtu mwingine yoyote akafa kwa kuonyesha dalili zote za Corona, huyo atakuwa amekufa tuu kwa mengine na sio kwa Corona!.
Tanzania hakuna vifo vyovyote vya Corona zaidi ya vile 10!, sasa kwa idadi hiyo ukilinganisha na vifo vya Italy or US compared, kuna vifo vingi gani?. Mkuu Kamundu, Tusitishane jamani!.
P
Uandishi wako huwa unanikosha sana mkongwe.
 
Poleni, kwa sasa majibu ya corona watu wasitegemee kupata kwa sababu nchi haitaki mgonjwa Mpya waliopo kesho wanakua discharged na atakae tangaza mgonjwa Mpya hawe nani ataona cha moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kamundu, nakuomba please, tusitishane!. Tangu kuibuka kwa ugonjwa wa Corona, so far kwa Tanzania, kumetokea vifo 10 tuu ndio vya Corona, sasa hii habari ya vifo vingi, inatokea wapi?.

Kila lenye mwanzo lina mwisho, uhai upo umeumbwa na kifo pia kipo kimeumbwa, ile siku unazaliwa tayari kifo chako umeisha andikiwa, hivyo hata hao 10 waliokufa waliandikiwa, wakati huo huo vifo vingine vya magonjwa mengine vinaendelea daily na sio Corona!.

Kwa mujibu wa utoaji wa taarifa za Corona, taarifa zote rasmi zitatolewa na serikali pekee, hivyo hata akitokea mtu mwingine yoyote akafa kwa kuonyesha dalili zote za Corona, huyo atakuwa amekufa tuu kwa mengine na sio kwa Corona!.
Tanzania hakuna vifo vyovyote vya Corona zaidi ya vile 10!, sasa kwa idadi hiyo ukilinganisha na vifo vya Italy or US compared, kuna vifo vingi gani?. Mkuu Kamundu, Tusitishane jamani!.
P

Hawa ni katika hao 10?
 
Mkuu vifo vimekushtua mpaka umekosa usingizi??Relax bro kila mtu atakufa kwa ahadi ya mola wake so km case ni Corona basi ndo itakuwa aina ya kifo alichopangiwa mja ndo maana unakuta kuna Corona kali lakini kuna wanaokufa kwenye ajali mbalimbali.

BTW tuchukue tahadhari zaidi kujilinda na maambukizi pengibe ss hatukuandikiwa tufe kwa Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uoe sasa umri haukusubiri!
 
Mkuu Kamundu, nakuomba please, tusitishane!. Tangu kuibuka kwa ugonjwa wa Corona, so far kwa Tanzania, kumetokea vifo 10 tuu ndio vya Corona, sasa hii habari ya vifo vingi, inatokea wapi?.

Kila lenye mwanzo lina mwisho, uhai upo umeumbwa na kifo pia kipo kimeumbwa, ile siku unazaliwa tayari kifo chako umeisha andikiwa, hivyo hata hao 10 waliokufa waliandikiwa, wakati huo huo vifo vingine vya magonjwa mengine vinaendelea daily na sio Corona!.

Kwa mujibu wa utoaji wa taarifa za Corona, taarifa zote rasmi zitatolewa na serikali pekee, hivyo hata akitokea mtu mwingine yoyote akafa kwa kuonyesha dalili zote za Corona, huyo atakuwa amekufa tuu kwa mengine na sio kwa Corona!.
Tanzania hakuna vifo vyovyote vya Corona zaidi ya vile 10!, sasa kwa idadi hiyo ukilinganisha na vifo vya Italy or US compared, kuna vifo vingi gani?. Mkuu Kamundu, Tusitishane jamani!.
P
Wachache sana watakuelewa nguli…

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom