Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,793
- 284,881
Watu wanakufa usipime ! Niko mahali naandaa orodha halali ya waliokufa kwa Corona , nitailipua muda wowote ikiwa na ushahidi mwanana kabisa .Mwezi huu tumeanza kusikia vifo vingi bila kuambiwa vimetoka wapi. Wiki hii moja tu kuna wazee baba wa rafiki na Mama wa rafiki wamefariki kwa mazingira kama ya Corona ya homa, kushidwa kupumua na kukohoa. Wato walikuwa na magojwa mwngine na miaka zaidi ya 68.
Uchunguzi uliofanywa kwenye state ya new york kwa kuchunguza watu 3000 ambao hawaumwi wamekuta 14% kwa jimbo zima na 20% kwa mji mkuu wa New york wameumwa na kupona bila kujua hivyo kuna mengi ambayo hatujui kuhusu huu ugojwa.
Ushauri wangu kwanza wafiche wazee wako kama wapo na waelimishe, pili serikali ipime watu zaidi kama inawezekana na tatu ni lazima wahauri watu wasiwnde sehemu ambazo si za lazima.
Yaani huu ugojwa unachochoe magojwa watu walionao wazidiwe hivyo wenye pumu utaambiwa ni pumu, wenye kisukari hivyo hivyo hatutajiua idadi lakini tukiona misiba gafla inakuwa mingi tujiulize kwanini sana
Potelea mbali .