- Thread starter
- #181
Lockdown ingeweza kupinguza community spreading ili tupate muda wa vifaa watu wengi watakufa kwasababu ya oxygen tanks tu vitu vidogo kama hivi. Arusha nasikia ni balaa wiki hii.
Kama navyosema ni ile wiki ya pasaka imeongeza maambukizi na serikali kwa data ni mpaka mtu azidiwe au kufa. Yaani kondo sasa wanazika usiku wa manane
Kama navyosema ni ile wiki ya pasaka imeongeza maambukizi na serikali kwa data ni mpaka mtu azidiwe au kufa. Yaani kondo sasa wanazika usiku wa manane