Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,217
- 98,090
Hahahaha, huguy anko wangu huwa namuelewa sana, ana vitu na tu vitu vya kipekee sana, hasa ktk hoja na mada mbali mbali
Hahahaha, huguy anko wangu huwa namuelewa sana, ana vitu na tu vitu vya kipekee sana, hasa ktk hoja na mada mbali mbali
Duh...!, Mkuu Wacha1, wacha kuwaita wenzetu humu jf kuwa ni vinguchiro!.Mwana familia pole sana. Watanzania tufike mahali tufahamu kwamba kazi ambayo JPM anaifanya ni kwa ajili ya Watanzania wote. JPM yeye kaonyesha njia Watanzania tuipende nchi yetu na Ni wakati wa kutetea rasilimali na kuona keki ya Taifa inawafaidisha Watanzania.
Just imagine kuna vinguchiro vimo humu JF vinawatetea baada ya kulishwa peremende. Tuwe makini na tupiganie taifa letu.
Waziri wa afya anahusika kwa sababu hawakujiandaa kabisa pamoja na kufahamu uwepo wa janga
Kejeli, dharau na mzaha kwa mambo mazito...you have to grow up you guysSisi tumeji isolate kwetu Chato, nyie pambaneni na misongamano yenu Ferry na Kariakoo
Punguza munkari...... Usije kufa na korona kwa hasiraKejeli, dharau na mzaha kwa mambo mazito...you have to grow up you guys
Ni noma mkuu, tunahitaji hizi vitu zitoke nje. Mpaka sasa kuna watu wanaenda kwenye mikusanyiko bila maskYaani nimeangalia hii video.Hali ni tata watu wanazikwa usikuusiku.
Pascal mayala anaendekeza njaa na tamaa za madaraka angali anaona watu wanakufa na anatetea.Nafsi yako ndio itakuukumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa serikali imechukua jukumu la kuwazika wenzetu wanaotangulia, hili ni Jambo la.kupongzwa Sana serikali yeti badala ya kuwaachia.mzigi ndugu ambao penginepaka.wangoje michango na hawana uwezo na pia hawana njia nzuri zqmkujikinha na maambukizi.
Naona hiyo video kuwa kuna uwezekano ndugu wanajulishwa na wahudhurie wachache kwani kuna mpaka maua wanapozika, na pia kuna mtu anapiga picha ingawa anaambiwa picha haziruhusiwi lakini akaendelea tu kupiga picha kama vile maziko ni public issue. Na huyo Ansbert Ngurumo sijaelewa kwanini mambo private anayasambaza?
Kuna nchi hawapati hayo. Ni jambo la kuishukuru serikali na wanaojitolea kwenda kuzika.
"Hali iliyopo" Nani asiyoijuwa mpaka sasa? Hujuwi kuna Corona na unayakiwa uchukuwe tahadhari zote za kujikinga! Hujuwi kuwa corona hana dawa yoyote iliyothibitishwa na WHO mpaka sasa?Ni kweli serikali kusaidia kuzika ni jambo la kupongezwa lakini that is not the elephant in the room. Tatizo ni serikali kuamua kupambana na taarifa badala ya ugonjwa wenyewe. Maziko inaweza ikawa private, lakini haya maziko yana public interest. Wananchi wanapaswa kujua hali iliyopo, itawasaidia kuchukua hatua stahiki. Am telling you, hata jana nilikuwa nimeenda kununua mahitaji; bado kuna watu wanaingia supermarket bila barakoa. Labda wakiona hizi video wataamini kwamba huu ugonjwa upo na unaua. Hii video kuna watu itawabadilisha baadhi ya watu. Maana serikali imekuwa either kimya au inasambaza fake news.
Kwanini hatujifunzi na historia. HIV ilivyoingia Tanzania, tatizo lilikuwa hili hili usiri na kutochukua hatua mapema. Dr Remmy akatunga hadi nyimbo ikafungiwa. Kila mtu ana-pretend kila kitu kiko sawa, baada ya hali kuwa mbaya, tukaanza kubadilika lakini tulishapoteza valuable time kwenye kupambana kujifanya everything is okay.
People are dying, hili ni tatizo kubwa, kuendelea kuficha vichwa kwenye mchanga, kunatengeza mazingira ya watu kuchukulia poa. Na ndio balaa linakuja hapo, madereva karibu 10 kutoka Tanzania wamekutwa na Corona huko Uganda, hebu jiulize, wameuacha kwa watu wangapi kabla ya kufika Mutukula.
Tunahitaji kuwa wakweli, tusisubiri siku kila Mtanzania amepoteza ndugu au rafiki ndio tuamke
"Hali iliyopo" Nani asiyoijuwa mpaka sasa? Hujuwi kuna Corona na unayakiwa uchukuwe tahadhari zote za kujikinga! Hujuwi kuwa corona hana dawa yoyote iliyothibitishwa na WHO mpaka sasa?
Kama hayo huyajuwi basi wewe ni poyoyo wa mwisho duniani.
Nadhani kuna operation inayoendelea mitandaoni hasa twitter kulazimisha wakubwa (kama alivyowaita Rais) kuwa Tz kuna vifo vingi sana vya corona maana hata namna vinavyoripotiwa kule twitter inatia shaka kidogo! Simaanishi kuwa watu hawafi, yote yanawezekana! Nchi nyingi zina tabia ya kuficha ficha vitu kama hivi! 50/50Mkuu Kamundu, nakuomba please, tusitishane!. Tangu kuibuka kwa ugonjwa wa Corona, so far kwa Tanzania, kumetokea vifo 10 tuu ndio vya Corona, sasa hii habari ya vifo vingi, inatokea wapi?.
Kila lenye mwanzo lina mwisho, uhai upo umeumbwa na kifo pia kipo kimeumbwa, ile siku unazaliwa tayari kifo chako umeisha andikiwa, hivyo hata hao 10 waliokufa waliandikiwa, wakati huo huo vifo vingine vya magonjwa mengine vinaendelea daily na sio Corona!.
Kwa mujibu wa utoaji wa taarifa za Corona, taarifa zote rasmi zitatolewa na serikali pekee, hivyo hata akitokea mtu mwingine yoyote akafa kwa kuonyesha dalili zote za Corona, huyo atakuwa amekufa tuu kwa mengine na sio kwa Corona!.
Tanzania hakuna vifo vyovyote vya Corona zaidi ya vile 10!, sasa kwa idadi hiyo ukilinganisha na vifo vya Italy or US compared, kuna vifo vingi gani?. Mkuu Kamundu, Tusitishane jamani!.
P
Dah asidondokee tu...ajiverify kwanza...athibitishe ni covid19 chanya...Kisha ndiyo adondoke....inaweza kuwa Mimi...au wewe ....au mwingine[emoji2960]Natamani member mmoja adondoke[emoji16]
Mimi nna roho ngumu mno kufa mzaziDah asidondokee tu...ajiverify kwanza...athibitishe ni covid19 chanya...Kisha ndiyo adondoke....inaweza kuwa Mimi...au wewe ....au mwingine[emoji2960]
Sent using Beretta ARX160
Ni kweli jana nilikuwa kwa fundi cherehani nikichukua barakoa yangu nikamhimiza ashone za kutosha akanijibu serikali imesema hakuna vifo tena na hakuna tena wagonjwa ivyo hizi barakoa nitakuja kumuuzia nani? Nilihuzunika sana. We must tell the truthMimi naijua, na ndio maana niko Lockdown mimi na familia yangu. This is not personal, mimi sio kila Mtanzania. Kuna watu bila kusikia kauli za viongozi hawawezi kuelewa.
Anyways, uzuri wa huu ugonjwa hauchagui nani wa kumpiga, wacha tuone mwisho wake. Mtwara wana msiba huko wa DC. Kwaheri
Exactly, that's the point. Kuna umuhimu wa serikali kuwa serious, tuna ombwe la uongoziNi kweli jana nilikuwa kwa fundi cherehani nikichukua barakoa yangu nikamhimiza ashone za kutosha akanijibu serikali imesema hakuna vifo tena na hakuna tena wagonjwa ivyo hizi barakoa nitakuja kumuuzia nani? Nilihuzunika sana. We must tell the truth
Sent using Jamii Forums mobile app
soma kwa utulivu zaidi post zake. kunakitu utakigundua upya.
YouNatamani member mmoja adondoke[emoji16]