Tujiulize: Kwanini ghafla vifo vimekuwa vingi?

Tujiulize: Kwanini ghafla vifo vimekuwa vingi?

Kwa kuthibitisha kwa wanaobisha tufanye uchunguzi mdogo. Nenda hospitali za Agha khan, Muhimbili, Amana na hospital nyingine zote za Dar es salaam ulizia rekodi zao za wagojwa kwa idadi na vifo kwa mwezi wa nne mwaka jana 2019 na ulizia za mwezi huu wa nne mwaka 2020 halafu linganisha ongezeko au pungufu uone. Hiyo itakupa mtazamo wa juu juu kinacho endelea
 
Kweri mwezi huu vifo ni vingi mno tena wengi wao ni watu maalufu mno mfano huko mtwara kuna msiba wa sheikhe Nangomwa ambaye anazikwa mchana huu sambamba na hilo kuna uvumi wa kifo cha mku wa wilaya ya mtwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwasasa ni kupima watu wa kawaida wageni wamesha zuiwa na maambukizi ni ya ndani kwa sasa. Kama vipimo vipo tuongeze kupima watu lockdown ya sehemu fulani lengo ni kupunguza maumivu sio kuongeza hakuna nchi ambayo inataka uchumi upingue lakini uhojwa ukiwepo kwa muda mrefu uchumi utapungua zaidi. Tusiweke siasa huu ni ugojwa mpya kila mtu anajifunza lakini tusione aibu kubadilika
 
Mkuu Kamundu, nakuomba please, tusitishane!. Tangu kuibuka kwa ugonjwa wa Corona, so far kwa Tanzania, kumetokea vifo 10 tuu ndio vya Corona, sasa hii habari ya vifo vingi, inatokea wapi?.

Kila lenye mwanzo lina mwisho, uhai upo umeumbwa na kifo pia kipo kimeumbwa, ile siku unazaliwa tayari kifo chako umeisha andikiwa, hivyo hata hao 10 waliokufa waliandikiwa, wakati huo huo vifo vingine vya magonjwa mengine vinaendelea daily na sio Corona!.

Kwa mujibu wa utoaji wa taarifa za Corona, taarifa zote rasmi zitatolewa na serikali pekee, hivyo hata akitokea mtu mwingine yoyote akafa kwa kuonyesha dalili zote za Corona, huyo atakuwa amekufa tuu kwa mengine na sio kwa Corona!.
Tanzania hakuna vifo vyovyote vya Corona zaidi ya vile 10!, sasa kwa idadi hiyo ukilinganisha na vifo vya Italy or US compared, kuna vifo vingi gani?. Mkuu Kamundu, Tusitishane jamani!.
P
Unakosea kuamini kuwa vifo vinavyotangazwa na serikali 10 tu ndio Corona. Labda useme umejitoa akili. Si kweli japo unayo haki kuamini utakavyo. Au unangojea familia yako iguswe ndio somo likuingie?

Harald Uingereza na China kwenyewe wamesema wanachotangaza Kina mushkeli. Wanahesabu waliofia hospital kubwa wasijali wanaofia hospital ndogo namnet majumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni rahisi kuponea nyumbani kuliko hospital ambako....
Hili liko wazi,maana huu ugonjwa hauna dawa, hivyo hata ukienda hospitali utapewa dawa gani? Kaa nyumbani komaa na kujivukiza na surfuria la majani ya asili, Museveni kaagaiza masufuria hayo yapelekwe hadi mahospitalini!

Hata hapa kwentu viongozi wanasema kwenda hospitali hadi uwe mgonjwa sana unayehitaji labda oxygen nk. lakini kama bado una nguvu kiasi, komaa nyumbani.

Kila mwenye dalili tu ataenda hospitali ni wazi health sysytem itaelemewa sana na hapo hata wasiokuwa na covid - 19 nao watakufa tu hata kwa magonjwa ambayo wangepona!
 
Woga na unafiki Ni kitu kibaya Sana...mwaka huu watu watajifunza kuwa kupiga kura Ni Ni suala linalohusu maisha ya na kizazi chote.Tanzannia huwa tunachukulia Siasa za Nchi Kama Ushabiki ea Simba na Yanga.
Hizi tetesi zonazoendelea kuhusu Hali ya ugonjwa wa Kakorona'' hapa nchini zinshitaji kuwekwa saws.Kama Ni uongo kwa faida faida ya Nani!
Na kwa Nini watu wazushe kuhusu vifo.
Kwa Nini taarifa kuhusu kujikinga zinatolewa kwa kukinzana.Ingekuwa nchi za wenye hofu ya MUNGU Naibu Wazir wa Afys na RC Dar wangeomba kupumzika
Vyombo vya habari vyote vimeshindwa kufanya uchunguzi wa tetesi zonazoendelea,wanalinda ugali wao.
Ukiangalia mwenendo wa Korona kwa nchi nyingi ...hakika Tanzania inahitaji Neema ya Mungu kuliko nchi hizo...Sasa Sina uhakika Kama Mungu yupo hivi!
Hiyo neema ya Mungu kuipata ni mpaka apatikane msisiemu
mmoja mwenye haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea na ushabiki wako hata katika mambo ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Pascal, hivyo vifo kumi tu ndivyo vya Ummy. Huku mtaani hata makaburini hatuendi, kwa sababu ving'ora vya city vinapishana kila sekunde. Endeleeni kudanyanganyana kwamba vifo ni 10.
 
North Korea nao ni sawa na maiti zinazotembea Kama waafrica utakuta nao eti wanahangaika kuokoa uhai wa mtu anayekuja kuwatesa hizo akili matope.Hapo ni sawa na polisi kuisaidia ccm
Ujue Kim tunamuona kwa jicho lingine lakini kutokana na misimamo yake hakuna kesi yeyote ya korona uko korea kaskazini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom