MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,856
- 5,561
So huko chato hafanyi kazi?VIFO VIMEONGEZEKA kwa sababu jiwe kajichimbia chaTO
Senti bai yuzingi tecno T301
So huko chato hafanyi kazi?VIFO VIMEONGEZEKA kwa sababu jiwe kajichimbia chaTO
Maambukizi mapya huwa hasa yanatokea kama ugonjwa hauna tiba. Baada ya ugunduzi wa tiba ya Mh. Rais ya kuyeyusha futa kwa mvuke wa nyuzi 100, maambukizi yataongezekaje? Futa lenyewe kuliyeyusha ni tendo la dakika moja tu.Kwaio unataka kusema kua kwa izi siku 3 sjui 4 apa bara hatujapata maambukizi mapya mkuu....... nataka kucheka lakini nashindwa kwa kua nipo najifukiza kwa tangawizi na limau
Tuliambiwa wagonjwa mahututi wa corona wako wanne,sasa sijui ndio wanatumia hizo mashine mbili ama sijui vp.Mashine 2 wagonjwa 47, gombania goli
HahahahahaMaambukizi mapya huwa hasa yanatokea kama ugonjwa hauna tiba. Baada ya ugunduzi wa tiba ya Mh. Rais ya kuyeyusha futa kwa mvuke wa nyuzi 100, maambukizi yataongezekaje? Futa lenyewe kuliyeyusha ni tendo la dakika moja tu.
Tumemaliza maambujizi yote. Uhangaike na vipimo wakati unajua matibabu ni ya dakika 1? Ukihisi tu, vhukua maji chemsha, yeyusha futa. Tatizo kwisha. Sijui kwa nini Zanzibar hawataki kuotumia hii tiba ili wamalize hili tatizo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mwana wa Mikaeli, sisi waandishi pia tume specialize, mimi japo nina uwezo wa kufanya Investigative Journalism kwenye hiyo issue ya vifo vya Corona, sifanyi kwasababu nime specilize na kuandika habari za kimaendeleo tuu, yaani nimejikita kwenye developmental journalism.Bila Shaka kama mwandishi WA habari nguli kama usemavyo Wewe.. utakua unafahamau maana ya Investigative journalism,, hapa ndo mahala pake sasa ili uprove wrong au correct hizo statement za watu! ,,Sio umekaa nyuma ya keyboard Ku argue na watu ambao wanaonekana wamekosa matumaini wamekosa msaada,,,Kila kukicha shutuma za jamaa zao Kufa na kuzikwa na city zinazidi,,,TOKA MAFICHONI FATILIA HIZI HABARI KAMA MWANDISHI WA HABARI NGULI UJE NA EVIDENCE ZA KUPROVE WATU WRONG ,,,HAPO WATAKUA NA AMANI VINGINEVYO UTAONEKANA KASUKU ANAEKARIRI KILA NENO
Tafuta majina yao and their current homeTuliambiwa wagonjwa mahututi wa corona wako wanne,sasa sijui ndio wanatumia hizo mashine mbili ama sijui vp.
Kwa maelezo ya huyo dada mgonjwa yuko kwenye hali mbaya ni ngumu kuponea nyumbanWengi tunakufa kwa upumbavu tu kuanzia juu Hadi manesi, na si korona.
Tukatae kwenda hospitali, ni rahisi kuponea nyumbani kuliko hospital ambako manesi wanawakimbia wagonjwa
Mkuu nahisi unataka uteuzi wewe!Ila ukwel unaujua kwenye nafsi yako.Mkuu Kamundu, nakuomba please, tusitishane!. Tangu kuibuka kwa ugonjwa wa Corona, so far kwa Tanzania, kumetokea vifo 10 tuu ndio vya Corona, sasa hii habari ya vifo vingi, inatokea wapi?.
Kila lenye mwanzo lina mwisho, uhai upo umeumbwa na kifo pia kipo kimeumbwa, ile siku unazaliwa tayari kifo chako umeisha andikiwa, hivyo hata hao 10 waliokufa waliandikiwa, wakati huo huo vifo vingine vya magonjwa mengine vinaendelea daily na sio Corona!.
Kwa mujibu wa utoaji wa taarifa za Corona, taarifa zote rasmi zitatolewa na serikali pekee, hivyo hata akitokea mtu mwingine yoyote akafa kwa kuonyesha dalili zote za Corona, huyo atakuwa amekufa tuu kwa mengine na sio kwa Corona!.
Tanzania hakuna vifo vyovyote vya Corona zaidi ya vile 10!, sasa kwa idadi hiyo ukilinganisha na vifo vya Italy or US compared, kuna vifo vingi gani?. Mkuu Kamundu, Tusitishane jamani!.
P
Mkuu hahusiki, usimsingizie.Hizi ambazo zinabadilika Kwa matakwa ya mkulu?.
Mkuu Kamundu, nakuomba please, tusitishane!. Tangu kuibuka kwa ugonjwa wa Corona, so far kwa Tanzania, kumetokea vifo 10 tuu ndio vya Corona, sasa hii habari ya vifo vingi, inatokea wapi?.
Kila lenye mwanzo lina mwisho, uhai upo umeumbwa na kifo pia kipo kimeumbwa, ile siku unazaliwa tayari kifo chako umeisha andikiwa, hivyo hata hao 10 waliokufa waliandikiwa, wakati huo huo vifo vingine vya magonjwa mengine vinaendelea daily na sio Corona!.
Kwa mujibu wa utoaji wa taarifa za Corona, taarifa zote rasmi zitatolewa na serikali pekee, hivyo hata akitokea mtu mwingine yoyote akafa kwa kuonyesha dalili zote za Corona, huyo atakuwa amekufa tuu kwa mengine na sio kwa Corona!.
Tanzania hakuna vifo vyovyote vya Corona zaidi ya vile 10!, sasa kwa idadi hiyo ukilinganisha na vifo vya Italy or US compared, kuna vifo vingi gani?. Mkuu Kamundu, Tusitishane jamani!.
P
Maambukizi mapya huwa hasa yanatokea kama ugonjwa hauna tiba. Baada ya ugunduzi wa tiba ya Mh. Rais ya kuyeyusha futa kwa mvuke wa nyuzi 100, maambukizi yataongezekaje? Futa lenyewe kuliyeyusha ni tendo la dakika moja tu.
Tumemaliza maambujizi yote. Uhangaike na vipimo wakati unajua matibabu ni ya dakika 1? Ukihisi tu, vhukua maji chemsha, yeyusha futa. Tatizo kwisha. Sijui kwa nini Zanzibar hawataki kuotumia hii tiba ili wamalize hili tatizo!
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi binafsi sioni ubaya wowote mtu akifa kwa corona.
NI ugonjwa tu kama ukimwi,malaria,kansa,Ebola n.k.
kwa hyo atakayekufa tutamzika na maisha yanaendelea kama kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Rukhsa kuhisi chochote, vyovyote.Mkuu nahisi unataka uteuzi wewe!Ila ukwel unaujua kwenye nafsi yako.
Nimembadilisha karibu mkuu!., walikua wanasoma idadi ya waliongezeka Tu wakati Nina taarifa waliopona ni Zaidi ya 100.. baada ya siku mbili ,,,waliopona 34 mambukizi mapya hakuna!.. kama hili hulioni Mzee wangu nazani haitasaidia Mimi kuendelea Ku argue ,,Wacha nikubaliane na weweMkuu hahusiki, usimsingizie.
Ila pia kuna kitu kinaitwa news filter, kunapotokea habari mbaya mwendelezo, sio busara kutangaza kila kitu kila siku. Hivyo kuna uwezekano jana kuna watu walikufa na kuzikwa, leo pia watakufa na kuzikwa, halafu taarifa ikatolewa kesho.
P
Kwahiyo Kim Jong nae amejitoa?Punguza presha mkuu
Siku chache zilizopita nilikuwa na mawazo kama yako ila mpaka sasa nimewaelewa wanaosema hali ni mbaya baada ya kushuhudia yanayoendelea.Watu wanalazimisha vifo vyote viwe vya Corona.Mnafikiri vifo vya corona vinafichika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana familia pole sana. Watanzania tufike mahali tufahamu kwamba kazi ambayo JPM anaifanya ni kwa ajili ya Watanzania wote. Wakati wa JK misururu ilijaa kwenda India, ni kweli tumepiga hatua kubwa sana lakini bado tunahitaji kukaza kamba kwa sababu wapo wengi ambao wanapiga vita uimarishwaji wa huduma hapa Tanzania kwa sababu ya ubinafsi. JPM yeye kaonyesha njia Watanzania tuipende nchi yetu na tusijifanye hatufahamu yaliyotokea wakati wa Mzee rukhsa na BWM na JMK. Ni wakati wa kutetea rasilimali na kuona keki ya Taifa inawafaidisha Watanzania.