Tujiulize: Kwanini ghafla vifo vimekuwa vingi?

Nasikia yule wa Korea tayari unaliwa wali mwenye taarifa sahihi atujuze , dikteta akiondoka ni furaha kwa dunia
Hana corona yule mzee anaumwa kitu kingine alafu alishawahi fanyiwa operesheni ndio inayomsumbua nasio corona.
 
Mkuu Kamundu, nakuomba please, tusitishane!. Tangu kuibuka kwa ugonjwa wa Corona, so far kwa Tanzania, kumetokea vifo 10 tuu ndio vya Corona, sasa hii habari ya vifo vingi, inatokea wapi?.

Kila lenye mwanzo lina mwisho, uhai upo umeumbwa na kifo pia kipo kimeumbwa, ile siku unazaliwa tayari kifo chako umeisha andikiwa, hivyo hata hao 10 waliokufa waliandikiwa, wakati huo huo vifo vingine vya magonjwa mengine vinaendelea daily na sio Corona!.

Kwa mujibu wa utoaji wa taarifa za Corona, taarifa zote rasmi zitatolewa na serikali pekee, hivyo hata akitokea mtu mwingine yoyote akafa kwa kuonyesha dalili zote za Corona, huyo atakuwa amekufa tuu kwa mengine na sio kwa Corona!.
Tanzania hakuna vifo vyovyote vya Corona zaidi ya vile 10!, sasa kwa idadi hiyo ukilinganisha na vifo vya Italy or US compared, kuna vifo vingi gani?. Mkuu Kamundu, Tusitishane jamani!.
P
Hizi ni tarifa za ofsn njoo field

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado natafakari, huu ni mwandiko wa Mayyala ?? au kuna mtu ame hack account yake??
Mayyala una uhakika gani waliokufa wapo 10 tu? vipi waliofariki pasipo kupimwa?
 
Kwaio unataka kusema kua kwa izi siku 3 sjui 4 apa bara hatujapata maambukizi mapya mkuu....... nataka kucheka lakini nashindwa kwa kua nipo najifukiza kwa tangawizi na limau
 
Kwenye Corona, tunatumia taarifa rasmi pekee. Kwa mujibu wa taarifa rasmi za vifo vya Corona kwa Tanzania is only 10!.

Wengine wote waliofariki bila kipimwa, wamekufa kwa matatizo mengine, na hata kama ni Corona, bila kupimwa na kuthibitishwa kuwa ni Corona, inakuwa ni wamekufa kwa maradhi mengine!.
P
 
Hakuna kitu kama ''ahadi ya siku ya kufa''. Huu ni msemo wa kizamani na umeshapitwa na wakati. Nchi zilizoendelea wananchi wake wanaishi maisha marefu kulinganisha na nchi zetu za dunia ya tatu. Kwa nini? Unataka kutuambia kuwa Mungu amefanya upendeleo na kuwapa watu nchi zilizoendelea ahadi ya maisha marefu na huku kwetu akatupa ahadi ya maisha mafupi? Ni watoto wangapi chini ya umri wa miaka mitano wanafariki nchi zinazoendelea kwa kukosa huduma muhimu za afya au lishe bora? Hawa watoto wadogo kabisa waliahidiwa maisha ya chini ya miaka mitano? Bila shaka msemo wako unapotosha na unafanya binadamu wawe wazembe kufuata kanuni bora za maisha wakidhani hawatakufa kama ahadi yao haijafika!
Hii ni point kubwa sana
 
Kwaio unataka kusema kua kwa izi siku 3 sjui 4 apa bara hatujapata maambukizi mapya mkuu....... nataka kucheka lakini nashindwa kwa kua nipo najifukiza kwa tangawizi na limau
No sisemi, kwavile mimi sio msemaji, ila kwa vile haijasemwa na hao wasemaji, then hakuna vifo zaidi ya hivyo 10 na hakuna maambukizi yoyote mapya mpaka itakapotangazwa, no news is good news.
P
 
Kwenye Corona, tunatumia taarifa rasmi pekee. Kwa mujibu wa taarifa rasmi za vifo vya Corona kwa Tanzania is only 10!. Wengine wote waliofariki bila kipimwa, wamekufa kwa matatizo mengine, na hata kama ni Corona, bila kupimwa na kuthibitishwa kuwa ni Corona, inakuwa ni wamekufa kwa maradhi mengine!.
P
Kwani watoaji taarifa ni malaika?? mbona ni wanadamu tu kama sisi na wengi tupo nao mtaani, kwanini wakuaminishe kuwa wapo 10 tu angali ndugu wananchi wamekuwa wakilalamikia serikali kuhusu ndugu zao kuzikwa kimya kimya na manispaa?
 
Wengi tunakufa kwa upumbavu tu kuanzia juu Hadi manesi, na si korona.
Tukatae kwenda hospitali, ni rahisi kuponea nyumbani kuliko hospital ambako manesi wanawakimbia wagonjwa
Mkuu sasa manesi na madaktari Kama hawana PPE wafanyeje,nao haya maisha wanayataka eti
 
Mkuu Kamundu, nakuomba please, tusitishane!. Tangu kuibuka kwa ugonjwa wa Corona, so far kwa Tanzania, kumetokea vifo 10 tuu ndio vya Corona, sasa hii habari ya vifo vingi, inatokea wapi?.

Kila lenye mwanzo lina mwisho, uhai upo umeumbwa na kifo pia kipo kimeumbwa, ile siku unazaliwa tayari kifo chako umeisha andikiwa, hivyo hata hao 10 waliokufa waliandikiwa, wakati huo huo vifo vingine vya magonjwa mengine vinaendelea daily na sio Corona!.

Kwa mujibu wa utoaji wa taarifa za Corona, taarifa zote rasmi zitatolewa na serikali pekee, hivyo hata akitokea mtu mwingine yoyote akafa kwa kuonyesha dalili zote za Corona, huyo atakuwa amekufa tuu kwa mengine na sio kwa Corona!.
Tanzania hakuna vifo vyovyote vya Corona zaidi ya vile 10!, sasa kwa idadi hiyo ukilinganisha na vifo vya Italy or US compared, kuna vifo vingi gani?. Mkuu Kamundu, Tusitishane jamani!.
P
Bila Shaka kama mwandishi WA habari nguli kama usemavyo Wewe.. utakua unafahamau maana ya Investigative journalism,, hapa ndo mahala pake sasa ili uprove wrong au correct hizo statement za watu! ,,Sio umekaa nyuma ya keyboard Ku argue na watu ambao wanaonekana wamekosa matumaini wamekosa msaada,,,Kila kukicha shutuma za jamaa zao Kufa na kuzikwa na city zinazidi,,,

TOKA MAFICHONI FATILIA HIZI HABARI KAMA MWANDISHI WA HABARI NGULI UJE NA EVIDENCE ZA KUPROVE WATU WRONG ,,,HAPO WATAKUA NA AMANI VINGINEVYO UTAONEKANA KASUKU ANAEKARIRI KILA NENO
 
No sisemi, kwavile mimi sio msemaji, ila kwa vile haijasemwa na hao wasemaji, then hakuna vifo zaidi ya hivyo 10 na hakuna maambukizi yoyote mapya mpaka itakapotangazwa, no news is good news.
P
Tuendelee kujifukiza mkuu..

Nimeanza kukupata
 
Hana corona yule mzee anaumwa kitu kingine alafu alishawahi fanyiwa operesheni ndio inayomsumbua nasio corona.
Maradhi ya moyo ndio ugonjwa mkuu wa madikteta sababu yamejaza sumu mioyoni mwao yana hofu mda wote sababu ya kujitengenezea maadui yenyewe kila kona sababu ya upeo wao Mdogo( gap Kati ya Hali halisi na msawaziko wa ndani).
Ipo state 5 yrs back alidungwa drones ya virus ya heart attack kupitia mbu drone.

Kuna clip toka USA inasema yule mrefu wa nchi mkoa naye either ubwabwa unaliwa au yuko in between line bado twasubiria ukweli
 
Kitu kinachoitwa takwimu ni zile rasmi tuu, official kwenye makaratasi!. Tangu kuibuka kwa janga la Corona, Tanzania tumepata vifo 10 tuu!.
P
Tatizo ukitaka taarifa zisizo rasmi basi huku mitaani ziko nyingi tu,yani huku mitaani unakuta mtu anakwambia kashazika watu sita waliyokufa kwa corona yani watu wafe kwa corona lakini mazishi kama kawaida yanafanywa na raia.
 
mimi binafsi sioni ubaya wowote mtu akifa kwa corona.
NI ugonjwa tu kama ukimwi,malaria,kansa,Ebola n.k.
kwa hyo atakayekufa tutamzika na maisha yanaendelea kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta unaambiwa wagonjwa mahututi wa corona wanasumbuliwa na maradhi mengine halafu wakifa unaambiwa marehemu(wa corona) alikuwa anasimbuliwa na maradhi mengine.

Yani hapo nashindwa kupaelewa.
 
Back
Top Bottom