Tujadili mila, jadi na desturi za wachagga

Tujadili mila, jadi na desturi za wachagga

Kweli wewe ni bonge la riverse! yani unasema wa-uru hawakusoma jamani? unawakosea heshima, watake radhi!
Hebu angalia hili....
There is no Chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:



Wasiha: They are too backward. Hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai. Wanaume wanatahiriwa nusu!!! Cha achana nao.



Wamachame: Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi " kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu" Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa fedha, ……[edited!].



Wakibosho: Specialized bandits. Akina Mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi" Yaani Dadangu we acha tu yule Alex wangu siku hizi amepefuka kweli, ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo. Ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia " hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!



Wauru: Very boring people, wakikaa ni kuonge kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake " Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea. Wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.



WaOld Moshi: Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe. Wanaume niwabishi! Wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii



WaMarangu: Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo la "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu. Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.



Warombo: Kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani. Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya


Lakini Mkuu ulitumia muda gani kufanya hii research,umeileta wakati sio,nitacheka mwezi mzima!
 
ile inaitwa Kifuo......kipfuo......something like that!!!
ile makitu inashibisha balaaa!!........very nutritious stuff!!!
  • inaitwa kipfue, ukinywa ile kama ushakunywa kuburu(kyumbo) chako umeshiba lazima uvimbiwe aisee
  • katika dua za kuomba mizimu inatumika sana mbege, maziwa (Maruwa) na huu mti wa isale wanamwaga chini yake
  • ni marufuku mwanamke kumpiga mumeo, hata kama yeye ndio mkosaji kikao cha ukoo kikikaa wewe ndio unatoza faini
  • mwanaume akimsaidia mkewe kazi za nyumbani esp zile za jikoni anadharaulika kabisa inaonekana mke kampanda kichwani
  • wanapenda sana kusali kila j2 lkn wakitoka tu kanisani wanapitia clabuni na vitabu vyao au anampa mtoto avipeleke home
  • binti ukilala kwa mwanaume ndio ushaolewa tena, wazazi wa kijana kesheyo yake wanaleta mbuzi + lile jani letu(mburu ya sale) kuomba msamaha na kutoa taarifa kwamba binti yuko kwao wasimtafute
  • kama kwetu siye ndio hata mtoto wa kiume haruhusiwi kuingia jikoni au kula kwenye sufuria
 
unajua ni kwanini???
ukimfanyia mtu ubaya kuna dua fulani wanaombaga wanaita (kupiga NUNGU) wakishapiga hiyo kama familia wanakufa wote basi yule wa nje ndo atasalia


kupiga nungu,,theheteehe
 
Ukimpiga mkeo usiku akapiga yowe basi wazee wanakuja wanakamata ng'ombe au mbuzi wanachinja usiku huo huo na kumla. Kama huna basi ujue utapigwa au utoe pesa watu wakaburudike. Infact hairuhusiwi kupiga mkeo usiku.
Baadhi ya vyakula vya asili:-
-kiburu(kiumbo)
-machalari(ndizi)
-kitawa(ndizi zilizopikwa zikasongwa na kuchanganywa na maziwa mgando)
-kimamtine(damu iliyochanganywa na maziwa mgando)
-ngararimo(mahindi yaliyopikwa bila kukobolewa yakachanganywa na maharage)
 
Wanawake wazuri wanapatikana maeneo ya Marangu na Machame.
Wanaume wapole na wenye hekima wanapatikana Kibosho.
Washamba wote wanapatikana maeneo ya Uru especially Kishumundu

wanaume kutoka Kibosho ndiyo wanawaponza wachaga wote waonekane majambazi, wanatumia silaha

wanaume wa Machame ni wezi wa kalamu na utapeli
 

WaMarangu: Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo la "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu. Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.

kweli Wil

wanawake wa Marangu wanajifanya mastafu sana, siyo wa kuweka ndani

wauru walugaluga kupitiliza
 
wananifurahisha sana hawa wanaojiita eurombians,kuna songi lao wanaliita iyembe-iyembe,wachaga kuimba wap?njaa ya pesa bana...
 
Wachaga maarufu na sehemu walizotoka

kibosho - alex masawe, babu sambeke
vunjo - agustino mrema
machame - r. Mengi, f. Mbowe
marangu - +kibo and other marealles
rombo - b mramba
old moshi - mama mkapa
uru - 😱

wana jf ongezeeni hapa.
Aina ya watu inaweza kutupa tabia za wastani za watu wa sehemu fulani
 
Wachaga maarufu na sehemu walizotoka

kibosho - alex masawe, babu sambeke
vunjo - agustino mrema
machame - r. Mengi, f. Mbowe
marangu - +kibo and other marealles
rombo - b mramba
old moshi - mama mkapa
uru - 😱

wana jf ongezeeni hapa.
Aina ya watu inaweza kutupa tabia za wastani za watu wa sehemu fulani

mkuu umewaonea wa-uru
mbona wasomi wengi sana kule
 

mlizoea kuwaacha wake zenu pale home, hivyo baba yako anapovinjari mahali pale anamkuta mkeo ni lazima aandaliwe mlo kidogo plus kipata cha mbege, ikipanda kichwani ni lazima avunje amri, kwingine hali ngumu ya maisha unapokuwa baba hauko umekwenda tuseme nairobi inapelea mama anavunje amri ili apate mahitaji, wengine ni uzinifu tu unalazimi kufanya hivyo, sharti lililopo ukirudi ukikuta mtoto huna namna yeyote ya kufanya fujo na utaendelea kuwalea watoto wote kama kawa.
 
ni wazuri kwa kila kitu mkuu..ni wanawake wanaofaa hata kuweka ndani. Ukienda uru utaelewa ninachosema.
Warombo ni wachapakazi sana..nawaheshimu kwa hilo!
Kuna wa old moshi na waanjo ambao hawaeleweki eleweki.

mheshimiwa ama uthibitishe kauli yako kuwa waanjo hawaeleweki eleweki au ufute hoja hiyo na utuombe radhi.
 
Wachaga maarufu na sehemu walizotoka

kibosho - alex masawe, babu sambeke
vunjo - agustino mrema
machame - r. Mengi, f. Mbowe
marangu - +kibo and other marealles
rombo - b mramba
old moshi - mama mkapa
uru - 😱

wana jf ongezeeni hapa.
Aina ya watu inaweza kutupa tabia za wastani za watu wa sehemu fulani

Kwani kina profesa Samwel Mushi (RIP) wanatokea wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom