Tujadili mila, jadi na desturi za wachagga

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,383
127,296
lsale:- Jamani huu ni mmea wa ajabu sana, tena wa mila wa kabila la Kichagga.

Mawandala ni mawe yanayochukuliwa kaburini kwa Mchagga aliye zikwa nje ya Moshi, ili kulihamishia kaburi lake Moshi

Mburu wa mrumwa- huyu ni mbuzi wa tambiko. Mbuzi huyu huwa anatumika kutabiri mambo na majanga ya mwaka mzima.

Jamani hebu naomba mnisaidie mengine ambayo sijayataja
 
NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
861
403
mbege:ni pombe ya asili ambayo inatumika kama kiburudisho na pia ina heshimiwa na wachaga.
Ndizi:hiki ndicho chakula cha asili cha wachaga,na itakuwa ajabu iwapo utakuta mgomba katika shamba analomiliki mchaga.
 
Memo

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
2,157
759
Huyu bujibuji tena hapa!
Machicha/mashisha ya mbege...........nguruwe anapenda sana hii kitu
 
Memo

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
2,157
759
Suruali: ni vazi la kusitiri sehemu ya chini ya kiuno ya mwanaume.
Mgomba: ni mmea unaotoa tunda linaloitwa ndizi.

nyambafu: tusi kubwa zaidi la kichaga
mbege:ni pombe ya asili ambayo inatumika kama kiburudisho na pia ina heshimiwa na wachaga.
Ndizi:hiki ndicho chakula cha asili cha wachaga,na itakuwa ajabu iwapo utakuta mgomba katika shamba analomiliki mchaga.
 
strit boy

Member
Aug 24, 2011
87
4
Pesa ni kitu inatafutwa usiku na mchana pahala popote iwe kwa njia halali au isiyo halali na kuitumia ni kila mwisho wa mwaka (Dec 25)
 
RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
Toyota stout hii gari wachaga huitumia kubebea mizigo ya wizi kupeleka kenya kupitia tarakea
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,236
4,042
Wanawake wazuri wanapatikana maeneo ya Marangu na Machame.
Wanaume wapole na wenye hekima wanapatikana Kibosho.
Washamba wote wanapatikana maeneo ya Uru especially Kishumundu
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,899
3,390
mila na desturi za wachagga zilishakufa kwa sababu ya kuweka pesa mbele,kama huna pesa wewe ni takataka hata mbele ya ndugu zako
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,899
3,390
Wanawake wazuri wanapatikana maeneo ya Marangu na Machame.
Wanaume wapole na wenye hekima wanapatikana Kibosho.
Washamba wote wanapatikana maeneo ya Uru especially Kishumundu

mkuu wanawake wazuri viwango vipi,roho safi?au uzuri kwa nje?maumbile,sura?
aaaah mkuu wachagga wa uru ni wapiganaji,inaonekana walinyimwa elimu lakini wanapambana
mbona hujaongea kuhusu warombo?
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,236
4,042
mkuu wanawake wazuri viwango vipi,roho safi?au uzuri kwa nje?maumbile,sura?
aaaah mkuu wachagga wa uru ni wapiganaji,inaonekana walinyimwa elimu lakini wanapambana
mbona hujaongea kuhusu warombo?
Ni wazuri kwa kila kitu mkuu..ni wanawake wanaofaa hata kuweka ndani. Ukienda Uru utaelewa ninachosema.
Warombo ni wachapakazi sana..nawaheshimu kwa hilo!
Kuna wa Old Moshi na Waanjo ambao hawaeleweki eleweki.
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,899
3,390
Ni wazuri kwa kila kitu mkuu..ni wanawake wanaofaa hata kuweka ndani. Ukienda Uru utaelewa ninachosema.
Warombo ni wachapakazi sana..nawaheshimu kwa hilo!
Kuna wa Old Moshi na Waanjo ambao hawaeleweki eleweki.

warombo nahisi walinyimwa elimu kiaina,lakini kwa hasira hizo wamepiga bao baada ya kuamua kujituma kwa nguvu
nina rafiki wengi kutoka rombo kwa jinsi wanavyofanya biasharta napenda sana,pamoja na kwamba hawana elimu kama wamarangu na wamachame lakini jamaa wako mbali
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,899
3,390
warombo nahisi walinyimwa elimu kiaina,lakini kwa hasira hizo wamepiga bao baada ya kuamua kujituma kwa nguvu
nina rafiki wengi kutoka rombo kwa jinsi wanavyofanya biasharta napenda sana,pamoja na kwamba hawana elimu kama wamarangu na wamachame lakini jamaa wako mbali

waanjo ni wa wapi,ndio mara ya kwanza nasikia hiyo
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,899
3,390
Hahah..umenifurahisha sana!!
Yule ndio kama Mungu wa wao!
Mbatia naye pia ni wa huko huko.

Mkuu unaweza kunieleza kwa nini wakibosho,wanarumu,wa-uru,na warombo walinyimwa elimu?
nikiangalia hayo maeneo roman catholic wamejikita sana,
lakini ukija machame na marangu kuna lutheran ambayo imejenga shule nyingi,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

4 Reactions
Reply
Top Bottom