Tujadili mila, jadi na desturi za wachagga

Tujadili mila, jadi na desturi za wachagga

Wanawake wazuri wanapatikana maeneo ya Marangu na Machame.
Wanaume wapole na wenye hekima wanapatikana Kibosho.
Washamba wote wanapatikana maeneo ya Uru especially Kishumundu

Hahhahahahhah hahhhahah hiyo nimeikubali.
 
Wanawake wazuri wanapatikana maeneo ya Marangu na Machame.
Wanaume wapole na wenye hekima wanapatikana Kibosho.
Washamba wote wanapatikana maeneo ya Uru especially Kishumundu

ndizi bora ni ndizi kishimundu.
 
unajua ni kwanini???
ukimfanyia mtu ubaya kuna dua fulani wanaombaga wanaita (kupiga NUNGU) wakishapiga hiyo kama familia wanakufa wote basi yule wa nje ndo atasalia

Tena hiyo avatar yako Lady N imenikumbusha siku nilipo goma kwenda shamba nikapanda kujificha juu ya kai huku nikizishambulia hizo ndizi hadi nikalala huko kiruu !!! waliporudi shamba c wakawa wanapika hapo kwa chini sasa shida ni ule moshi uliokua unapanda kule aisee nilijikabidhi polepole tu walinipa kichapo mbaya jamaangu.
 
tunapatana, wapare ni sehemu ya wachaga, ila kuna wakati vita ilitokea akina mangi wakuu walikuwa wanapigana kule moshi , likawa linatumika sana neno wapare yaani 'wapige' kwa hiyo wale waliookuwa waooga kusikia wapare 'wapige' wakatimua mbio na kwenda kujificha kwenye milima ya upare, baada ya vita kwisha hawakurudi tena kule kwa mangi mkuu wakabaki kule kule upareni, kwa hilo wachaga wakaona wapare kama watu waliokimbia vita yaani kama ni waoga fulani hivi; ila kwa sasa kwa kuwa wale wakuu wa zamani waliojua hayo hawapo tena tumeanza kuwa tena kitu kimoja. nawasilisha mkuu wangu.
wale waliokuwa wafupi wafupi na waoga waoga hivi, ndo walikimbia..........ndio maana wapare ni wafupi sana.
 
Ingekuwa hvyo wabib wote na wababu wangeshakufa na wala huwez kuckia wanakansa na magad ndo chakula chao.
na mimi nimeshangaa, sasa nani angepona??
mi uniambii kitu, nikipata nafasi ya kuwa kule mamndenyi lazima nipige kitu cha kiumbo ndo nipate akili.
 
Wachaga maarufu na sehemu walizotoka

kibosho - alex masawe, babu sambeke
vunjo - agustino mrema
machame - r. Mengi, f. Mbowe
marangu - +kibo and other marealles
rombo - b mramba
old moshi - mama mkapa
uru - 😱

wana jf ongezeeni hapa.
Aina ya watu inaweza kutupa tabia za wastani za watu wa sehemu fulani

Mamndenyi....
Inaelekea wachagga JF ni zaidi 50%
 
Ingekuwa hvyo wabib wote na wababu wangeshakufa na wala huwez kuckia wanakansa na magad ndo chakula chao.

huwezi kujilinganisha na wale wa zamani, walikuwa watu wasafi sana, magadi (mmbala) ulikuwa na chungu maalum cha kuulowekea, unakaa kwa muda mrefu unatulia yaani lile vumbi vumbi lote linajitenga na maji ndo wanaweka yale maji kwenye chakula, miaka ya leo ni vodafasta kwanini usipate kansa.
 
Magadi = mmbala!
Umenikumbusha mbali sana! Kuna tukio nishawahi kulipata likihusisha mmbala!
Mamndenyi unaonekana mkongwe!! Big up sana!
 
Wachaga maarufu na sehemu walizotoka

kibosho - alex masawe, babu sambeke
vunjo - agustino mrema
machame - r. Mengi, f. Mbowe
marangu - +kibo and other marealles
rombo - b mramba
old moshi - mama mkapa
uru - 😱

wana jf ongezeeni hapa.
Aina ya watu inaweza kutupa tabia za wastani za watu wa sehemu fulani

- kimboru (nasikia huwa akiamua anafunga njia/kijiji huko kibosho watu wanakula na kunywa)
 
Naona kauchuna.... mimi nijuavyo jina hili linamaanisha ...wakuja, washamba, mshamba......asiyemchangamfu..... mshamba mshamba hivi....... Samahani dada yangu sijakutukana bali ni tafsiri ya jina lako ninayoielewa.
Hahaha..yeah..
Hii ndio maana halisi ya mamndenyi. Hata mimi ndio najua hivi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom