Tujadili mila, jadi na desturi za wachagga

Tujadili mila, jadi na desturi za wachagga

Wanawake wazuri wanapatikana maeneo ya Marangu na Machame.
Wanaume wapole na wenye hekima wanapatikana Kibosho.
Washamba wote wanapatikana maeneo ya Uru especially Kishumundu

chezea wakibosho wewe,,,ndio vaagha wakorofi na katili kuliko wote,,,wanawake,wauaji na wapenda kutawala na kupelekesha wanaume ni wamachame,,,ogopa hiyo kitu,,tena heri uwe masikini utaishi,,,,,warombo maduka na magendo,,,,kazi tu,,,,,ujambazi wakibosho,,,kujiona na kujisikia wamarangu,,,ushamba,,uru narumu kishumundu kotela mbokomu nknk,,,,wanapenda nyama heeeeee balaa,,
 
Kweli wewe ni bonge la riverse! yani unasema wa-uru hawakusoma jamani? unawakosea heshima, watake radhi!
Hebu angalia hili....
There is no Chagga tribe but just different groups of people living around that mountain of Kilimanjaro with the following characteristics:



Wasiha: They are too backward. Hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai. Wanaume wanatahiriwa nusu!!! Cha achana nao.



Wamachame: Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi " kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu" Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa fedha, ……[edited!].



Wakibosho: Specialized bandits. Akina Mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi" Yaani Dadangu we acha tu yule Alex wangu siku hizi amepefuka kweli, ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo. Ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia " hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!



Wauru: Very boring people, wakikaa ni kuonge kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake " Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea. Wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.



WaOld Moshi: Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe. Wanaume niwabishi! Wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii



WaMarangu: Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo la "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu. Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.



Warombo: Kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani. Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya

yaan wewe unawajua hawa jamaa ,,,umenisemea,,,,,mungu awasaidie
 
acha ushamba mahemba + mbaala +soko(maaraki) =ngararimo

Hehehe. . .asante ADK
Inabidi nikienda tena nyumbani niombe wanapikie makukuru(ndo yanavyoitwa yakishachanganywa maharage. . .mahindi yalochemshwa na mmbala tu ndio ngararimu) maana ndio sijala muda mrefu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom