econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 24,644
- 38,964
Kama ndugu wamenyamaziashwaKwani Dr. Nchimbi hana ndugu na jamaa zake wapaze sauti tuwasikie?
Kujigeuza wasemaji wa familia sio sawa.
Kama ndugu wamenyamaziashwaKwani Dr. Nchimbi hana ndugu na jamaa zake wapaze sauti tuwasikie?
Kujigeuza wasemaji wa familia sio sawa.
Wewe wasema. Neno laki sio Sheria. Kama kafukuzwa kama mbwa ndio apewe ulinzi na serikali? Saa zingine tuangalie mambo kama yalivyo siyo nadhariaAnaweza pia kuwa kwenye Sabbatical leave.
Hakuna baya lolote la kumpata Dr Nchimbi, analindwa na vyombo vya serikli PSU.
Tatizo Wabongo sasa hivi ujuwaji ni mwingi, Dr Nchimbi siyo Humphrey Polepole, kila mbongo sasa hivi ni mwanasheria anachambuwa kesi ya Lisu, kila mbongo sasa hivi ni mchambuzi wa mpira na mchambuzi wa siasa za Kimataifa, ili mradi ni vurugu mechi tu.
Nchimbi alikua kiongozi bwana lazma wananchi waulize sio kuwaachia familia ya nchimbi waanze kuuliza wakati na wao ni raia tu tena usikute wapo humu nao wanauliza hivi hivi nchimbi yuko wapi?Kama wa nyumbani kwake wako kimya kiasi hiki ina maana yuko salama huko aliko.
Tofauti na hivyo tungesikia malalamiko I kama ilivyo kwa ndugu zake Polepole.
Punguza ujuaji. Nani alikuambia anapewa miezi sita? Sheria Gani hiyo?. Mtu kafukuzwa chama kama mbwa Bado mnadai analindwa na serikali.Mimi ninavyofahamu kwa nafasi ya VP ni kubwa sana nchini, na VP akijiuzulu ni lazima awekwe chini ya Uangalizi kwa kipindi cha miezi 6 ili kuona kama dhamira yake ilikuwa nzuri au haikuwa nzuri kwa Taifa letu.
Katika uangalizi huo ni pamoja na kutoonekana public. Hadi Mamlaka zijiridhishe kwanza Kwamba hana madhara.
Kuhusu kifo cha Mpishi wake, hilo Mimi sijui.
Watakuwa wanafanya utoto wao wenyewe. Kama wanaweza kupigisha kura milioni 31, Nini kiwafanye watumie njia ndefu sana.Ukimya wa familia yake unatia shaka kwamba hakuna hata mmoja anaeweza kusema lolote au ndo michezo yao ya kiccm baadae Imma anaibuka shujaa anasamehewa na chama 2030 bendera mabegani wapinzani chali
Alisusa au alifukuzwa? Nadhani alifukuzwa.Hivi anajua kuwa ni yeye ndiye anayefaa kuwa kiongozi wa taifa hili.
Anajua kuwa ni chini ya uongozi wake tu Tanzania itaweza pata katiba mpya inayokubalika na wadau wote.
Hivi anajua kuwa yeye akiwa kiongozi vurugu zote tunazoziona za kisiasa sambamba na utekaji na uhuni mwingine vitakoma
Au hajitambui huyo mwenzetu
Hivi wanaume huwa wanasusa? Nielekezeni ndugu zangu labda sijajua nini maana ya kuwa mwananume
Wamezibwa mdomo. Pia Kuna wanafaika wa CCM ndani ya ndugu zakeSwali la kujiuliza ni kwanini familia yake ipo kimya?
Ndugu hawajatulia wametulizwa.Atakuwa mzima maana si kwa ndugu kutulia huku
Watakuwa hawajui maana ya damu nzito kuliko maji.Kama ndugu wamenyamaziashwa
Hujui. Kasome vizr mara baada kutoka Dodoma Aboud Jumbe alikuwa wapi.Mpaka hapo tu unalinganisha vitu visivyolinganishika. Unamlinganisha Nchimbi mara baada ya kujiuzulu (allegedly) na Aboud Jumbe ambaye aliishi miaka mingi sana.
Nchimbi hata hatujui kwa uhakika kwamba yupo hai, hivyo hatuwezi kujiridhisha kwamba atatembelewa.
Zaidi, mara baada ya kujiuzulu, Aboud Jumbe alienda Zanzibar kuwaona wake zake.
Bora kuonekana hamnazo ila unadai jambo la msingiMimi nimeimba sana Nchimbi mpaka nikaonekan hamnazo
Jumbe alinyang'anywa ndege ya serikali akaenda Kigamboni Mjimwema, lakini pia alienda Migombani Zanzibar kuonana na wake zake.Hujui. Kasome vizr mara baada kutoka Dodoma Aboud Jumbe alikuwa wapi.
Sisi wengine wala hatuoni tofauti kinachotokea kwa Nchimbi na ilivyotokea kwa Jumbe tu baada ya wawili hao kutoka kwenye Umakamu
Alifanya kosa la Kipumbavu sana na la Kiufundi mno kuanzisha Vita akiwa ndani ya Mfumo ambao si tu Unamjua bali Unammudu pia. Naomba niishie hapa tafadhali.Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Sijui miaka mingi inaanzia mingapi, mimi nimemuona Jumbe mwaka 1987. Sikuona dalili zozote za mtu aliye kizuizini.Wewe unaongelea kutembelewa Kigamboni, hiyo ni baada ya miaka minigi tu. Hata Nchimbi atatembelewa tu. Issue je Abood Jumbe alitolewa leo kesho yake watu wakaenda kumtembelea?
Si huyu jamaa Pascal anasema kwamba Nchimbi amejifungia ndani kwa hiariAlisusa au alifukuzwa? Nadhani alifukuzwa.
Wewe ndiye msemaji wa Nchimbi?...Anasalia nyumbani.
P
No mimi sio msemaji wake, bali nasema humu kile tuu nilichoambiwa, yuko nyumbani kwake amejituliza tuli, na kama ni kusali, anasalia nyumbani, muda muafaka ukifiki, ataonekana public.Wewe ndiye msemaji wa Nchimbi?...
Yaani ulimwona miaka mitatu baadye. So kwa Nchimbi tusubiri at least mwaka mmoja tuSijui miaka mingi inaanzia mingapi, mimi nimemuona Jumbe mwaka 1987. Sikuona dalili zozote za mtu aliye kizuizini.
No mimi sio msemaji wake, bali nasema humu kile tuu nilichoambiwa, yuko nyumbani kwake amejituliza tuli, na kama ni kusali, anasalia nyumbani, muda muafaka ukifiki, ataonekana public.
P