Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

Hebu tukumbushe kwanza ni lini uliwahi kuambiwa alikokuwa Abood Jumbe mara baada ya kufukuzwa Umakamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzbar. Au ulikuwa bado mtoto?
Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi watu wamemtembelea Mjimwema Kigamboni, kaandika mpaka kitabu.

Sisemi hili au lile kuhusu Nchimbi, lakini mfano wako wa Jumbe haulinganishi vinavyolinganishika.
 
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
John Nchimbi ni kachero tena ni mCCM.Makachero hupenda kujifichaficha.Atakuwa kwenye moja ya makalvati hapo mtaani kwenu.Chekicheki utampata.
 
Nimeelezwa yuko kwake, ni yeye mwenyewe ameamua kutulia kimya, ndio maana there is no complain from ndugu zake, jamaa na marafiki.

Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"​

p
Ukistaafu ukaamua kutulia nyumbani inamaana hata kushirikiana na jamii inayokuzunguuka kama utamaduni wetu. Mfano, misiba, sherehe n.k napo unakuwa umestaaafu.....Basi utakuwa unamatatizo......
 
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?

Sasa kama alijiuzulu nafasi zake zote akarudi kijijini kupumzika, unategemea umuone wapi?
Kilichokuwa kinafanya umuone ni nafasi yake ya kisiasa. Angekuwa ametoweke, taarifa zingeanzia kwenye familia yake...
 
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Hivi hakuwa na mke, ndugu wa karibu kama kaka au dada, na hata marafiki wa karibu kabisa ambao wangejuwa chochote juu yake?

Au hao wote wamenunuliwa na pesa ya Abdul, kama wale wa Tundu Lissu waliodaiwa kumuuza ndugu yao?
Naona hii imekuwa biashara ya watu kuneemeka kwa kuwauza ndugu zao.

Sasa hata wale wa Polepole wamepozwa; hawasikiki tena kumdai ndugu yao.
 
Kaamua kuacha kwenda kanisani j/pili kama ilivyokuwa mazoea/kawaida kwake?
Anayetaka kujuwa aanzie hapa.
Na huyo uliyemjibu anajibainisha na kudai yeye ni mwadishi wa habar kwa jibu la kipuuzi kama hilo!

Kama Nchimbi alikuwa ni muumini anayesali Jumapili, na sasa haonekani huko kanisani, hapo ni sehemu ya kuanzia kujuwa kuwa haishi kwa utashi wa maisha yake.
 
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Kwani wanachama wenzake wanasema yuko?
Hii ni hadi atakapoi petea Nani hii,ndiyo Watanzania watakuwea serious
Nchimbi mwenyewe hakuwa serious wakati wanapotea wengine mnataka nani awe serious kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom