Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,182
- 50,748
May be he was happy when polepole went missingSince when did that become our business?
Alikuwa wapi wengine wakipotea?
May be he was happy when polepole went missingSince when did that become our business?
Alikuwa wapi wengine wakipotea?
Ahudhurie jumuiya sasaNimeelezwa yuko kwake, ni yeye mwenyewe ameamua kutulia kimya, ndio maana there is no complain from ndugu zake, jamaa na marafiki.
Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"
p
Hivi na ile issue ya mdogo wake aliyetekwa iliishaje?Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Sehemu yoyote inayoendeshwa kwa kupuuza Sheria ama kutofuata Sheria,kuwa nayo makini sana.Madaraka yanapumbaza. Sidhani kama alitarajia pigo walilompatia. Nadhani alihisi wasingekua na ujasiri wa kumfanyia walichomfanyia kwa nafasi yake. Kosa lilelile alilolifanya Polepole.
Sasa amri ya kanisa haimhusu Nchimbi? Au ni mimi na wewe tu?Kwa watu wanaoijua Bible, God is omnipresent yupo popote, hivyo wanaweza kusali popote, ile amri ya kuhudhuria misa ni amri tuu ya kanisa, sio amri ya Mungu
P
Hapana,kuna amri za Mungu na amri za kanisa,kutokwenda kanisani mara moja moja kama unasababu ya msingi,sio kosa. Sababu ya yeye kutokwenda kanisani,ni sababu ya msingi sana!. Muda wa solitude ukiisha ataibuka na mtamuona!Sasa amri ya kanisa haimhusu Nchimbi? Au ni mimi na wewe tu?
Baada ya solitude,atahudhuria!Ahudhurie jumuiya sasa
Ninazo 8 na sijaweza kujiongeza kwa mabo ya bongo😭Kama una d 2 ,jiongeze
Wewe na mboga mboga wenzenu!Kwani wanachama wenzake wanasema yuko?
Nchimbi mwenyewe hakuwa serious wakati wanapotea wengine mnataka nani awe serious kwake
Land cruiser nyeupe + ambulance zikifka kwako ,utakachoambiwa lazima ukifate but nakupa code mda utasema ...waitNinazo 8 na sijaweza kujiongeza kwa mabo ya bongo😭
Hiyo sii kawaida ila asiye kawaida,🤭Mohamed Kawaida atakua ana taarifa za wapi alipo Nchimbi.
Kwa umri wangu na uelewa wangu nimemshangaa paschal juu ya bandiko lake mpaka sasa natafakarii cna majibu .ananizid elim,pesa na umri ila ?the time will tellPaschal,kwenye hili ni vema ukajikumbusha mafundisho ya dini.Kwani amri ya nne inasemaje?
Mimi naamini Sheria za kidunia zilitungwa kwa ushawishi wa kiblia.Ni sahihi kulinganisha amri za Mungu na Katiba ya nchi na amri za kanisa ni mithili ya Sheria za bunge na kanuni zake.
Kwa hiyo Sheria za kanisa zinakuwa na uzito sawa na amri za Mungu.Kwa maana ya uzito wa dhambi zinazotokana na kuvunja amri za kanisa.
Amri ya nne ya amri za Mungu inaongelea siku ya Jumapili.Na kanisa limeweka utaratibu wa kwenda kanisani kusali.Kwa wakristu hiyo ni amri halali na dhambi ya mauti kutotiitimiza.Hakuna.mahali Kanisa limeelekeza kuwa mkristu anaweza kusali hata nyumbani kwa kuwa Mungu yuko popote.
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Kwa Nini kafukuzwa??? Yeye ni mkubwa kuliko Chama???Punguza ujuaji. Nani alikuambia anapewa miezi sita? Sheria Gani hiyo?. Mtu kafukuzwa chama kama mbwa Bado mnadai analindwa na serikali.
Chama hakina uhusiano na sheria za ustaafu, Maalim Seif Sharif Hamad alifukuzwa Ccm moja ya masharti ya muhafaka ilikuwa kumrudishia mafao na stahili zake za kisheria.Lowassa hakufukuzwa. Alijiuzulu akakubaliwa kujiuzulu. Nchimbi alijiuzulu lakini bado akaja kufukuzwa kazi mpaka chama. Sasa, mpaka hapo bado ana haki ya kulindwa na kulipwa 80% ya mshahara kama wastaaafu wengine?