tungatagaga
JF-Expert Member
- Aug 18, 2024
- 618
- 794
Tatizo la watanzania mpaka tujekulambwa na njaa Kali ya miaka miwili ndipo akili zetu zitachaji.Swala la nchimbi si la chama flani kumficha wakati yeye aliwaalika wa
tania wote aliwauliza neno Moja azungumze,:naye akatwambia tupambanie katiba mpya.Hapo jinai Gani alifanya?
tania wote aliwauliza neno Moja azungumze,:naye akatwambia tupambanie katiba mpya.Hapo jinai Gani alifanya?