Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

Tuache utani jamani, where is Nchimbi?

Ameamua na misa asalie nyumbani bila kwenda kanisa kuu au!!?
Kuna wengi hawaujui Ukatoliki kikamilifu, mtu ukiwa kwenye solitude, ni wewe tuu na Mungu wako, hakuna kuonekana in public hata kanisani mpaka kipindi chote cha solitude uliyodhamiria kipite, tena wengine kinaandamana the vows of silence, huongei chochote, ni kula, kunywa na kutafakari kimya kimya wewe peke yako.
P
 
Umeanza kuzeeka, ni hivi sliyeandikiwa barua ni Rais, then Nchimbi akatowa Public notice mitandaoni kwamba amemuandikia barua Rais ya kujiuzuru.

The same day usiku Rais akajibu kwa official Public announcement ameridhia resignation ya Dr Nchimbi.

Kutoonekana hadharani ni issue nyingine, System haiwezi kufanya kosa hilo hata kwa bahati mbaya nakuthibitishia hilo, usalama wa Dr Nchimbi upo chini ya usalama wa Taifa kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi waliopo madarakani na wastaafu wanaostahili ulinzi akiwemo Nchimbi.

Time will tell, lakini ondowa hofu kabisa Nchimbi yupo salama kabisa na analindwa na usalama wa Taifa nakuhakikishia hili siandiki porojo naandika kitu ninachokijuwa kwa
Mkuu Dr Matola PhD , asante sana for this, hiki ndicho mimi nilichoambiwa hapa

Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"​

Kwa wale wenye imani kubwa, naomba mnianiamini, wale wenye imani haba endeleeni kuhoji maana ni haki yenu

P
 
Kuna wengi hawaujui Ukatoliki kikamilifu, mtu ukiwa kwenye solitude, ni wewe tuu na Mungu wako, hakuna kuonekana in public hata kanisani mpaka kipindi chote cha solitude uliyodhamiria kipite, tena wengine kinaandamana the vows of silence, huongei chochote, ni kula, kunywa na kutafakari kimya kimya wewe peke yako.
P
True bro..
 
Tetesi za yule mwanaharakati kwamba alikua Lugalo na sasa ukonga prison hazina ukweli au sio!?
 
Mkuu Imma Misala, Emanueli misalaba ,usitake kuniletea misala!,nimesema nilichoambiwa na nimemtaja aliyeniambia!muwe mnasoma links

Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"​

P
My Broo Pascal Mayalla tunaomba video ya Kiongozi wetu Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi hasa ukifanya mahojiano naye ili tusadiki kwamba yuko hai au kwamba hayuko House arrest
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom