Kwanza, ume assume kuwa tuliona sawa tu kwa Jumbe. Mimi hakuna nliposema ilikuwa sawa tu kwa Jumbe.
Kulitakiwa kuwe na mazungumzo ya kitaifa kuhusu muungano na mfumo wake. Mambo mengi kuhusu Muungano, muundo wake, katiba etc, Watanzania waliambiwa tu, hawakushirikishwa kupanga.
Pili, inawezekana kwa Jumbe watu walikuwa hawajaijua vizuri habari, wengi walikuwa hawajazaliwa, nchi haikuwa na watu wengi kama sasa, uwazi ulikuwa mdogo, mitandao haikuwapo.
Sasa unalinganishaje ujinga kwenye jambo lililotokea enzi hizo na leo karibi kila kitu kipo mtandaoni?