TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,828
- 11,199
Mimi naona Ukuu wa Wilaya ni Juu ya Ubalozi hasa ukichukulia ni watu wangapi unachukua dhamana ya kuwanongoza (kwa TZ, kuwatawala) moja kwa moja huko Wilayani. Chini ya yote hayo, mkuu wa wilaya na balozi ni viongozi wa kisiasa tu ambao huchaguliwa ama kuteuliwa na Raisi bila pingamizi ama kupitishwa na chombo kingine chochote - ikiwa na maana sioni kwa nini Juma asiwe balozi hata kama hatujui CV yake lakini Raisi kampitisha.
Kwa mfumo wa serikali ya CCM, wote wapo pale kwa ajili ya RAISI, na hufanya yale tu Raisi atasema.
ni mtazamo tu, ila bado naamini balozi ni mwakilishi wa rais na taifa kwa ujumla na ndio maana status yake ni tofauti na hata waziri, let alone mkuu wa mkoa and the likes, diplomatic status ni kitu ingine
i wish patrick very best huko malawi, tena aanze kuyashughulikia matatizo ya wafanyabiashara wetu wanaonyanyaswa, which he must have some experience kutoka kwa machinga wa ilala