Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda baadhi ya wachangiaji wangefanya utafiti wao kuhusu hili vyema
hata tone ya michango yao ingebadilika.
binafsi niliamini kabla ya kumpiga madongo wachangiaji wangekuja na ushahidi/tuhuma za bw.tsere kushindwa kutekeleza majukumu aliyokabidhiwa kwa ufanisi.
Mkuu ulitaka utafiti gani ufanyike zaidi ya huu hapa?CV ilihitajika kwanza,coz kigezo kilichojulikana kilikua ukuu wa wilaya tu!
Narudia tena,suala la ubalozi ni la muhimu kama ulivyo ubalozi wenyewe.Kutoka ukuu wa wilaya hadi ubalozi kweli huoni kasoro?ndo maana wengine tuliitisha CV
Ben,sioni ajabu kutoka kwenye u DC kwenda kwenye ubalozi,ubalozi sidhani kama una scrutiny kihivyo....Kama alivosema mchangiaji mmoja hapo nyuma,pretty much anyone can be an ambassador.
Tafadhali usimuonee muungwana; he has never been serious in his life, he is always smiling!! Alinikuna juzi alipotembelea waliokumbwa na mafuriko Kilosa alipowaagiza watu wake wawajengee nyumba upesi kwani watu wazima wanachoka kuwafuka ndani watoto waende kucheza ili wapate faragha!!! Is n't this hilarious from your commander in Chief!
Whaaaaaat? Sasa JK hayuko serious...wadau hebu mwenye CV ya huyu mkuu atupe.Ambassador?
Sasa madudu yanakuja vipi? Nyie watu mbona mnakuwa wajinga kabisaa.. Hii JF imekua kama mavi ya umbwa..! People just talk bare shit in here. Hakuna objectivity, yani moderators wa hii kitu kama hamtakuwa makini, and I understand the argument for freedom of speech, but jamani! Can criticism at least make some sense. WTF is wrong with you hater-ass people.. This forum disgusts me..sorry to say. It used to be better than this.

Wana JF mliochangia Patrick Tsere ninayemjua mimi si huyo ambaye baadhi yenu mmekuwa mkimuelezea with an exception of De Novo. Tsere ambaye Baba yake mzazi alikuwa miongoni mwa madaktari wa awali hata kabla Tanzania haijapata uhuru, alipata formal education kuanzia primary, middle school, secondary (O level) na High School (A level). Baadaye akaenda IDM Mzumbe alikopata Diploma in Public Administration na baadaye akapata Post Graduate Diploma in Management. Aidha anayo MA in Diplomacy.
Amefanya kazi kama Afisa Mipango Wilaya ya Iringa; Manpower Officer Wizara ya Mipango na Uchumi; Wizara ya Mambo ya nchi za Nje (mwaka 1983 hadi 1996 kama Afisa wa Ubalozi ubalozini nchini Zambia wakati huo Ubalozi wa Tanzania ulikuwa pia unatuwakilisha nchi ya Malawi na Botswana); Akaja kuwa in charge of operations idara ya Wakimbizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 1997 to 2002; 2002 to 2005 akawa CEO wa AICC Arusha baadaye akaenda kugombea ubunge kwao Karatu. 2006 hadi 2009 akawa DC Ilala.
Kwa ufupi hiyo ndiyo CV ya Tsere. Sasa kama inakidhi hizo concerns zenu ninaamini ndani ya CV hii mtapata majibu. Kwa mfano tatizo la mpaka kati ya Malawi na Tanzania hilo ni tatizo tangu enzi za Mwalimu. Sitaki kuamini kuwa Tsere halijui kwa vile akiwa afisa ubalozini Lusaka, nchi ya Malawi ilikuwa sehemu ya brief ya ubalozi wetu na sina shaka tatizo hilo atakuwa analifahamu vizuri sana.
Bila shaka CV hii itakupeni picha ya kuwa Tsere hakubebwa. Ni dhahiri he is fit for the job as he has the required qualifications as well as the expertise, na aliempa hiyo kazi hakukosea. Ninawaomba wanaJF wenzangu kumbukeni ule usemi "No research no right to speak"
Objectivity ipi unayoitaka wewe!? Huyajui madudu yaliyofanywa na Kikwete tangu aingie madarakani? Unaishi nchi ipi? Kwani umelazimishwa kuja hapa kama unaona this forum disgust you basi usisogee kabisa kwenye hii forum. Watu wengine bana!
Wana JF mliochangia Patrick Tsere ninayemjua mimi si huyo ambaye baadhi yenu mmekuwa mkimuelezea with an exception of De Novo. Tsere ambaye Baba yake mzazi alikuwa miongoni mwa madaktari wa awali hata kabla Tanzania haijapata uhuru, alipata formal education kuanzia primary, middle school, secondary (O level) na High School (A level). Baadaye akaenda IDM Mzumbe alikopata Diploma in Public Administration na baadaye akapata Post Graduate Diploma in Management. Aidha anayo MA in Diplomacy.
Amefanya kazi kama Afisa Mipango Wilaya ya Iringa; Manpower Officer Wizara ya Mipango na Uchumi; Wizara ya Mambo ya nchi za Nje (mwaka 1983 hadi 1996 kama Afisa wa Ubalozi ubalozini nchini Zambia wakati huo Ubalozi wa Tanzania ulikuwa pia unatuwakilisha nchi ya Malawi na Botswana); Akaja kuwa in charge of operations idara ya Wakimbizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 1997 to 2002; 2002 to 2005 akawa CEO wa AICC Arusha baadaye akaenda kugombea ubunge kwao Karatu. 2006 hadi 2009 akawa DC Ilala.
Kwa ufupi hiyo ndiyo CV ya Tsere. Sasa kama inakidhi hizo concerns zenu ninaamini ndani ya CV hii mtapata majibu. Kwa mfano tatizo la mpaka kati ya Malawi na Tanzania hilo ni tatizo tangu enzi za Mwalimu. Sitaki kuamini kuwa Tsere halijui kwa vile akiwa afisa ubalozini Lusaka, nchi ya Malawi ilikuwa sehemu ya brief ya ubalozi wetu na sina shaka tatizo hilo atakuwa analifahamu vizuri sana.
Bila shaka CV hii itakupeni picha ya kuwa Tsere hakubebwa. Ni dhahiri he is fit for the job as he has the required qualifications as well as the expertise, na aliempa hiyo kazi hakukosea. Ninawaomba wanaJF wenzangu kumbukeni ule usemi "No research no right to speak"
Whaaaaaat? Sasa JK hayuko serious...wadau hebu mwenye CV ya huyu mkuu atupe.Ambassador?
Mkuu ulitaka utafiti gani ufanyike zaidi ya huu hapa?CV ilihitajika kwanza,coz kigezo kilichojulikana kilikua ukuu wa wilaya tu!
Narudia tena,suala la ubalozi ni la muhimu kama ulivyo ubalozi wenyewe.Kutoka ukuu wa wilaya hadi ubalozi kweli huoni kasoro?ndo maana wengine tuliitisha CV
Wana JF mliochangia Patrick Tsere ninayemjua mimi si huyo ambaye baadhi yenu mmekuwa mkimuelezea with an exception of De Novo. Tsere ambaye Baba yake mzazi alikuwa miongoni mwa madaktari wa awali hata kabla Tanzania haijapata uhuru, alipata formal education kuanzia primary, middle school, secondary (O level) na High School (A level). Baadaye akaenda IDM Mzumbe alikopata Diploma in Public Administration na baadaye akapata Post Graduate Diploma in Management. Aidha anayo MA in Diplomacy.
Amefanya kazi kama Afisa Mipango Wilaya ya Iringa; Manpower Officer Wizara ya Mipango na Uchumi; Wizara ya Mambo ya nchi za Nje (mwaka 1983 hadi 1996 kama Afisa wa Ubalozi ubalozini nchini Zambia wakati huo Ubalozi wa Tanzania ulikuwa pia unatuwakilisha nchi ya Malawi na Botswana); Akaja kuwa in charge of operations idara ya Wakimbizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 1997 to 2002; 2002 to 2005 akawa CEO wa AICC Arusha baadaye akaenda kugombea ubunge kwao Karatu. 2006 hadi 2009 akawa DC Ilala.
Kwa ufupi hiyo ndiyo CV ya Tsere. Sasa kama inakidhi hizo concerns zenu ninaamini ndani ya CV hii mtapata majibu. Kwa mfano tatizo la mpaka kati ya Malawi na Tanzania hilo ni tatizo tangu enzi za Mwalimu. Sitaki kuamini kuwa Tsere halijui kwa vile akiwa afisa ubalozini Lusaka, nchi ya Malawi ilikuwa sehemu ya brief ya ubalozi wetu na sina shaka tatizo hilo atakuwa analifahamu vizuri sana.
Bila shaka CV hii itakupeni picha ya kuwa Tsere hakubebwa. Ni dhahiri he is fit for the job as he has the required qualifications as well as the expertise, na aliempa hiyo kazi hakukosea. Ninawaomba wanaJF wenzangu kumbukeni ule usemi "No research no right to speak"
i beg to differ, tsere alipewa ukuu wa wilaya kama kujishikiza na ukae ukielewa kwamba mtu kufikia ukurugenzi wa AICC na kuwa mkuu wa wilaya ni kushuka... na alishuka baada ya kujaribu siasa!! but that doesnt erase his potentials mazeeNono it seems hujui how the system is,practically ukuu wa wilaya na mkoa in this country umebaki kuwa position zisizowasaidia wananchi wa wilaya au mkoa husika since they are not put in power na wananchi.Wanateuliwa na Rais to do wat he wants!kwenye balozi thats where real issues are n dont b fooled kuwa hawahitajiki watu walio makini huko,tatizo kubwa tu kwenye kipindi hiki cha uongozi fadhila ndio sababu ya kuteuliwa na sio uwezo.Jk is nat serious
i beg to differ, tsere alipewa ukuu wa wilaya kama kujishikiza na ukae ukielewa kwamba mtu kufikia ukurugenzi wa AICC na kuwa mkuu wa wilaya ni kushuka... na alishuka baada ya kujaribu siasa!! but that doesnt erase his potentials mazee