Trump awalaumu Waislam kwa Machufuko huko Paris, Ufaransa

Trump awalaumu Waislam kwa Machufuko huko Paris, Ufaransa

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,762
Reaction score
7,866
Kumekuwa na wimbi kubwa la Waarabu, Waafrika na Wahindi kuingia Ulaya kwa njia haramu.

Ambapo katika rate ya uzao nchini Ufaransa, wazawa wakiwa na ratio ya asilimia 1.8 huku Waislamu pekee wakizaliana kufikia hadi ratio ya 8.1%.

Hii imeibua maswali mengi baada ya maandamano kuendelea huko Ufaransa, hasa katika jiji la Paris huku maduka mengi yakivamiwa na vitu kuporwa.

Hii haikumuacha Donald Trump ambapo amesema wimbi kubwa la wahamiaji hasa Waislamu ndio wanaleta machafuko haya. Nchi nyingi za ulaya zenye wahamiaji haramu wengi ndio uongoza kwa machafuko.

View: https://www.instagram.com/reel/DesKiDdj9lt/?exln=ZWs4c3k3ejZhaHp6
 
Kuna waandamanaji wamevamia supermarket huko Paris na kuiba Kila kitu kasoro nyama na mafuta ya Nguruwe.
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    51.2 KB · Views: 2
Hawa watu imani yao ni radical, ni kansa ya dunia kuitibu ni shughuli pevu
Kwenye katiba zenu za nchi mnaruhusu maandamano halafu watu wakiandamana mnaushutumu uislamu 🤔

Hivi tangu lini maandamano yakawa ni kheri? Maandamano ni shari tu!!
Ndio maana ukiusoma vizuri uislamu sahihi maandamano katika uislamu ni haramu na wanao andamana hawauwakilishi uislamu bwashee 😂
hata kama watajiita kuwa wao ni waislamu

Kama mnaona waislamu ni wafanya fujo na magaidi duniani niwaulize hivi alayeamasisha watu kuandamana na kufanya fujo hapa bongo oct 29 walikuwa ni waislamu?
 
Ni ngumu sana kuitetea hii dini
 
Back
Top Bottom