Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Salaam wana jamvi, matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaendelea . Straight to the point,tukumbuke enzi za kitabu, kiukweli kuna topic ziliwahi nisumbua wakati nasoma moja wapo ilikuwa ni Electromagnetism na Co-ordinate II ,share na wewe topic ambazo zilikuwa pasua kichwa kwako
Topic zote za math
 
Physical chemistry ya advanced level
Salaam wana jamvi, matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaendelea . Straight to the point,tukumbuke enzi za kitabu, kiukweli kuna topic ziliwahi nisumbua wakati nasoma moja wapo ilikuwa ni Electromagnetism na Co-ordinate II ,share na wewe topic ambazo zilikuwa pasua kichwa kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1)Earth as sphere

2)Circle

3) Probability

4)Electromagnetism

5) Physical Geography
 
Mambo ya vitabu somo la kiswahili(kiswaz) sijawahi kuelewa kabisa! OLevel sijawahi jibu swali linalohusu vitabu na A level pia. Ila chakushangaza sijawahi kukosa credit(C-B).

5/5
Huu ni uongo wa mchana kweupeeeee.

Kwenye kiswahili lazima ukute maswali matatu ya vitabu (riwaya, tamthilia na mashairi) ambapo alama zake ni 45 .

Sasa kwenye alama 100 zinabaki 55 sasa kama ulikua hujibu maswali ya vitabu hizo C na B zilikuwa zinatoka wapi wakati alama ya juu kwako ingekuwa 55 tu kama hutokosa swali lolote.
 
Yuko vizuri
 
O level ni Ile topic ya Density Physics
Topic ya mole and molarity chemistry.
Zote izi nilianza kuzijua vizuri nilipokuwa form three na four Ila kabla ya hapo nilikuwa shallow in deep

A level ni topic ya stastitics 2, nilikuwa sitaki kuisikia Mana hata nilisoma nilikuwa siielewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa na uwezo wa kufanya maswali yote ya organic kwa uhakika wake. Na kama swali linakosewa kidogo najua wamekosea.

Shida ni Biology kwenye mechanism za metabolism mbalimbali chemical na mechanical.
Physics mechanics haikiwa poa aisee. Nikaopt topics za paper two na practical.
Final
Phys B
Chem A
Bios B
Alhamdulillah
Organic chemistry wanaofaulu sijui wanasomaje .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu, Physics ya advance kupiga A asee mh. Mi nilipigaga A ya Advances Mathematics tu ila Physics ya advance aseee mh hasa practical ilinichezesha shere hatari na tulifanya Prac 3C. Navoona Physics ya advance unatoboa labda upate majibu ya Prac ila kama hujui unachokutana nacho lazima ikuvae

Practical za physics sikuwa nafanya aisee. O Level practical ya Plane Mirror nilifoji coz distance ya Object and image ni sawa, swali la pili Hook's Law la spring distance is constant so nalo nilifoji nikala A ya physics kiutani tu.

À Level practical ya kwanza ilikuwa ya Ruler, nikapima urefu wake width, height and its mass, nikapata data nikafoji, swali la heat la pili nikafoji Pia n'a la tatu la electricity nilifanya coz lilikuwa rahisi 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom