Ganda la ushuru
Senior Member
- Mar 18, 2020
- 132
- 112
- Thread starter
- #121
Aisee nadhani hautosahau kamwe, inakuwa kama mwaka fulani ambapo matokeo ya form four yalitoka mara mbili ilikuwa patashika nguo kuchanikaHuo mtihani sitausahau KBS uliyeyusha ndoto zangu za kua mchumi mbobezi
