Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Sure, ila Differential nayo ina balaa lake mkuu, unajua nmekuja kugundua kila mtu ana topic yake ya kujidai na ndio maana pure math paper 2 kila mtu anaingia na topic zake tano za kujibia mtihani kati ya 8
Kwangu hata chuo. Nimeifumua fumua sana ila,sitokaa nisahau hizi topic projectile,organic na chuo structural design

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora wewe karati.. niliga D nahizi ya 21 ilee.... Mofimu sijui manini...!!!
shida ilikuwa na Mwalimu Mwenyewe alikuwa Mzumbe flani Halafu Akaja akatundikwa mimba ikaharibu Kila Kitunda. Akachukia wanaume ile mbaya + sasa wengine tulikuwa tunakomaa na Abot wakati huo akija na + Vya Kiswahili akawa anatuchanganya kweli
 
O level: probability (maths)

Advance: in organic chemistry
 
Somo lililonitesa o level ni History! nilipata tabu sana kwa A level topic iliyonipa shida kidogo ni Company A/C na HP A/C kwa waliosoma ECA wanazijua,,..lakini nilitoka freshi tu
 
Physics A level ni habar ingine topic za mechanics


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom