Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Organic chemistry wanaofaulu sijui wanasomaje .
Kuna jamaa huyo amesoma petroleum udsm yule jama tulikuwa tunamwita isomers ,yule mwamba ni nyoko aise chemistry na mathematics hapana sijaona bado ila matokeo yake hana ajira mwaka wa tano sijuii etii petroleum haina soko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumzia coordinate geometry 2 ya pure mathematics?
Advanced Mathematics ni kitu nyepesi sana mkuu, iyo coordinate 2 yale ma parabola sijui elipse yalikua marahisi, nilikua napenda coordinate 1 hasa maswali ya circle yalioshindikana. Kulikua na maswali ya Locus kwenye Pure 1 yalikua matata ila niliyabangua
 
Masomo ya maelezo yana matatizo mno. Ni sawa na kumtongoza mtu mzima akukubali, si kazi ndogo. Sisi economics one na two mwaka 2013 walileta maelezo tu sijajua kama kuna aliyenusa A huo mwaka maana T.O walikua na nne kama sikosei mpaka one ya sita ya Lucylight iliingia kwenye tano bora kitaifa.
Mwaka wenu pure mathematics ilikuwa hatari physics kulikuwa hakuna A t.o mwenyewe ana C

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahh
Probability Ya Kwenye Pure Namba sio Bam Hii Sijawahi isoma
Organic 2 Chemistry Sijawahi isoma nayo, nilikua sijibii Mimi
Hyperbooo Hyperbolic Functions
Hyperbolic function mchumba tu kwny pure mathematics, mziki upo kwa cod II, algebra I ( kuna vidudu flani vnazingua pale), pia Differential equations
 
Wave Part 2 A level mamaee...nkasema liwaloo na liweee sikugusa hata defn.

O level Account walahi mpaka nikaona wanaosoma Biashara ni wachawiii mambo ya credit sijui debt duu nilisota nazo sikuelewa nilikuja kuelewa Chuo tena mwaka wa mwisho nkagundua tatizo sio soma tatizo aliekuwa ananifundisha nae alikuwa amekariri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Apo lazima uwe umecheza sn na frank wood 1&2 la cvyo huna ujanja
 
Duh mi coordinate II ni moja ya topic nilizokomaa nazo bila kuelekezwa na mtu na nikazielewa vyema, kifupi advance hamna topic iliyonisumbua.
Ila O level zile circle sikuwahi zielewa hata kidogo, angalau sphere!
Salaam wana jamvi, matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaendelea . Straight to the point,tukumbuke enzi za kitabu, kiukweli kuna topic ziliwahi nisumbua wakati nasoma moja wapo ilikuwa ni Electromagnetism na Co-ordinate II ,share na wewe topic ambazo zilikuwa pasua kichwa kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Electromagnetism and Ac current , hatari sana
 
Differential labda application ila ni nyeupe sana sana!!ila cord 2 wewe kuna balaa siyo la nchii hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure, ila Differential nayo ina balaa lake mkuu, unajua nmekuja kugundua kila mtu ana topic yake ya kujidai na ndio maana pure math paper 2 kila mtu anaingia na topic zake tano za kujibia mtihani kati ya 8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom