Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

Somo la kiswahili O level nilipata D
The same kwangu. Ndilo somo nililopata chini ya c. Japo nilikuwa na vitabu vitatu tofauti vya uchambuzi wa vitabu na mashairi na nilivisoma vizuri.

Pia usiku wakati najiandaa na mtihani wake kunajamaa alitaja maswali mawili ambayo niliyakuta kwenye pepa ila still nikapata D

Hate you kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom