Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

O Level

1. ENGLISH, C
-Arrange 5 sentences in a proper order
-Summary
-Literature (St kayumba )

2. KISWAHILI, C
-Ushairi ( Necta walileta swali la 1 ushairi, na sehemu C swali la Lazima Ushairi )

3. GEOGRAPHY, C
-Physical geography (Shield volcano )
-Map (zile ramani sijui walikuwa wanatoa wapi)
-Picture (sijui ilikuwa Cotton sijui Pareto, kivuli hakiomekani )

4. HISTORY, C
-Section C, (nakumbuka nilikuwa natumia peni ya SPEEDO ili nijaze page tu)

A Level

1. PHYSICS, A
-Rotational
-Electromagnetism (Ila Necta walikaza Modern Physics ilibidi nifanye tu Electromagnetism )

2. CHEMISTRY, B
-Inorganic Chemistry
-Practical (Partition)

3. BIOLOGY, C
-Topics zote zilikuwa rahisi sema Necta sijui walikuwa wanasahihisha Vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Biology ya advance ndivyo Ilivyo, unaweza jaza kila kitu fresh kabisa lakini ukapata C/D. Hadi leo sijajua tatizo la advanced biology lipo kwa wanaosahihisha/wanaojaza (walimu/wanafunzi)
 
Hope upo/umemaliza MD yako saaafi kabisa KCMC, CUHAS, MCHAS, UDOM.
MUHAS ukiwa na C ya Bios najua wanazingua
 
Biology ya advance ndivyo Ilivyo, unaweza jaza kila kitu fresh kabisa lakini ukapata C/D. Hadi leo sijajua tatizo la advanced biology lipo kwa wanaosahihisha/wanaojaza (walimu/wanafunzi)
Mi naona shida ni either kitabu unachokitumia je kina data husika, kuna ambao wanajibu maswali kulingana na vitini .
NB:Sina mashaka na kitabu ulichotumia.
GLU™
 
We huna lolote ulikua hupendi Shule
O Level

1. ENGLISH, C
-Arrange 5 sentences in a proper order
-Summary
-Literature (St kayumba )

2. KISWAHILI, C
-Ushairi ( Necta walileta swali la 1 ushairi, na sehemu C swali la Lazima Ushairi )

3. GEOGRAPHY, C
-Physical geography (Shield volcano )
-Map (zile ramani sijui walikuwa wanatoa wapi)
-Picture (sijui ilikuwa Cotton sijui Pareto, kivuli hakiomekani )

4. HISTORY, C
-Section C, (nakumbuka nilikuwa natumia peni ya SPEEDO ili nijaze page tu)

A Level

1. PHYSICS, A
-Rotational
-Electromagnetism (Ila Necta walikaza Modern Physics ilibidi nifanye tu Electromagnetism )

2. CHEMISTRY, B
-Inorganic Chemistry
-Practical (Partition)

3. BIOLOGY, C
-Topics zote zilikuwa rahisi sema Necta sijui walikuwa wanasahihisha Vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa miaka hiyo form one nakumbuka wiki ya pili tu baada ya kuripoti niliandikwa kama main speaker kwenye debate , kiingereza chenyewe cha kuvutavuta aisee .........siamini lakini hatimaye siku iliisha........
GLU™
Ilinibeba zaidi ya miaka mitatu kujua ninachokisoma. Changamoto ilikua kubwa mno.
 
Biology ya advance ndivyo Ilivyo, unaweza jaza kila kitu fresh kabisa lakini ukapata C/D. Hadi leo sijajua tatizo la advanced biology lipo kwa wanaosahihisha/wanaojaza (walimu/wanafunzi)
Masomo ya maelezo yana matatizo mno. Ni sawa na kumtongoza mtu mzima akukubali, si kazi ndogo. Sisi economics one na two mwaka 2013 walileta maelezo tu sijajua kama kuna aliyenusa A huo mwaka maana T.O walikua na nne kama sikosei mpaka one ya sita ya Lucylight iliingia kwenye tano bora kitaifa.
 
Hahahahh
Probability Ya Kwenye Pure Namba sio Bam Hii Sijawahi isoma
Organic 2 Chemistry Sijawahi isoma nayo, nilikua sijibii Mimi
Hyperbooo Hyperbolic Functions
Yaani probability ya kwenye pure math ilikuwa kiboko wallah...

Kiswahili nahisi nilipata ya kusave PERNALTY tu....
 
Ile Sarufi ya hesabu. Kima+kihisishi yakinifu+kiarifu na fujo kama hizi form III ilifanya nichukie Kiswahili na Mwisho nikaishia karai
Bora wewe karati.. niliga D nahizi ya 21 ilee.... Mofimu sijui manini...!!!
 
O Level

1. ENGLISH, C
-Arrange 5 sentences in a proper order
-Summary
-Literature (St kayumba )

2. KISWAHILI, C
-Ushairi ( Necta walileta swali la 1 ushairi, na sehemu C swali la Lazima Ushairi )

3. GEOGRAPHY, C
-Physical geography (Shield volcano )
-Map (zile ramani sijui walikuwa wanatoa wapi)
-Picture (sijui ilikuwa Cotton sijui Pareto, kivuli hakiomekani )

4. HISTORY, C
-Section C, (nakumbuka nilikuwa natumia peni ya SPEEDO ili nijaze page tu)

A Level

1. PHYSICS, A
-Rotational
-Electromagnetism (Ila Necta walikaza Modern Physics ilibidi nifanye tu Electromagnetism )

2. CHEMISTRY, B
-Inorganic Chemistry
-Practical (Partition)

3. BIOLOGY, C
-Topics zote zilikuwa rahisi sema Necta sijui walikuwa wanasahihisha Vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu, Physics ya advance kupiga A asee mh. Mi nilipigaga A ya Advances Mathematics tu ila Physics ya advance aseee mh hasa practical ilinichezesha shere hatari na tulifanya Prac 3C. Navoona Physics ya advance unatoboa labda upate majibu ya Prac ila kama hujui unachokutana nacho lazima ikuvae
 
Masomo ya maelezo yana matatizo mno. Ni sawa na kumtongoza mtu mzima akukubali, si kazi ndogo. Sisi economics one na two mwaka 2013 walileta maelezo tu sijajua kama kuna aliyenusa A huo mwaka maana T.O walikua na nne kama sikosei mpaka one ya sita ya Lucylight iliingia kwenye tano bora kitaifa.
Huo mtihani sitausahau KBS uliyeyusha ndoto zangu za kua mchumi mbobezi
 
Salaam wana jamvi, matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaendelea . Straight to the point,tukumbuke enzi za kitabu, kiukweli kuna topic ziliwahi nisumbua wakati nasoma moja wapo ilikuwa ni Electromagnetism na Co-ordinate II ,share na wewe topic ambazo zilikuwa pasua kichwa kwako
Unazungumzia coordinate geometry 2 ya pure mathematics?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom